Best hukumu podcasts we could find (Updated April 2018)
Related podcasts: Islamic Religion Education Katika Kula Daku Swala Zakatul Uislam Swaumu Fitri Zake Kiongozi Ikiwa Wafanye Krismasi Kusherehekea Mashia Ahlu Jeneza  
Hukumu public [search 0]
show episodes
 
H
Hukumu Za Kula Daku
Daily+
 
1- Mada hii inazungumzia hukumu za kula daku sehemu ya kwanza inazungumziya furaha mbili za mfungaji,na Baraka za kula daku,na ubora wakula daku.2- Mada hii inazungumzia hukumu za kula daku namakusudio ya Baraka katika kula daku,na muda wakula daku.
 
H
Hukumu Ya Muziki
Daily+
 
Mada hii inazungumzia hukumu ya muzii na dalili zake na qauli za wanachuoni juu ya uharamu wa muziki.
 
Mada hii inazungumzia hukumu ya kutowa zakatul fitri na Yule ambae niwajibu kwake kutowa,hukumu yakutowa thamani yake,faida ya zakatul alfitwir,na aina ya chakula kinachotakiwa kutolewa,na kiwango chake.
 
H
Hukumu Za Jeneza
Daily+
 
Mada hii inazungumzia sherehe ya kitabu cha shekh albani,na muongozo kamili wa jeneza kuanzia ugonjwa na kufariki dunia,na kuoshwa na kuvikwa sanda,na kuswalia, na kuzikwa.
 
Mada hii inazungumzia hukumu za zakatul fitri,na vyakula vinavyo faa kutolewa zakatul fitri,faida za zakatul fitri,nawatu wanaopaswa kupewa zakatul fitri.na muda wakutolewa zakatul fitri.
 
Darasa hili inazungumzia hukumu ya talaka katika uislam,na lengo la kuoana,na makosa ya wanandoa katika ndoa zao.
 
Mada hii inazungumzia hukumu ya iddi ya kuchinja na hukumu zake na upotovu wa wanao funga siku ya iddi.
 
Mada hii inazungumzia hukumu za kulipa swaumu ambazo zilizo mpita muislam katika mwezi mtukufu wa ramadhani
 
Mada hii inazungumzia hukumu ya kuishi katika miji ya kikafiri na mwongozo kamili kuhusu mambo yanayo takiwa kuyafanya mwislam.
 
Muhadhara huu unazungumzia namna ya kutawadha,na kuoga,na kutayamamu,kupaka juu ya khofu,na jinsi ya kutawadha mgonjwa.pia namna ya kuswali,yanayo chukiza katika swala,na yanayo batilisha swala,na sijda ya kusahau,na hukumu ya mtu asie swali.
 
Mada hii inazungumzia swala ya tarawehe, na tofauti ya tarawehe na qiyamu layli, na tahajudi na witri,na muanzilishi wa tarawehe,na historia yake.na hukumu ya zakatul fitri.
 
Mada hii inazungumzia hukumu ya alie kula na kunywa bila kujuwa kama niramadhani,na hukumu ya alie jua baada ya kuamka asubuhi kua niramadhani.
 
• Mada hii inazunguzia Sunna Adabu za chakula na tofauti zao katika kupata rizki na hukumu za bismilahi katika kula.• Mada hii inazunguzia Adabu za kula na hukumu ya kudhihirisha bismilahi,na hukumu ya kuacha bismilahi.• Mada hii inazunguzia Adabu za kula chakula na hukumu ya kulamba chakula na ubora wake.• Mada hii inazunguzia Adabu za chakula,makatazo zakula chakula cha moto,na kupuliza chakula,nakukitia aibu chakula,nakula kwa mkono wa kulia.
 
Mada hii inazungumzia majibu kwa Mashia juu ya kusherehekeya kwao Krismas na hukumu ya kisheria ya uharam wa kusherehekea krismasi.
 
Mada hii inazungumzia: Kauli za wanachuoni kuhusu watawala ambao ni makafiri, na hukumu ya Mwanamke kuolewa na mtu wa bid’a.
 
Darasa hili linazungumzia hukumu ya kujitwaharisha na umuhimu wake,na athari za kuto kujuwa jinsi ya kujitwahara.
 
Mada hii inazungumzia alama za laylatul qadri,na alama batili za laylatul qadri,na hukumu za itikafu.
 
Mada hii inazungumzia msimamo wa Uislam kuhusu kujiripuwa na aina za kujitoa muhanga,hukumu ya kujitoa muhanga,na sababu za kujiripua na uislam wa mwenye kujiripua.
 
Mada hii inazungumzia kafara kwa mwenyekumuingilia mkewake mchana wa mwezi wa ramadhani,na utaratibu wa kulipa fidia,na hukumu ya mwanamke mjamzitu katika mwezi wa ramadhani.na usiku wacheo.
 
Mada hii inazungumzia kula daku na fadhila za kula daku,na daku bora kwa muislam,na uchache wa daku,hukumu ya kuchelewesha daku.
 
Mada hii inazungumzia bidaa ya kusherehekea maulidi, madahii inazungumzia asili ya maulidi, maana yake, hukumu ya maulidi, historia ya maulidi, na mwanzo wa maulidi, africa mashariki.
 
Loading …
show series
 
Wiki iliyopita rais wa Uganda, Yoweri Museven alitishia kuwa ataanza kusaini tena hukumu ya kifo kwa watuhumiwa wanaohukumiwa adhabu ya kunyongwa kutokana na kuongezeka kwa vitendo vya uhalifu.Mwandishi wetu Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu ambao wametoa maoni yao.
 
Juma hili tunakuletea mada juu ya siku ya kupinga hukumu ya kifo duniani, mtaalamu wetu juma hili, Raymond Paul Kanegene, Afisa Programu, Utetezi na Uborehsaji kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, anatupasha kwa mapana zaidi. Makinika naye.
 
Google login Twitter login Classic login