Best misingi podcasts we could find (Updated April 2018)
Related podcasts: Islamic Religion Education Da’awa Msifarikiyane Simamisheni Dini Mshikamano Msingi Chimbuko Uislam Watoto Malezi Amani Katika Naubaguzi Kisiasa Makundi Inapiga Haqi  
Misingi public [search 0]
show episodes
 
Anuwani ya mada hii ni Misingi ya da’awa ya kweli, pia inazungumzia: Umuhimu wa elimu na maoni ya watu katika kutengeneza umma wa kiislam.
 
Mada hii inazungumzia misingi bora ya malezi ya mtoto katika uislam,tangu hajazaliwa mtoto,pia imezungumzia matatizo ya malezi na ufumbuzi wake.
 
Khutba hii inazungumzia chimbuko la amani,na misingi ya mshikamano.
 
Mada hii imezungumzia kusimamisha dini na umuhimu wake na misingi ya kusimamisha dini na madhara ya kufarikiyana.
 
Anuwani ya mada hii ni: Da’awa ya haki inapiga vita makundi ya kisiasa, imeongelea pia aina za makundi na misingi ya da’awa ya kisnna.
 
Loading …
show series
Google login Twitter login Classic login