Monthly Podcast By Mr Soulful Himself, Brazo Wa Afrika
Vatican News vipaumbele vyake: Habari za Baba Mtakatifu; Vatican, Kanisa la Kiulimwengu na Kanisa Barani Afrika. Tunazo habari za kisiasa na kijamii kutoka Barani Afrika na Dunia katika ujumla wake. Tovuti hii inapambwa na Tafakari ya Neno la Mungu pamoja na Makala mbali mbali. - Podcast - Vatican News
It takes a village to raise a child and connecting with fellow moms and dads leads to sharing of knowledge. That’s where Parent + #BabyBrunch comes in. Hosted by Elana Afrika-Bredenkamp, the Baby Brunch | The Parenting Series podcast features fun and insightful conversations with ordinary parents doing extraordinary things. These can serve as a source of support, inspiration and advice for parents, moms and moms-to-be as we delve into the unique experiences of diverse parents.
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
Podcasts from Woord en Lewe Church in Boksburg. You can expect messages from Pastor Ronnie Barnard, Pastor Basil Panayi, Pastor Thinus Botha and many more
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
A Black Revolutionary show where we discuss history, politics, news and revolutionary theory.
Taarifa zinazojiri Afrika
Podcast by Fellesrådet for Afrika
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
Topics of discussion are: Afrikan Spirituality, Religious Ideology and Interpretation thereof, Know Thyself Black Woman, Health, and Spiritual Anatomy & Physiology, Guest Speakers(interviewed by Host), Guests to Interview Host,etc. Support this podcast: https://anchor.fm/iya-afrika/support
Welcome to the KING AFRIKA'S OWN PODCAST RADIO, where amazing things happen. Cover art photo provided by Jason Leem on Unsplash: https://unsplash.com/@jleeems
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
Kenyan girl in Serbia I am Purity from Mombasa, Kenya and I live in Belgrade, Serbia. My podcast is called "Purity's podcast", and it is a comedy show about funny and weird news from around the world. Also, my co-host Ivan (who is also my husband) and I talk about Kenya and Serbia, and we compare African and European lifestyle with a dose of humor. I would appreciate if you follow me on my social network accounts, subscribe to my YouTube channel, and listen to me singing on SoundCloud. Visit ...
Mwana Wa Afrika
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
Join us on a creative tour of Africa, as we aim to speak with people from every country on the continent. Stories behind the culture of design problems, systems and solutions. Brought to you by Nairobi Design Week (@nairobidesignweek). Hosted by Adrian Jankowiak (@adrianj.ig) & Naitiemu (@naitiemu) Produced GroMartian. Discover more African design at nairobidesignweek.com. Thank you for tuning in, hope you enjoy the show! Please leave a review to let us know what you thought.
A call for the Republic of South Africa Parliament, to a dialogue for peace resolutions and sanity in the midst of tension between Afrikans and Afrikans of South Africa in South Africa, August 2019. We are saying that Crime can never be called Afrophobia or Xenophobia in Azania/South Africa.
أخبار عُمان باللغة السواحيلية هي نشرة إخبارية يومية تغطي آخر الأخبار من عمان و شرق إفريقيا. Khabari za Oman. taarifa ya khabari ya kila siku kwa Kiswahili kutoka Oman na Afrika Mashariki. Khabari za Oman covers the latest news, from Oman and East Africa.
DW's individualized German language learning materials can help you to improve your skills with a host of fun and free materials for all levels. dw.com/germancourses We welcome posts in English and German. However, DW will delete and/or report any content that constitutes hateful, threatening, pornographic or harrassing material. Please respect our netiquette: http://bit.ly/b3Ui11 Legal Notice: http://www.dw.com/dw/article/0,,15718489,00.html
http://www.afrikanworldanalysis.com Afrika's ReAscension is a forum for the unapologetic, uncompromising, culturally-centered Afrikan population. Here we will deal with Afrika's wisdom ON HER OWN TERMS, untainted by foreign ideas, with the intended goal of reclaiming our birthright glory. Are you ready to lay the foundations to create societies and nations that will make KMT look small? If so, this is the place for you. We ascend above the confusion and lies told in the name of Afrika & give ...
Redefining what it means to be a deep house producer and musician, Thulane has proven too many that he has the capability of being one of greatest house music producers to ever come from the shores of South Africa "Katlehong". He has produced a number of tracks with soulful, deep, deeptech, techno and afro house melodies which caught the ears of the house nation and community which made them take note of his production and style in the house music scene. 2010 he started releasing his music o ...
The foundation of hip hop is shattered when icon Afrika Bambaataa and his Universal Zulu Nation are accused of child sexual abuse and statutory rape by several men.
Tutakuangazia Duniani kote, tukikupa habari, maoni, na mitazamo mbalimbali ju ya maswala ya maisha yetu ya kila siku kama Familia, Mahusiano, Elimu, Teknolojia,Michezo, sanaa, ubunifu, mavazi na mitindo Mafanikio, lengo letu ni kuelimisha, kuburudisha na kufundisha.
Southern working-class podcast from a leftist perspective. We talk about current issues affecting Southerners, Southern history, and we make fun of Yankees! Find us at https://linktr.ee/dotprole
Vipindi nyetu vinawapa fursa wasikilizaji wetu kufahamu masuala ya siasa na jamii barani Afrika
Kupitia vipindi vyetu tunajaribu kuwahamasisha vijana wa Afrika kuhusu elimu ya jamii. Inasaidia kuyafanya maisha yao kuwa rahisi.
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
Film. Create. Captivate.
Motherland Media Network presents a variety of issues that affect Africa and African people world wide.
As in the message of Bob Marley, this show is about Unity {Umoja}. "How good and how pleasant it would be before God and man to witness the unification of all Afrikans!" Afrika Unite is a Talk Radio Show that addresses issues relevant to people of Afrikan Descent in Afrika and around the Afrikan Diaspora. MwalimuSpeaks is an entrepreneur, a philosopher, spiritual teacher, motivational messenger, writer, and singer. His life’s work is now dedicated to assisting in breaking down the barriers t ...
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo. Ratiba: Monday-Friday Saa (kwa saa za huku): 06:00 UTC saa ya kimataifa 0300 Muda: 30 Sikiliza: Podcast
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
The most important technology, telecomunications and digital industry stories from across Afrika every Monday to Friday. Hosted by Tefo Mohapi and produced by iAfrikan.
Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano mbalimbali.
Jamii360 Podcast ni uwanja wa kulonga, kuchambua na kujadili masuala ya kijamii na kitamaduni, na athari zake katika jitihada za maendeleo ya jamii zetu kwenye zama hizi za utandawazi. Jamii360 Podcast - a podcast and blog gives a chat, analysis and discussion on social and cultural issues and their influence on the development of societies (mainly East African/Tanzania) in the globalization era.
The Eargasmic Sessions Radio Show is an online Afro House podcast established to create a home and a platform for Afrikan/Afro music. The base of this platform was to create a spotlight for the wide variety of Afro House music and Artists that go undiscovered, because there are very few platforms that cater for this type of music alone. The journey starts from Afrika - we want to introduce our music to the world and also invite the world into our music. With each show The Eargasmic Sessions ...
This podcast, presented by Urvari (an environmental student body), is a place where we discuss issues related to the environment rationally. The environmental community is pretty hostile right now, and this is an attempt to make it more inclusive. Hosted by none other than the amazing Siya Gupta :D https://www.instagram.com/_urvari_/
En podcast om dinosaurer, evolutionen og kunsten at overleve naturkatastrofer.
Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea iwe ni katika uga wa uchumi na siasa duniani kote.
EL DJ Loco Show Hosted by Super DJ Emiliot all the way from Belgium sharing Music from all over the world, from afrobeats to Urban music via Electro and House
Brandpunt with Wynand Rossouw asks questions, provide answers and get listeners thinking. It aims to deliver the pure, unadulterated Word of God. Wynand facilitates discussions about controversial everyday Christian topics affecting believers worldwide. Brandpunt aims to ask questions, provide answers and get listeners thinking and informed. During His ministry on earth, Christ often asked questions to get individuals to reflect on matters to discover God’s truth about them.
A podcast dedicated to the great men of European history, from the famous to the criminally underrated. Support this podcast: https://anchor.fm/greatmenofourhistory/support
DeepXperience is a group of 3 artists (djs & producers). Namely Earful soul, Charlee & Deep Joy. We formed this team mainly because of our love for music.
S
Sandfast - en podkast om okkuperte Vest-Sahara


1
Sandfast - en podkast om okkuperte Vest-Sahara
Støttekomiteen for Vest-Sahara
Like ved Kanariøyene, på Afrikas fastland, lar Europa sine egne, kortsiktige interesser gå foran prinsipper om menneskerettigheter og fred. Velkommen til Sandfast - vår podkast om Vest-Sahara, den siste kolonien på det afrikanske kontinent.
Der Name ist Programm. Football was my first love ist ein Podcast über Fußballkultur, Fanszenen, Groundhopping, Fan-Anekdoten. Und Borussia Dortmund.
Legal Kaffe prosjekt. Hensikten med denne gruppen er å hjelpe meg på vei til å lage et Kaffe merke. Visjonen er at det skal være 4 stk 50 gram poser med Kaffe sammen med et hefte på ca 8 sider pluss omslag. Hver pose får et ark som forklarer hvor, hva og hvem som har dyrket, brent og andre tips til tilberede e.l. Resten av plassen vil bli brukt til Redaksjonelt innhold f.eks shoortstories, faktaopplysninger ala folkeopplysningen eller andre artikler. Hvorfor vil kunder kjøpe denne Kaffe frem ...
A
Alfajiri - Voice of America


1
Jimbo la Kisumu, mwenyeji wa mkutano wa marais wa Afrika kuhusu ukuaji wa miji barani humo - Mei 17, 2022
30:00
30:00
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
30:00
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta anatarajiwa kufungua rasmi mkutano huo leo Jumanne, ambao unahudhuriwa pia na takriban marais watano , marais waliostaafu, wajasiriamali na mashirika ya kimataifa.By VOA
Habt Ihr letztens das Bild von Mo Salah im Laserpointer-Scheinwerfer-Licht gesehen? Kollege Kay von sportandtravel.de war bei dem besagten Spiel Senegal - Ägypten und ihm sind bei dem Spiel fast die Ohren weggeflogen. Und auch sonst hat Kay die eine oder andere gute Geschichte aus dem Hopperleben zu erzählen... oder kennt Ihr sonst jemanden, der pa…
J
Jioni - Voice of America


1
Wataalamu wa mitandao wanaitaka Afrika kuongeza kasi katika kukabiliana na wahalifu - Mei 11, 2022
30:00
30:00
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
30:00
Nchi za kusini mwa jangwa la Sahara ni baadhi ya masoko ya mtandaoni yanayokuwa kwa kasi duniani jambo ambalo linazifanya kuvutia na kukabiliwa na uhalifu wa mtandaoni, wanasema wataalamu.By VOA
S
Siha Njema


1
Mbinu za kisasa za kupambana na Maleria barani Afrika.
10:09
10:09
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:09
Katika Makala haya Carol Korrir anazungumza na daktari Willis Akhwale mshauri wa muungano wa viongozi wa bara la Afrika kuhusu kupambana na Maleria juu ya mbinu za kisasa kukabiliana na ugonjwa huo ambao bado umeendelea kuwa tisho duniani.By RFI Kiswahili
N
Not So Angry Environmentalists


1
Sustainable Companies 1: Mary Nyaruai on Nyungu Afrika
23:55
23:55
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:55
Mary Nyaruai, a Kenyan entrepreneur talks about her sustainable menstrual pads company- Nyungu Afrika. She speaks about innovation, design, funding, and being a green entrepreneur. Enjoy Siya fangirling for half an hour :D
B
Brazo Wa Afrika Addictive Sessions


1
Episode 55: Addictive Sessions Episode 55 Mixed By Brazo Wa Afrika
1:58:01
1:58:01
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:58:01
Tracklist: Steve Madera, Brian Alexander Morgan - Smile (Mark Di Meo Remix) Tapes ft. Dindy - Love Ain’t Easy B-Soul, Shamrock Guitor - The Jazzy Journey Syren Rivers, Frankie Feliciano - By My Side (Sean McCabe Patterns Vocal Mix) Lee Wilson, Brutha Basil, Kevin Sylvester - Keep Keeping On (Brukel Soulful Mix) John Khan, Paul Lyons - Magic (Origin…
J
Jukwaa la Michezo


1
Droo ya michuano ya mataifa ya Afrika 2023 yafanyika
23:46
23:46
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:46
Shirikisho la soka barani Afrika CAF, limetangaza droo ya michuano ya kufuzu kucheza fainali ya Afrika mwaka 2023 nchini Ivory Coast. Zimbabwe na Kenya ambazo zimefungiwa na FIFA nazo zimejumuishwa. Tunajadili.By RFI Kiswahili
M
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii


1
Viongozi wa nchi za Jumuia ya Afrika mashariki na usalama wa DRC, kifo cha Kibaki Kenya
20:16
20:16
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:16
Tumekukusanyia mengi katika Makala hii, utasikia mkutano wa Viongozi wa Nchi za Jumuia ya Afrika mashariki kuhusu Usalama wa Mashariki mwa DRC, kifo cha Rais wa Tatu wa Kenya MWAI KIBAKI pia Kura za mchujo katika vyama vya kisiasa nchini humo kuelekea uchaguzi mkuu wa Agosti, lakini pia Uchaguzi wa duru ya pili nchini Ufaransa Jumapili ya tarehe 24…
D
DW Deutsch lernen


1
Deutsch lernen (B2/C1) | Langsam gesprochene Nachrichten vom 17.05.2022
10:05
10:05
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:05
Klickt hier, um zum Manuskript zu gelangen: https://bit.ly/Deutschlernen_Langsam-gesprochene-Nachrichten_17052022Die Langsam gesprochenen Nachrichten der Deutschen Welle bieten von Montag bis Samstag aktuelle Tagesnachrichten aus aller Welt. Das langsam und verständlich gesprochene Audio trainiert das Hörverstehen. Zusätzlich gibt es den vollständi…
C
Changu Chako, Chako Changu


1
Mjadala kuhusu uchoraji vibonzo baada ya tamasha la jijini Nairobi
20:01
20:01
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:01
Karibu kuwa nami kwa mara nyingine tena Jumapili hii katika Makla haya ya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea muendelezo wa Makala kuhusu uchoraji vibonzo na kwenye muziki nitamzungumzia hayati Robert Nesta Marley maharufu Bob Marley aliefariki miaka 41 iliopita. mimi ni Ali Bilali Bienvenue. Usikosi pia kunifollow kwa instagram @billy_…
J
Jioni - Voice of America


1
Raila Odinga amtangaza mgombea wake mwenza siku moja baada ya William Rutto kufanya hivyo. - Mei 16, 2022
29:59
29:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
29:59
Raila Odinga amemtangaza Martha Karua kama mgombea wake mwenza kwa uchaguzi mkuu wa Kenya.Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika imetimiza miaka 60, ni mabadiliko gani yamejitokeza?Ukraine yadai kurejesha nyuma vikosi vya Russia katika eneo la Kharkiv.By VOA
sanaa ya kuchora vibonzo kwa muda mrefu imetumika kuhakikisha haki inatendeka kwa jamii, katika makala haya wachora vibonzo kutoka Africa Mashariki wanaeleza ni kivipi.By RFI Kiswahili
S
Siha Njema


1
Raia wa Kenya na Sudan Kusini kujipima Virusi vya Ukimwi
9:37
9:37
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:37
Katika makala haya ,tumeangazia kampeni ya serikali ya Sudan Kusini na Kenya ya kusambaza vifaa vya mtu kujipima virusi vya HIV,ili kupûnguza idadi ya watu wanaoishi na virusi hivyo bila wao kujua na kuendelea kusambaza ugonjwa wa Ukimwi.By RFI Kiswahili
D
DW Deutsch lernen


1
Deutsch lernen (B2/C1) | Langsam gesprochene Nachrichten vom 16.05.2022
8:06
8:06
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
8:06
Klickt hier, um zum Manuskript zu gelangen: https://bit.ly/Deutschlernen_Langsam-gesprochene-Nachrichten_16052022Die Langsam gesprochenen Nachrichten der Deutschen Welle bieten von Montag bis Samstag aktuelle Tagesnachrichten aus aller Welt. Das langsam und verständlich gesprochene Audio trainiert das Hörverstehen. Zusätzlich gibt es den vollständi…
A
Alfajiri - Voice of America


1
William Ruto amteua Rigathi Gachagua kama mgombea mwenza kwenye uchaguzi wa rais - Mei 16, 2022
30:00
30:00
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
30:00
Makamu rais wa Kenya William Ruto Jumapili alimteua Rigathi Gachagua kuwa mgombea mwenza kwenye uchaguzi wa rais utakaofanyika mapema mwezi Agosti mwaka huu.Gachagua ni kutoka kabila la Kikuyu.By VOA
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.By VOA
El Caudillo - the great man who led the Nationalist to victory over communism in Spain and ruled his realm for God and King. Our host Pavel and Eurodingo are joined by Juan Monje - a Spanish soldier, father, and protector to the current King of Spain. We discuss Franco's formative years, brilliant military career, the Spanish Civil War, and his lon…
J
Jioni - Voice of America


1
Siku ya kimataifa ya wauguzi yaadhimishwa wauguzi waeleza mabadiliko katika kazi zao. - Mei 14, 2022
29:59
29:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
29:59
Katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wauguzi wauguzi wanaeleza umuhimu wa kazi yao na changamoto wanazopitia wakitoa wito wa serikali kutoa kipaumbele zaidi kwa wauguzi na kuwapa vifaa na teknolojia.By VOA
M
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii


1
Uganda na Tanzania kuboresha biashara ya sukari, rais wa DRC ashutumu jeshi lake
20:13
20:13
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:13
Makala hii imeangazia hali ya usalama kuendelea kuzorota mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, ziara ya rais wa Tanzania Samia Suluhu nchini Uganda, na namna alivyowahakikishia ahueni wananchi wa taifa lake, viongozi wa Afrika wakubaliana kuhusu mapambano dhidi ya ukame kwenye nchi zao pia hali ya mashambulizi na uvamizi wa Ukraine pamoja…
D
DW Deutsch lernen


1
Deutsch lernen (B2/C1) | Langsam gesprochene Nachrichten vom 14.05.2022
8:00
8:00
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
8:00
Klickt hier, um zum Manuskript zu gelangen: https://bit.ly/Deutschlernen_Langsam-gesprochene-Nachrichten_14052022 Die Langsam gesprochenen Nachrichten der Deutschen Welle bieten von Montag bis Samstag aktuelle Tagesnachrichten aus aller Welt. Das langsam und verständlich gesprochene Audio trainiert das Hörverstehen. Zusätzlich gibt es den vollständ…
Karibu kwenye taarifa yetu ya khabari kutoka Dawati la Khabari lilioko Maskati, Oman. Unaweza kupokea taarifa zetu za khabari kupitia Apple Podcasts, Google Podcasts, CastBox, OverCast na vituo vyengine vya Podcasts. Unachotakiwa kufanya ni kupakia Podcasts yoyote kati ya hizo kwenye simu na ikisha, kutafuta Khabari za Oman na kujisajili kwenye mko…
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.By VOA
D
DW Deutsch lernen


1
Deutsch lernen (B1) | Blaue Lebensmittel: Woher kommt die Abneigung?
2:44
2:44
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:44
Testet euer Wissen mit interaktiven Übungen: https://bit.ly/Top-Thema_Blaue-Lebensmittel-Woher-kommt-die-AbneigungMit dem Top-Thema könnt ihr euch gleichzeitig über Neues aus aller Welt informieren und euren Wortschatz erweitern. Wir bieten euch zwei leicht verständliche Berichte mit Vokabelangaben und Fragen zum Text pro Woche. Hier geht's zur Übe…
D
DW Deutsch lernen


1
Deutsch lernen (B2/C1) | Langsam gesprochene Nachrichten vom 13.05.2022
8:53
8:53
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
8:53
Klickt hier, um zum Manuskript zu gelangen: https://bit.ly/Deutschlernen_Langsam-gesprochene-Nachrichten_13052022Die Langsam gesprochenen Nachrichten der Deutschen Welle bieten von Montag bis Samstag aktuelle Tagesnachrichten aus aller Welt. Das langsam und verständlich gesprochene Audio trainiert das Hörverstehen. Zusätzlich gibt es den vollständi…
Was ist ein Arschfax? Kann man Kabelsalat essen? Und warum gibt es keine Hexen, aber einen Hexenschuss? Oft bedeuten diese Wörter etwas anderes, als man denkt. Viele von ihnen stehen nicht im Wörterbuch. Jede Woche erklären wir hier ein kurioses deutsches Wort zum Beispiel aus der Umgangssprache oder aus Redewendungen – lustig, ernst oder einfach s…
Wynand spoke to Neville Goodchild from Lewende Woord in Bloemfontein about the Gap between the pulpit and the pew, and the possible solution.By Wynand Rossouw
A
Alfajiri - Voice of America


1
Mipango ya serikali ya mpito Guinea kumfungulia mashtaka Alpha Conde huenda ikakumbwa na mashaka - Mei 13, 2022
30:00
30:00
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
30:00
Utafiti uliofanywa na Afrobarometer mwaka 2019 ulionyesha kwamba zaidi ya asilimia 90 ya wananchi wa Guinea wanaona kwamba idara ya mahakama nchini humo imejaa rushwaBy VOA
Karibu kwenye taarifa yetu ya khabari kutoka Dawati la Khabari lilioko Maskati, Oman. Unaweza kupokea taarifa zetu za khabari kupitia Apple Podcasts, Google Podcasts, CastBox, OverCast na vituo vyengine vya Podcasts. Unachotakiwa kufanya ni kupakia Podcasts yoyote kati ya hizo kwenye simu na ikisha, kutafuta Khabari za Oman na kujisajili kwenye mko…
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.By VOA
D
DW Deutsch lernen


1
Deutsch lernen (B2/C1) | Langsam gesprochene Nachrichten vom 12.05.2022
10:10
10:10
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:10
Klickt hier, um zum Manuskript zu gelangen: https://bit.ly/Deutschlernen_Langsam-gesprochene-Nachrichten_12052022 Die Langsam gesprochenen Nachrichten der Deutschen Welle bieten von Montag bis Samstag aktuelle Tagesnachrichten aus aller Welt. Das langsam und verständlich gesprochene Audio trainiert das Hörverstehen. Zusätzlich gibt es den vollständ…
A
Alfajiri - Voice of America


1
Polisi wa Somalia anasema watu saba walijeruhiwa Jumatano katika shambulizi la kujitoa mhanga - Mei 12, 2022
29:59
29:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
29:59
Msemaji wa polisi nchini Somalia Abdifatah Adan Hassan aliwaambia waandishi wa habari mlipuko wa kujitoa mhanga karibu na uwanja wa ndege wa Mogadishu ambalo ni eneo la uchaguzi wa Rais siku ya Jumapili umejeruhi watu sabaBy VOA
Karibu kwenye taarifa yetu ya khabari kutoka Dawati la Khabari lilioko Maskati, Oman. Unaweza kupokea taarifa zetu za khabari kupitia Apple Podcasts, Google Podcasts, CastBox, OverCast na vituo vyengine vya Podcasts. Unachotakiwa kufanya ni kupakia Podcasts yoyote kati ya hizo kwenye simu na ikisha, kutafuta Khabari za Oman na kujisajili kwenye mko…
D
DW Deutsch lernen


1
Deutsch lernen (B2/C1) | Langsam gesprochene Nachrichten vom 11.05.2022
7:35
7:35
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
7:35
Klickt hier, um zum Manuskript zu gelangen: https://bit.ly/Deutschlernen_Langsam-gesprochene-Nachrichten_11052022Die Langsam gesprochenen Nachrichten der Deutschen Welle bieten von Montag bis Samstag aktuelle Tagesnachrichten aus aller Welt. Das langsam und verständlich gesprochene Audio trainiert das Hörverstehen. Zusätzlich gibt es den vollständi…
A
Alfajiri - Voice of America


1
Spika wa Bunge la Kenya Justin Muturi ametupilia mbali stakabadhi zilizowasilishwa bungeni kuhusu William Ruto na unyakuzi wa ardhi - Mei 11, 2022
30:00
30:00
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
30:00
Mbunge wa jimbo la Wajir Fatuma Gedi aliwasilisha hati za ushahidi bungeni akimhusisha Naibu Rais William Ruto na unyakuzi wa ardhi katika maeneo mbalimbali nchini Kenya huku spika akisema hati hizo zinakosa kukidhi kiwango kilichowekwa na sheria cha kuruhusiwa kukubalika kuwa ushahidiBy VOA
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.By VOA
Karibu kwenye taarifa yetu ya khabari kutoka Dawati la Khabari lilioko Maskati, Oman. Unaweza kupokea taarifa zetu za khabari kupitia Apple Podcasts, Google Podcasts, CastBox, OverCast na vituo vyengine vya Podcasts. Unachotakiwa kufanya ni kupakia Podcasts yoyote kati ya hizo kwenye simu na ikisha, kutafuta Khabari za Oman na kujisajili kwenye mko…
D
DW Deutsch lernen


1
Deutsch lernen (B1) | „Die Welt vergisst Afghanistan“
2:41
2:41
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:41
Testet euer Wissen mit interaktiven Übungen: https://bit.ly/Top-Thema_Die-Welt-vergisst-AfghanistanMit dem Top-Thema könnt ihr euch gleichzeitig über Neues aus aller Welt informieren und euren Wortschatz erweitern. Wir bieten euch zwei leicht verständliche Berichte mit Vokabelangaben und Fragen zum Text pro Woche. Hier geht's zur Übersichtsseite: d…
D
DW Deutsch lernen


1
Deutsch lernen (B2/C1) | Langsam gesprochene Nachrichten vom 10.05.2022
8:31
8:31
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
8:31
Klickt hier, um zum Manuskript zu gelangen: http://bit.ly/Deutschlernen_Langsam-gesprochene-Nachrichten_10052022 Die Langsam gesprochenen Nachrichten der Deutschen Welle bieten von Montag bis Samstag aktuelle Tagesnachrichten aus aller Welt. Das langsam und verständlich gesprochene Audio trainiert das Hörverstehen. Zusätzlich gibt es den vollständi…
A
Alfajiri - Voice of America


1
Maafisa wa Marekani wamemkamata mfungwa mtoro pamoja na afisa polisi aliyehusika - Mei 10, 2022
30:00
30:00
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
30:00
Casey White yuko chini ya ulinzi alisema Rick Singleton, Sheriff wa kaunti ya Lauderdale katika jimbo la Alabama nchini Marekani. White alisaidiwa kutoroshwa na afisa polisi Vicky White na mamlaka wiki iliyopita ilitangaza taarifa kuhusu wawili haoBy VOA