Best njia podcasts we could find (Updated September 2017)
Related podcasts: Religion Islamic Education Jihadi Katika Sampuli Kuhusu Msimamo Maasi Kuacha Saidia Zinazo Makafiri Kukabiliana Sahihi Mwenyezi Mungu Uislam Baadhi Allah  
Njia public [search 0]
show episodes
 
B
Baadhi Ya Njia Zinazo Saidia Kuacha Maasi
 
1- Mada hii inazunguzia namna umma ulivyozama katika madhambi na tiba ya kuacha madhambi.2- Mada hii inazungumzia baadhi ya njia zinazo msaidia mtu kuacha madhambi ikiwemo dua na kushindana na nafsi,na kujiepusha na marafii wabaya.
 
N
Njia Sahihi Ya Kukabiliana Na Makafiri
 
Mada hii inazungumzia: Hali za waislamu pamoja na makafiri, sababu za udhaifu wa waislamu na siri ya umma kuwa na nguvu.
 
M
Msimamo Wa Uislam Kuhusu Jihadi Katika Njia Ya Allah
 
Mada hii inazungumzia msimamo wa Uislam kuhusu kuhusu kupigana Jihadi katika njia ya Allah, na upambanuzi wake, na tatizo la waislam wengi kuto fatilia mambo kwa kina, na madhara ya Hamasa.
 
S
Sampuli Za Jihadi Katika Njia Ya Mwenyezi Mungu
 
Mada hii inazungumzia aina za jihadi,akasema shekh kuwa jihadi ina aina mbili :Jihadiya kujitetea, na Jihadi ya ilio tangazwa na Kiongozi.
 
N
Neno @ttb.twr.org/swahili
Daily
 
Maelezo - Neno ni sehemu ya huduma ya kimataifa ya mafundisho ya biblia nzima ya Thru The Bible. Mfululizo wa mafundisho haya kwanza yaliandaliwa na Dkt. J. Vernon McGee na kutafsiriwa kwa lugha zaidi ya mia moja na kabila. mafundisho hayo yakusudiwa kuwa ya dakika 30 kwenye radio ambayo kwa mpangilio maalum humwezesha msikilizaji kujifunza Biblia nzima. Sasa ujumbe ndizo twakusilishia kwenye mtandao. Twashukuru kwamba umeanza kujifunza mengi zaidi katika Neno la Mungu kwa njia ya ujumbe hiz ...
 
Loading …
show series
 
Ukosefu wa ajira ni tatizo linalochangia watu kujihusisha na utekaji wa watoto ili kujipatia pesa kwa njia ya kuwatisha wazazi wa watoto hao.Hivi karibuni nchini Tanzania kumeshuhudia visa vya utekaji wa watoto ambapo watekaji wamewadai wazazi kiasi cha pesa ili kuwaachia.Kwa mujibu wa Polisi baadhi ya watekaji waliokamatwa walidai kuwa wameitu ...…
 
Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia, DRC Joseph Kabila alisema kuwa hajawahi kuahidi kuwa uchaguzi utafanyika lini na akasisitiza kuwa uchaguzi bora utafanyika na si bora uchaguzi katika mazingira ya amani na usalama. Je wajua mustakabali wa uchaguzi wa DRC? ungana na Victor Robert Wile katika Makala haya ya Wimbi la Siasa kupata kina ...…
 
Juma hili, Ali Bilali amezungumza na mwanamuziki chipukizi kuotka Mkoani Tanga ambae anatafuta njia za kutoka na kukubalika kama walivyo wanamuziuki wengine waliomtangulia kutoka mkoani Tanga. Mengi zaidi ambatana naye hapa na usikosi kumfollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali
 
Meda, ni mwanamuziki wa Bongo Fleva ambae yupo kwenye game kwa muda mrefu, harakati zake za kutafuta njia ya kutoka zimefikia pazuri ambapo ujio wake mpya umepokelewa vema, wimbo wake Sidhani ambao amemshirikisha Timbulo unafanya vizuri kuanzia audio hadi video. Sikiliza Makala haya waweza pia kumfollow mtangazaji wako kwa instagram @billy_bilali…
 
Neno U.T.I ambalo ni ni kifupisho cha Urinary Tract infections,ambayo kwa lugha yetu ni maambukizi ya njia ya mkojo si geni katika masikioni mwa wengi,Ni tatizo kubwa ambalo hivi karibuni limetajwa kusumbua zaidi watoto wa kike na wanawake haswa kwa wanafunzi wanaotumia vyoo vya jumuiya.Basi leo kwa mara nyingine kupitia Makala yetu ya Siha Nje ...…
 
Bila Shaka hakuna asiyefahamu kuwa baadhi ya maeneo mengi ya miji yetu ni machafu na uchafu huo huchangiwa sana na mifuko na chupa za plastiki.Kipindi cha Mazingira Leo Dunia Yako kesho kwa juma hili kinangazia juu ya kundi la Vijana la huko Nairobi nchini Kenya ambalo wanaokotoa taka ikiwemo chupa za plastiki,hii ikiwa ni moja ya njia ya kuwek ...…
 
A
American Black Journal - A Detroit Public Television Production
 
Air date: 8/9/15. Guest host Jennifer White talks with Njia Kai, Stephen Singleton, and Piper Carter about the upcoming African World Festival, which celebrates the 50th anniversary of the Charles H. Wright African American Museum. We also take a look back at Stephen Henderson’s interview with the late Mel Farr. Plus, Ken Coleman takes a look b ...…
 
#821 - 1.SuchAFeeling -Aurra.ShepPettibone.SteveWashington 2.I’mNotPerfect - GraceJones.NileRodgers (Manhattan/CapitolRecords) 3.TakingMeForGranted -JaniceChristie.TimmyRegisford.TonyHumphries.RodAscue (Supertronics)4.Cavern - LiquidLiquid.EdBahlman.HowieWeinberg (99Records) 5.GiveItUpOrTurnItLose/NJIA Walk - JamesBrown.TimRogers.(Urban/Polygra ...…
 
Join us for our Monthly Sunday Brunch Show 3/15/2015, 11:00 a.m. as GM Darrell Sarjeant and Tuhan Brandon Jordan visit the Dynamic Dojo! 2nd of the Masters Hall of Fame Nominees guest series. Professor Darrell Sarjeant is the founder and chief instructor of the Kamau Njia System of Self-Defense. Born in Staten Island, NY, he began training in t ...…
 
N
Njia Sahihi Ya Kukabiliana Na Makafiri
 
Njia Sahihi Ya Kukabiliana Na Makafiri
 
Speed
Series preference
1x
1x
Volume
100%
/

Google login Twitter login Classic login