Kukabiliana public
[search 0]
Download the App!
show episodes
 
Artwork

1
Siha Njema

RFI Kiswahili

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly+
 
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
  continue reading
 
Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Kuna ongezeko la magonjwa ya figo na ini kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO inabashiri kuwa ongezeko hilo litakuwa juu zaidi kufikia mwaka 2030 ,hali hii ikichangiwa na hali ya maisha haswa ya raia katika nchi zinazoendelea Ugonjwa wa ini maarufu Hepatitis pia ni tishio kubwa haswa kwa raia wa Afrika ambayo inachangia asilimia 63 ya visa vya…
  continue reading
 
Wawawake kutoka ukanda wa Afrika wanajumuika Dar Es Salaam mwishoni mwa juma kupiga jeki kampeni za kuboresha afya Nchini DRC mikakati iliyoweka kudhibiti mlipuko wa Kipindu Pindu ulioripotiwa katika mataifa ya Afrika ya Kusini ,inaendelea kulipa na hata kuwa msaada kwa mataifa jirani kama vile Zambia…
  continue reading
 
Sote tunataka familia zetu ziwe na chakula cha kutosha ili kula kile ambacho ni salama na chenye lishe. Na lengo la 2 la maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa ni ulimwengu usio na njaa ifikapo 2030. Lakini licha ya juhudi zinazowekwa, suala la njaa na uhaba wa chakula limeonyesha ongezeko la kutisha tangu 2015, hali hii ikichochewa na mseto wa mam…
  continue reading
 
Idadi ya wanawake wanaongoza katika sekta mbali mbali bado ni ndogo barani Afrika. Kauli mbinu mwaka huu wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wanawake ni kuwekeza zaidi kwa wanawake ili kuongeza kasi ya maendeleo,tunaangazia wanawake wanasayansi na watafiti nchini Kenya ,wakijikita kwenye utafiti wa magonjwa yaliyotengwa…
  continue reading
 
UNITAID imekuwa ikishirikiana na mataifa kuleta dawa mpya na za bei nafuu Upatikanaji wa dawa zilizo za viwango vya juu na kwa bei nafuu bado ni changamoto kubwa kwa mataifa yanayoendelea.Matibabu ambayo bado ni mapya hukumbwa na vikwazo vingi kuingia soko la kimataifa na sasa UNITAID imekuwa mbioni kuziba pengo hilo…
  continue reading
 
Village Reach ambayo kwa tafsiri rahisi ni kufikia maeneo ya vijijini, imefungua ofisi za kikanda jijini Nairobi kujaribu kusaidia serikali kusimamia namba ya dharura,usafirishaji wa sampuli za Polio na kuboresha utendakazi wa wahudumu wa afya wanaofanya kazi katika jamii tofauti Baada ya kupata mafanikio makubwa katika nchi za Msumbiji, Malawi ,Vi…
  continue reading
 
Wiki chache zilizopita, tulikuletea makala kuhusu pikipiki za umeme, na kupitia ukurasa wetu wa Facebook RFI KIswahili, tukawa na maswali mengi kuhusu pikipiki hizi. Katika makala haya tumemwalika, Raymond Kitunga, kutoka kampuni nyingine inayotengeneza pikipiki za umeme, Spiro Kenya, na hapa atakuwa anayajibu baadhi ya maswali kuhusu pikipiki hizi…
  continue reading
 
Nchini Kenya, wakulima wameanza kukumbatia ukulima wa wadudu na hasa nzi aina ya black Soldier Fly, kama njia mbadala ya chakula cha mifugo wao. Kulingana na wanasayansi, nzi hawa wana proteni ya kiwanngo cha juu, na hivyo wanatoa nafasi bora kwa wakulima kuboresha vyakula vya mifugo yao.By RFI Kiswahili
  continue reading
 
Mkutano wa COP28 uliafikia mataifa mbalimbali kuanza polepole kuachana na matumizi ya mafuta ya kisukuku, mataifa ya Afrika yakitoa wito wa mataifa yenye nguvu na yanayozalisha nishati hii kwa wingi kuwa mfano katika utekelezwaji wa hilo. Mwenyekiti wa shirika la vijana la Youth Survival Organization, YSO, linalojihusisha pia na mzingira, Humphrey …
  continue reading
 
Wadau katika sekta ya afya wana wasi wasi kuhusu ongezeko la magonjwa yaliyotengwa ambayo mengi yao hayana tiba au matibabu yao hayapatikani kwa urahisi au ni bei juu Wawekezaji katika sekta ya uzalishaji dawa ,chanjo hawavutiwi kuzitengeneza dawa za magonjwa hayo. Magonjwa hayo ni kama vile ugonjwa wa malale,matende ,Chikukungunya na Dengue.…
  continue reading
 
Ugonjwa unaofahamika kama Utindio wa ubongo au Cerebral Palsy kwa lugha ya kimombo ni ugonjwa unaoathiri ubongo, namara nyingi unatokea kwa watoto na husababishwa wakati damu inapovuja kwenye ubongo au hakuna hewa yakutosha. Unaweza kutokea wakati Mtoto anapoanza kupoteza fahamu punde baada ya kuzaliwa au mwezi wa kwanza wa kuzaliwa.Vilevile Jeraha…
  continue reading
 
Suluhu za kiasili zinashirikisha hatua mbalimbali za kulinda na kurejesha mandhari ya bahari, maeneo ya maji na maeneo ya mijini ili viumbe hai waweze kukabiliana na changamoto kama vile usalama wa chakula na maji, mabadiliko ya hali ya hewa, hatari za maafa na afya ya binadamu. Suluhu hizi zinasaidia urejesho wa misitu, ardhioevu na pia kuabdili m…
  continue reading
 
Mkutano wa mazingira wa kimataifa COP28 unaendelea jijini Dubai, Saudi Arabia, lengo lake likiwa ni kuangazia namna ya dunia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Katika muktadha huo, mifumoikolojia ya bahari, ni nguzo muhimu katika kuisaidia dunia kuafikia lengo hili, kutokana na sababu kuwa bahari inasaidia kufyonza asilimia 25 ya hewa ya kabon…
  continue reading
 
Athari za mabadiliko ya hali ya hewa hazichagui mtoto au mtu mzima, akina mama wamelichukua kuwa jukumu lao kuhakikisha mikakati imefanikishwa katika harakati za kupunguza athari hizi haswa kupitia upanzi na uhifadhi wa mikoko Katika kijiji cha Mtangawanda, jimboni Lamu pwani ya Kenya, tunakutana na kundi la akina mama ambao kupitia mafunzo, sasa n…
  continue reading
 
Msikilizaji kwa juma moja, wajumbe kutoka mataifa takriban 175, walikusanyika jijini Nairobi kwa majadiliano ya awamu ya tatu kuelekea kuundwa kwa mkataba wa kisheria wa kimataifa kupambana na uchafuzi utokanao na taka za plasitki ikiwa ni pamoja na mazingira ya baharini. Katika kipindi hiki, wajumbe wa serikali na wadau wengine kutoka mashirika ya…
  continue reading
 
Kulingana na ripoti ya wataalam, maziwa yanayopatikana eneo la Afrika mashariki yameendelelea kurekodi ongezeko ya kasi ya viwango vya maji, hali inayotajwa kuchangiwa na mabadiliko ya tabianchi. Nchini Kenya hali hii imeendelea kushuhudiwa kwenye maziwa yanayopatikana katika eneo la bonde la ufa.By RFI Kiswahili
  continue reading
 
Kulingana na wataalam, hali ya mabadiliko ya tabianchi imechangia pakubwa matukio ya el nino ambayo kwakawaida, athari zake hazitabiriki, lakini huathiri hali ya hewa duniani, kuanzia joto kali, mvua nyingi huku pia ikisababisha hali ya ukame katika baadhiya maeneoBy RFI Kiswahili
  continue reading
 
Kulingna na UNEP, sekta hiyo inachangia asilimia 8 ya utoaji wa gesi joto duniani ambayo inachangia mabadiliko ya tabianchi. Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la mazingira la Greenpeace, vitambaa vinavyotumiwa kutengeneza nguo ni nyuzi za sanisia ambazo zinatengenezwa kutoka kwenye mafuta ya kisukuku ambayo pia ni hatari kwa mazingira…
  continue reading
 
Mkutano wa tabianchi jijini Nairobi, ulikusudiwa kuja na azimio la pamoja kuhusu msimamo wa bara hilo kuhusu kukailiana na mabadiliko ya tabianchi. Ahadi ya Dola Bilioni 23 iliahidiwa na wadau kutoka mataifa mbalimbali, kusaidia kupambana na mabadiliko ya tabia nchi, barani Afrika.By RFI Kiswahili
  continue reading
 
Loading …

Quick Reference Guide