Best mwezi podcasts we could find (Updated April 2018)
Related podcasts: Ramadhani Katika Islamic Religion Education Swaumu Alfajiri Thamani Kuupokea Namna Zawadi Mwenyekufungua Fidiya Kafara Mwandamo Kulipa Ushindi Swala Patikana Yanayo  
Mwezi public [search 0]
show episodes
 
M
Mwandamo Wa Mwezi
Daily+
 
Mada hii inazungumzia mwezi mwandamo na uwajibu wa muislam pindi unapo onekana mwezi,na kuwatanabaisha waislam kuhusu ubainifu wa mwezi wa kitaifa na kimataifa,na umuhimu wa kufunga kama alivyo funga mtume (s.a.w)
 
Mada hii inazungumzia yanayo letwa na mwzi wa ramadhani,na ushindi ulio patikana katika mwezi wa ramadhani,na yanayo paswa kufanywa katika mwezi wa ramadhani,na sharti ya ushindi.
 
Mada hii inazungumzia zawadi mbali mbali ambazo linazo kuja na mwezi wa ramadhani.
 
Mada hii inazungumzia thamani ya matendo mema yanayo fanyika katika mwezi mtukufu wa ramadhani.
 
Mada hii inazungumzia mambo yaliomo katika ramadhani,na mambo yanayo takiwa kabla ya ramadhani,na yanao paswa kwa muislam baada ya kuonekanwa kwa mwezi,na uharamu wa kufunga siku ya shaka.
 
Mada hii inazungumzia namna ya kuupokea mwezi wa ramadhani,na bishara za mwezi wa ramadhani,tofauti kati ya ramadhani wakati wa mtume na wakati wetu.
 
Mada hii inazungumzia thamani ya swala ya Alfajiri katika Jamaa katika mwezi wa ramadhani,na namna ambavyo zinavyo zidishwa thawabu za swala ya alfajiri.
 
Mada hii inazungumzia kafara kwa mwenyekumuingilia mkewake mchana wa mwezi wa ramadhani,na utaratibu wa kulipa fidia,na hukumu ya mwanamke mjamzitu katika mwezi wa ramadhani.na usiku wacheo.
 
Mada hii inazungumzia hukumu za kulipa swaumu ambazo zilizo mpita muislam katika mwezi mtukufu wa ramadhani
 
Mada hii inazungumzia uwajibu wa kufunga swaumu ya ramadhani,na hatuwa za kufaradhishwa swaumu,na nguzo za uislam,na uhimizo wa kufunga mwezi mtukufu wa ramadhani.
 
Loading …
show series
 
Makala hii imeangazia hatua ya kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga kukutana na rais Uhuru Kenyatta mwishoni mwa juma, mauaji ya watu sita katika maeneo ya Eringeti wilayani Beni mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, serikali ya Rwanda yaanza kufunga makanisha, wakati kimataifa rais Trump wa Marekani kukubali kukutana na kio ...…
 
Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limesema litaendelea kupanaga maandamano dhidi ya rais Joseph Kabila kuondoka madarakani, kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Desemba.Umoja wa Mataifa, unasema watu sita walipoteza maisha wakati wa maandamano Jumapili iliyopita. Tunajadili hatima ya maandamano haya.…
 
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili imeangazia siku ya kimataifa ya idadi ya watu duniani ambayo huadhimishwa kila tarehe 11 ya mwezi Julai, kauli mbiu ya mwaka huu ilikuwa ni kuhusu kuhamasisha uzazi wa mpango, kuwawezesha watu na kuleta maendeleo ya nchi.Mtayarishaji wa makala hii, amezungumza na mtaalamu wa masuala ya uchumi, Dr Wetengere ...…
 
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta anayewania urais kwa muhula wa pili, amedai kuwa Mahakama nchini humo inashirikiana na upinzani kuchelewesha Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika tarehe 8 mwezi Agosti.Hata hivyo, mgombea wa upinzani kupitia muungano wa upinzani NASA, Raila Odinga amesema matamshi ya Kenyatta yanaonesha kuwa atakataa kutambua matokeo ...…
 
Google login Twitter login Classic login