Best Katika podcasts we could find (Updated November 2017)
Related podcasts: Education Religion Islamic Ramadhani Uislam Mwezi Hukumu Jihadi Baada Waislam Njia Swala Dini Mungu Yake Umuhimu Swaumu Adabu Mtume Ramadhan  
Katika public [search 0]
show episodes
 
U
Umoja Katika Uisilamu
Daily+
 
Mada hii inazungumzia umoja na mshikamano katika dini na faida zake.
 
K
Kisimamo Katika Ramadhani
Daily+
 
Mada hii inazungumzia qiyamu layli,ubora wake na namna ya kuswali,na ulazima wa kuwali kisimamo cha usiku.
 
U
Uongozi Katika Uislam
Daily+
 
Mada hii inazungumzia uongozi katika uislam,na umuhimu wa uongozi,na matatizo ya misikitini na tasisi za kislam,na dalili ambazo zimekuja kuzungumzia uongozi,mifano hai ya uongozi na umuhimu wake
 
K
Kudum Katika Mema
Daily+
 
Mada hii nazungumzia umuhimu wa kufanya ibada na mambo mema katika muda wote wa uhai
 
U
Uzushi Katika Dini (Bidaa)
Daily+
 
Mada hii inazungumzia uzushi katika dini athari zake na hukumuzake.
 
H
Hukumu Za Talaka Katika Uislam
Daily+
 
Darasa hili inazungumzia hukumu ya talaka katika uislam,na lengo la kuoana,na makosa ya wanandoa katika ndoa zao.
 
S
Sharti Za Walii Katika Ndoa
Daily+
 
Mada hii inazunguzia Sharti za Walii katka ndoa,katika yalio zungumzwa:Sharti za walii,na Umuhumu wa kuheshimu Ndoa,na wanavyo takiwa wawe wanandoa.
 
U
Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani
 
Mada hii inazungumzia yanayo letwa na mwzi wa ramadhani,na ushindi ulio patikana katika mwezi wa ramadhani,na yanayo paswa kufanywa katika mwezi wa ramadhani,na sharti ya ushindi.
 
H
Heshima Ya Waislam Katika Quraan
 
Mada hii inazungumzia heshima ya waislam katika quraan na sababu za kudhofika umma wa kiislam na kuamsha nafsi za waislam na kutambuwa kua uisilam ndio dini ya haqi.
 
S
Sababu Za Kutofautiana Katika Dini
 
Mada hii inazungumzia sababu za kutofautiyana na tiba sahihi ya kutofautiyana pia imezungumzia athari mbaya za kutofautiyana.
 
U
Umuhimu Wa Hisba Katika Uislam
 
Mada hii inazungumzia umuhimu wa hisba katika uislam,maana yake na uwajibu wa hisba na mfano wa hisba katika wakati wa mtume.
 
U
Umuhimu Wa Afya Katika Maisha Yetu
Daily+
 
Mada hii inazungumzia umuhimu wa afya katika maisha yetu na mambo yanayo haribu afya zetu nay ale yanayo imarisha afya zetu.
 
M
Matendo Mazuri Katika Mwezi Wa Ramadhani
 
Mada hii inazungumzia thamani ya matendo mema yanayo fanyika katika mwezi mtukufu wa ramadhani.
 
H
Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri
 
Mada hii inazungumzia hukumu ya kuishi katika miji ya kikafiri na mwongozo kamili kuhusu mambo yanayo takiwa kuyafanya mwislam.
 
D
Duaa Katika Usiku Wa Laylatul-Qadr
 
Mada hii inazungumzia tafsiri ya suratul qadri na kueleza ibada kubwa aliyokuwa akifanya mtume (s.a.w)na fadhila za kusimama kuitafuta laylatul qadri,na yanayo semwa katika usiku wa laylatul qadri.
 
K
Kuthibiti Katika Ibada Baada Ya Ramadhan
 
Mada hii imezungumzia mbinu za iblisi katika kuwapoteza watu,na sababu zinazo msaidia mtu kuwa katika ibada baada ya ramadhan.
 
M
Mvurugiko Wa Madili Katika Nyumba Za Waislam
 
Mada hii inazungumzia mmomonyoko na mvurugiko wa maadili katika nyumba za waislam, na uwajibu wa kujifunza kwa mtume alayhi salam.
 
M
Mambo Yanayo Patikana Katika Mwezi Wa Ramadhani
 
Mada hii inazungumzia mambo yaliomo katika ramadhani,na mambo yanayo takiwa kabla ya ramadhani,na yanao paswa kwa muislam baada ya kuonekanwa kwa mwezi,na uharamu wa kufunga siku ya shaka.
 
M
Misingi Bora Ya Malezi Ya Watoto Katika Uislam
 
Mada hii inazungumzia misingi bora ya malezi ya mtoto katika uislam,tangu hajazaliwa mtoto,pia imezungumzia matatizo ya malezi na ufumbuzi wake.
 
S
Sampuli Za Jihadi Katika Njia Ya Mwenyezi Mungu
 
Mada hii inazungumzia aina za jihadi,akasema shekh kuwa jihadi ina aina mbili :Jihadiya kujitetea, na Jihadi ya ilio tangazwa na Kiongozi.
 
M
Msimamo Wa Uislam Kuhusu Jihadi Katika Njia Ya Allah
 
Mada hii inazungumzia msimamo wa Uislam kuhusu kuhusu kupigana Jihadi katika njia ya Allah, na upambanuzi wake, na tatizo la waislam wengi kuto fatilia mambo kwa kina, na madhara ya Hamasa.
 
M
Miongoni Mwa Hukumu Za Kisheria Katika Twahara Na Swala
 
Muhadhara huu unazungumzia namna ya kutawadha,na kuoga,na kutayamamu,kupaka juu ya khofu,na jinsi ya kutawadha mgonjwa.pia namna ya kuswali,yanayo chukiza katika swala,na yanayo batilisha swala,na sijda ya kusahau,na hukumu ya mtu asie swali.
 
U
Uhakika Wa Nabii Issa Katika Qura’n Na Injili
 
Mada hii inazunguzia uhakika wa Nabii Issa ndani ya Qur’an tukufu, na katika Biblia, na sababu ya kupandishwa Mbinguni.
 
T
Thamani ya swala ya Alfajiri katika mwezi wa Ramadhani
 
Mada hii inazungumzia thamani ya swala ya Alfajiri katika Jamaa katika mwezi wa ramadhani,na namna ambavyo zinavyo zidishwa thawabu za swala ya alfajiri.
 
U
Utata Katika Maswala Ya Jihadi Na Majibu Yake
 
Mada hii inazungumzia: Daraja za jihadi, ni wakati gani jihadi inakuwa ni lazima, vievile inazungumzia maneno ya wanachuoni kuhusu jihadi.
 
W
Wajibu Wa Kumtii Mtume S.A.W, Na Kulazimika Kuwa Katika Jamaa Ya Waislamu
 
Mada hii inazungumzia mambo yafuatayo: umuhimu wa kuwatii viongozi, fitina za zama za mwisho na maana halisi ya jamaa.
 
A
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية
 
Daily Swahili radio programs from Adventist World Radio - Karibu katika matangazo ya kiswahili ya Redio ya Waadventista Ulimwenguni
 
C
China machoni mwetu
Weekly+
 
Mambo wanayofanya wachina katika maisha ya kila siku, yanayohusu wachina wa kawaida, na yale yanayofuatiliwa na watu wa kawaida katika jamii.
 
N
Noa Bongo - Afya na Masuala ya Jamii
Monthly
 
Vipindi vyetu vinajaribu kuwahamasisha wasikilizaji wetu vinazungumzia masuala ya afya katika jamii
 
U
Ubora Wa Kupatikana Miezi Mitukufu
 
Khutba hii inazungumzia miezi mitukufu na cheo chake na utukufu wake katika uislam.
 
N
Noa Bongo – Uchumi na Mazingira
 
Katika mfululizo wa vipindi vyetu utapata fursa ya kujifunza kuhusu masuala ya uchumi na biashara pamoja na mazingira.
 
N
Neno @ttb.twr.org/swahili
Daily
 
Maelezo - Neno ni sehemu ya huduma ya kimataifa ya mafundisho ya biblia nzima ya Thru The Bible. Mfululizo wa mafundisho haya kwanza yaliandaliwa na Dkt. J. Vernon McGee na kutafsiriwa kwa lugha zaidi ya mia moja na kabila. mafundisho hayo yakusudiwa kuwa ya dakika 30 kwenye radio ambayo kwa mpangilio maalum humwezesha msikilizaji kujifunza Biblia nzima. Sasa ujumbe ndizo twakusilishia kwenye mtandao. Twashukuru kwamba umeanza kujifunza mengi zaidi katika Neno la Mungu kwa njia ya ujumbe hiz ...
 
M
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
 
Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea iwe ni katika uga wa uchumi na siasa duniani kote.
 
A
Adabu Za Kusalimiana
Daily+
 
Mada hii inazunguzia adabu na umuhimu wa salam katika uislam
 
A
Adabu Za Mazungumzo
Daily+
 
Mada hii inazungumzia adabu za kuzungumza katika uislam.
 
J
Jifunze Kijapani - NHK WORLD RADIO JAPAN
 
Shirika pekee la utangazaji la umma nchini Japani NHK, hutoa bure mafunzo haya yanayoaminika kwa huduma ya podcast. Unaweza kuanza kujifunza kwa urahisi sarufi ya msingi na misamiati kwa kusikiliza simulizi za Anna, anayejifunza Kijapani katika chuo kikuu kimoja jijini Tokyo.nhk.jp/lesson
 
F
Funga Ni Hikima Na Siri Nyingi
 
Mada hii inazungumzia hikima mbalimbali za funga na siri mbalimbali,na mambo mengi yaliyomo katika ramadhani,na sifa za watu wema katika swaumu.
 
Z
Zifahamu Fadhila Hizi
Daily+
 
Mada hii inazungumzia thamani ya undugu katika uislam na umuhimu wa kuwaandaa vijana kwaajili ya badae pia mada inazungumzia umuhimu wa swala ya Alfajri katika maisha yetu.
 
U
Udhaifu Na Ucha Mungu
Daily+
 
Mada hii inazunguzia namna ya kuutumia udhaifu katika kuupata ucha Mungu
 
D
Dhana Mbaya Ni Maradhi Ya Moyo
 
Mada hii inazunguzia maradhi ya moyo, na katika maradhi makubwa ya moyo ni dhana mbaya.
 
H
Hukumu Ya Kulipa Swaumu Ya Ramadhan
Daily+
 
Mada hii inazungumzia hukumu za kulipa swaumu ambazo zilizo mpita muislam katika mwezi mtukufu wa ramadhani
 
H
Hijja Ya Mtume Amani Iwe Juu Yake
 
Mada hii inazungumzia hija ya mtume alayhi salaam na mambo ambayo yalio watokea wanawake ambao wako katika ibada ya hija kama kupatwa na hedhi kama ilivyo mtokea mke wa mtume mamaetu aisha.
 
W
Wieso nicht? | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
 
Kijerumani: Masuala ya uhusiano, daktari wa meno, matatizo ya kuishi pamoja na ununuzi. Makala ishirini za sauti za kukufaa katika maisha ya kila siku. Masomo haya yananuiwa kupanua ufahamu wa Kijerumani chako.
 
U
Uhatari Wa Kumshirisha Mwenyezimungu
 
Mada hii inazungumzia mambo ambayo unapoyafanya unatoka katika uislam nayo niushirikina.
 
K
Kuiendea Fitnah
Daily+
 
Mada hii inazungumzia fitna zilizoenea katika zama na namna ya kijiepusha.
 
H
Hali Ya Waislam Baada Ya Ramadhani
Daily+
 
Mada hii inazungumzia hali ya waislam baada ya ramadhani na jinsi wanavyo gawika katika mafungu tofauti.
 
U
Umuhimu Wa Elimu
Daily+
 
Mada hii inazungumzia umuhimu wa elimu ya dini na kubainisha haki ya mtoto katika kumsomesha elimu ya dini,na majukumu ya wazazi kwa watoto,khatari ya kusoma katika mashule ya kikafiri.
 
U
Utukufu Wa Swaumu
Daily+
 
Mada hii inazungumzia utukufu wa swaumu katika fidia za makosa mbalimbali,na maajabu ya pepo ya wafungaji(arayaan).
 
H
Haki Za Mume Na Mke
Daily+
 
Mada hii inazungumzia haki za mume na haki za mke katika maisha yandoa kwamtizamo wa sheria ya kiislam.
 
N
Nini Baada Ya Ramadha
Daily+
 
Khutba hii inazungumzia namna ambavyo anatakiwa kuwa muislam baada ya ramadhani,na hali ya waislam katika ukanda wa gaza.
 
Loading …
show series
 
Ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR inaonyesha mabadiliko katika njia zilizotumiwa na wahamiaji na wakimbizi kuingia Ulaya katika robo ya tatu ya mwaka 2017. Kwa mujibu wa Pascale Moreau, mkurugenzi wa UNHCR kanda ya Ulaya katika miezi michache iliyopita njia ya bahari kuelekea Ugiriki imekuwa ...…
 
Matumizi ya dawa mseto ya Artemisinin au (ACTs) kama chaguo la kwanza la matibabu tangu mwaka 2001 imesaidia kupunguza kwa kiasi kikubwa malaria katika nchi zilizoghubikwa na ugonjwa huo kwa muda mrefu imesema leo ripoti ya ufuatiliaji ya shirika la afya duniani WHO. Ripoti hiyo inasema mafanikio yamepatika kwa nchi hizo kuchanganya matumizi ya ...…
 
Nishati imeelezwa kuwa ni uti wa mgongo wa maendeleo duniani lakini nchi masikini kabisa zina upungufu mara sita zaidi ya mataifa yaliyoendelea linapokuja suala la rasilimali hiyo muhimu umeonya leo Umoja wa Mataifa. Katika ripoti yake kuhusu mataifa 47 yenye maendeleo duni au (LDC), kamati ya biashara na maendeleo ya Umoja wa Mataifa UNCTAD il ...…
 
'Vijana wana mchango mkubwa katika kufanikisha malengo ya maendeleo endevu yaani SDGs kwa sababu ya msukumo na ubunifu wao' hiyo ni kauli ya Rita Kimani, kijana kutoka Kenya ambaye ni mwanzilishi mwenza wa kampuni ya FarmDrive nchini Kenya inayosaidia kuunganisha wakulima wadogo wadogo na fursa ya mikopo bila kuhitaji dhamana. Aidha yeye ni mmo ...…
 
Shirika la Afya ulimwenguni WHO limelaani vikali vifo vya watu 7 na wengine 42 kujeruhiwa katika mapambano yaliotokea hivi karibuni kwenye jiji la Damascus na maeneo jirani Mashariki mwa Ghouta, huko Syria . Kwa mujibu wa mwakilishi wa WHO Syria Bi Elizabeth Hoff hali ya usalama wa raia Ghouta ni ya mashaka kwani matukio mengine [...]…
 
Makala Muzuki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki wa Burundi DJ Pro ambae kwa sasa ngoma yake mpya Blaa Blaa inafanya vizuri katika vituo mbalimbali nchini Burundi na nnje ya nchi hiyo. Sikiliza alivyofunguka zaidi kuhusu kazi zake kwa jumla na tuhuma za kuwadisi wasanii wenzie. Unaweza pia kumfollow Mtangazaji Ali Bilali kwa ...…
 
Speed
Series preference
1x
1x
Volume
100%
/

Google login Twitter login Classic login