show episodes
 
Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano mbalimbali.
  continue reading
 
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
  continue reading
 
Artwork
 
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
  continue reading
 
Maelezo - Neno ni sehemu ya huduma ya kimataifa ya mafundisho ya biblia nzima ya Thru The Bible. Mfululizo wa mafundisho haya kwanza yaliandaliwa na Dkt. J. Vernon McGee na kutafsiriwa kwa lugha zaidi ya mia moja na kabila. mafundisho hayo yakusudiwa kuwa ya dakika 30 kwenye radio ambayo kwa mpangilio maalum humwezesha msikilizaji kujifunza Biblia nzima. Sasa ujumbe ndizo twakusilishia kwenye mtandao. Twashukuru kwamba umeanza kujifunza mengi zaidi katika Neno la Mungu kwa njia ya ujumbe hiz ...
  continue reading
 
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
  continue reading
 
Artwork
 
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
  continue reading
 
Hosted by a fellow student navigating the challenges of migraines, this podcast aims to provide practical strategies and insights aimed at assisting school students in effectively coping with migraines. From stress management techniques to creating a supportive school environment, each episode offers valuable tips to empower students and enhance their well-being amid the obstacles of migraine headaches.
  continue reading
 
Artwork
 
Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.
  continue reading
 
Artwork

1
The Social Radars

Jessica Livingston

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly
 
Jessica Livingston and Carolynn Levy are The Social Radars. Carolynn and Jessica have been working together to help thousands of startups at Y Combinator for almost 20 years. Come be a fly on the wall as they talk to some of the most successful founders in Silicon Valley about how they did it.
  continue reading
 
Join hosts ASHLEY E. MILLER (showrunner; Netflix's DOTA: Dragon's Blood) and STEVEN MELCHING (writer; The Clone Wars, Rebels, X-Men: The Animated Series, DOTA: Dragon's Blood) as they sit down at the cartoon barroom for a drink and conversation with industry luminaries about animation and cartoons from film and television. From Disney to Hanna-Barbera, Filmation to Pixar, Ruby-Spears to Haya Miyazaki and more, pull up a stool and have a seat at the Cartoon Barroom where everyone wants to kno ...
  continue reading
 
Doing my part to promote electronic music, I'll be uploading new episodes, featuring some of the most upfront trance, house, and dance tracks around creatively mixed together, bringing the clubbing experience to your home, gym, iPod, mobile, car, etc ... These episodes are completely free, just download them all and make sure you subscribe to this podcast to ensure you get the latest ones as soon as they're released. Please leave your comments - much appreciated .... Con la intención de prom ...
  continue reading
 
Artwork

1
Navi Shiur

Rabbi Michoel Sorotzkin

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly+
 
Horav Michoel Sorotzkin shlit"a is a world renown lecturer and author. His Navi shiurimim, which until now was exclusively in Hebrew, will for the first time be available for an English-speaking audience. The shuir will begin from Sefer Yehosha and will cover both Halacha and Agada, with an emphasis on the historical context of Navi as well as a special focus on Mishnas HaGr'a. Subscribe here to get the latest shiurim. This podcast is powered for free by Torahcasts. Start your own forever fr ...
  continue reading
 
Artwork
 
Bienvenidos a «La casa de palabras». Un podcast de conversación sobre dudas y cuestionamientos acerca del castellano. Conducen Luisa Portilla, Lingüista y Doctora en Literatura y Saussure Figueroa, Educador y Magister en Integración de TIC en Educación.
  continue reading
 
Artwork
 
WHEREING explores ‘where we are’. Like clothing, we are ‘WHEREING’ (wear-ing) our spaces. Hosted by architect/designer/professor Nina Freedman, these are mindful conversations about BELONGING, SPACE AND DESIGN. . Where Are You?...is a basic existential question. Where do you belong? . At WHEREING we talk with designers, artists, poets, healers, writers, educators...and regular wonderful everyday people who think about belonging ...perhaps YOU. We talk about our connections or disconnections ...
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Katika makala ya leo, Anold Kayanda wa Idhaa hii amezungumza na vijana wawili waliozaliwa tayari wakiwa na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi na hivyo wameamua kujitolea kusukuma mapambano dhidi ya ugojwa huo hatari duniani. Katika mikutano inayoendelea katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa wakati huu wa Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa…
  continue reading
 
Professor Yirmi Pinkus celebrates with us the rerelease of the classic Hebrew children's book, 100 Rooms by Haya Shenhav, in a new American edition (Kalaniot Books, 2024), published (May 1st, 2024) by Kalaniot Books, with his stunning new illustrations. We also discuss his career as an illustrator alongside being an academic teaching the subject, a…
  continue reading
 
Tuliyokuandalia ni pamoja na uchambuzi wa mechi ya Kombe la Super Cup Afrika, Kenya kuwa mwenyeji wa mashindano ya baiskeli Afrika kwa mara ya kwanza, matokeo ya riadha jijini New York, sura mpya za wanariadha watakaoshiriki Berlin Marathon hapo kesho, Ligi za ukanda kwenye soka, voliboli na basketboli lakini pia matokeo ya Kombe la Europa League r…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea kipindi maalum. Leo mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ukiwa umeingia siku ya nne, miongoni mwa wahutubiaji ni Tanzania. Kabla ya kupanda katika mimbari ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Flora Nducha wa Idhaa hii ya Kiswahili alipata fursa ya kuketi na mwakilishi wa taifa hilo katika mjadala huu, Waziri Mku…
  continue reading
 
Leo hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa, kando ya mjadala mkuu wa UNGA79, viongozi wanakutana kwenye Mkutano wa Ngazi ya Juu ukimulika usugu wa viuavijiumbe maradhi, Antimicrobial Resistance, kwa kiswahili ikiitwa pia UVIDA, au Usugu wa Vimelea dhidi ya Dawa. Katika taarifa ya Pamoja iluyotolewa kwenye mkutno huo na mashirika ya Umoja wa Mataifa l…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka katika hospitali ya kanda Bugando, mkoani Mwanza, kaskazini-magharibi mwa Tanzania kumulika chanzo na madhara ya usugu wa vimelea dhidi ya dawa au UVIDA. Pia tunakuletea habari kwa ufupi na katika kujifunza Kiswahili tunabisha hodi nchini Zimbabwe, kulikoni?Hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataif…
  continue reading
 
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.By VOA
  continue reading
 
Viongozi wa dunia wakiendelea kuhutubia kwenye Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hapa New York, Marekani, kandoni kunafanyika Mkutano wa Ngazi ya Juu ukimulika madhara ya ongezeko la kina baharí kutokana na kina cha baharí. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres akihutubia viongozi wa dunia amewataka wachukue hatua za kijasir…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia ujumbe wa wanaharakati wa malengo ya maendeleo endelevu ambao wamekuja hapa makao makuu ya umoja wa mataifa kuwa sehemu ya utatuzi katika mijadala mikuu ya UNGA79. Makala tunasalia hapa makao makuu na mashinani tunakwenda DRC.Viongozi wa dunia wakiendelea kuhutubia kwenye Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa h…
  continue reading
 
Mjadala mkuu wa wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kikao cha 79 umeingia siku ya pili hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa nasi tunaendelea kuzungumza na washhiriki mbalimbali wakiwemo kutoka asasi za kiraia kusikia maoni yao kuhusu mkutano huu. Flora Nducha amebahatika kuongea na mwanaharakati mmoja wao kutoka nchini Zimbabwe.Bi. Chigumira ni mwana…
  continue reading
 
Jaridani tunakuletea mada kwa kina ikiwa hii leo Mjadala mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa mataifa UNGA79 umeng’oa nanga hii na tunakutana na mdau anayepigia chepuo malengo ya maendeleo endelevu hasa haki katika lengo namba 4 la Elimu Bora.Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA79 umeanza leo New York, Marekani ambapo Katibu Mkuu wa Anton…
  continue reading
 
Jana Jumapili ya Septemba 22 viongozi wa dunia walipitisha Mkataba wa Zama Zijazo. Mkataba huu unalenga kukabili changamoto za karne ya 21 kuanzia mizozo, mabadiliko ya tabianchi, haki za binadamu, hadi taarifa potofu na za uongo. Maeneo Matano makuu ni pamoja na maendeleo endelevu, amani na usalama duniani, sayansi na teknolojia, vijana na vizazi …
  continue reading
 
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma k…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina kama nilivyokujulisha leo ambayo ni kipindi maalum kinachojumuisha hotuba za viongozi wa dunia na watetezi wa haki za binadamu ikiwa ni jana Jumapili Septemba 22 viongozi hao walipitisha Mkataba wa Zama Zijazo. Pia tunakuletea muhtasari wa habari kama zifuatazo.Mkutano wa Zama Zijazo uliofanyika kwa siku n…
  continue reading
 
Katika makala haya, mtangazaji wako Ali Bilali amezungumza na Amua Rushita kutoka Mkoa wa Mtwara pamoja na Hillary Alexanda Ruhundwa kutoka Mkoa wa Ngara nchini Tanzania kuzungumzia utamaduni wa ndoa kulingana na makabila hayo mawili. Kumbuka pia nawe unaweza kushiriki moja kwa moja studio au kwa njia ya simu. Wasiliana na mtangazaji wako asiependa…
  continue reading
 
Tuliyokuandalia ni pamoja na taarifa ya ziara ya rais wa CAF Patrice Motsepe nchini Kenya, awamu ya pili kufuzu hatua ya makundi mechi za klabu bingwa Afrika, timu za Kenya za soka na mchezo wa Kabaddi tayari kushiriki Kombe la Dunia, timu za taifa Afrika Mashariki zimepanda kwenye msimamo wa dunia wa FIFA, uchambuzi wa raundi ya kwanza mechi za UE…
  continue reading
 
Leo hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani vijana kutoka kila kona ya dunia wanakutana kuanza kujadili kuhusu mstakabali wao katika zama zijazo. Miongoni mwao ni Jerop Limo kutoka Kenya anayetumia uzoefu wake wa kuishi na Virusi Vya Ukimwi kwa miaka 24 ya umri wake kuhakikisha ulimwengu unakuwa mahali bora kwa watu ambao tay…
  continue reading
 
Hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa New York Marekani ambako mkutano wa Zama Zijazo umen’goa nanga leo kwa siku mbili za kuchua hatua kabla ya kikao cha ngazi ya juu siku ya Jumapili na Jumatatu. Leo Vijana wanapata fursa ya kupaza sauti zao kuhusu dunia na mustakbali wautakao. Flora Nducha wa Idhaa hii amezungumza na kijana mwenye ulemavu kutoka …
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia uondoaji wa taka katika ukanda wa Gaza, na ujumbe wa vijana ambao watashiriki mijadala mikuu hapa makaomakuu ya Umoja wa Mataifa. Makala tunasalia hapa hapa makao makuu na mashinani tunakupeleka nchini Sudan Kusini, kulikoni?Hali inazidi kuwa si hali huko Ukanda wa Gaza kwani sasa raia wanakwepa sio tu mashambulizi na m…
  continue reading
 
Hali inazidi kuwa si hali huko Ukanda wa Gaza kwani sasa raia wanakwepa sio tu mashambulizi na magonjwa bali pia nyoka, panya na wadudu ambao wanasambaa kutokana na mazingira machafu. Watu wanajihifadhi kwenye maeneo ya wazi bila mifumo ya majitaka au ya kuondoa maji ya mvua. Timu ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa kipalestina…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tuankuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Sudan Kusini kufuatilia changamoto za kibinadamu na jinsi ambavyo mashirika ya Umoja wa Mataifa yanavyozitatua. Pi atunakuletea muhtasari wa habari kama zifuatazo na ufafanuzi wa methali.Licha ya kuongezeka kwa majanga duniani, kuanzia umaskini hadi dharura ya tabianchi, Umoja wa Matai…
  continue reading
 
Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO nchini Sudan Kusini limesema licha ya uchaguzi mkuu kuahirishwa nchini humo hadi 22 Desemba 2026 kitu kikubwa kwa taifa hilo changa zaidi barani Afrika ni amani. Akizungumza na Flora Nducha wa Idhaa ya Kiswahili katika Makala hii Meshack Malo mwakilishi wa FAO Sudan Kusini amesema kuahirisha ucha…
  continue reading
 
Kutokana na ombi la serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (the Global Fund) leo umetangaza kuchangia dola za Marekani milioni 9.5 kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa mpox katika majimbo sita kati ya yale yenye viwango vya juu zaidi vya maambukizi nchini humo. Tangazo…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia juhudi za Umoja wa Mataifa za kukabiliana na ugonjwa wa MPOX barani Afrika. Makala inatupeleka nchini Sudan Kusini kuangazia uhairishwaji wa uchaguzi na mashinani nchini Sudan ambapo vilabu vinatumiwa kuimarisha ulinzi wa wasichana.Kutokana na ombi la serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mfuko wa Kimataif…
  continue reading
 
Nchini Burundi shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linashirikiana na serikali kuhakikisha mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani au mpox nchini humo hauthiri watoto kurejea shuleni wakati huu ambapo asilimia 33 ya wagonjwa wakiripotiwa kuwa na umri wa kati ya miaka 5 hadi 19. Cecily Kariuki anatupa maelezo zaidi kupitia video hii y…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka Nairobi Kenya ambako tutamsikiamwanamuziki nyota, mjasiriamali na mwanaharakati wa haki za wanawake Lizi Ogumbo. Pia tunakuletea habari kwa ufufpi na mashinani.Vurugu dhidi ya wapinzani wa serikali nchini Venezuela zimefurutu ada, imesema tume huru ya uchunguzi ikitaja kukamatwa, ukatili wa k…
  continue reading
 
Wahudumu wa kibinadamu wanahaha hivi sasa kufikisha msaada Kaskazini Mashariki mwa Nigeria kwenye jimbo wa Borno mjini Maiduguri ambako maelfu ya watu wametawanywa baada ya bwawa la Alau kufurika na kupasua kingo zake usiku wa manane wiki iliyopita kutokana na mvua kubwa. Shirika la Umoja wa Matifa la mpango wa chakula duniani WFP ni mdau mkubwa ka…
  continue reading
 
Pamoja na chapisho lililotolewa leo na Shirika la Umoja wa Mataifa la hali ya hewa (WMO) kuangazia ushahidi unaoongezeka kwamba tabaka la ozoni kwa hakika liko mbioni kurejea katika hali nzuri, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kupitia ujumbe wake maalumu kwa ajili ya siku ya leo ya Kimataifa ya Uhifadhi wa Tabaka la Ozoni amesisitiz…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia ujumbe wa Katibu Mkuu wa UN wa Tabaka la Ozoni, na mssada wa kibinadamu kwa wenyeji wa kisiwa kidogo cha Carriacou, Grenada waliokumbwa na kimbunga Beryl. Makal tunakupeleka nchini Nigeria na mashinani nchini Sudan.Pamoja na chapisho lililotolewa leo na Shirika la Umoja wa Mataifa la hali ya hewa (WMO) kuangazia ushahid…
  continue reading
 
Kimbunga Beryl, kilichopiga tarehe 1 Julai 2024, kimewaacha wakazi wa kisiwa kidogo cha Carriacou, Grenada, na athari kubwa . Kufuatia changamoto zinazowakabili wasamaria kutoka maeneo mbalimbali likiwemo Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) wamewasaidia kurejesha matumaini kama anavyosimulia Anthony St. Hilaire manusura wa kimbunga hicho.…
  continue reading
 
Loading …

Quick Reference Guide