Best umuhimu podcasts we could find (Updated January 2018)
Related podcasts: Katika Islamic Religion Education Adabu Mema Mtoto Uislam News Mabaya Kukataza Kuamrisha Majukumu Msifarikiyane Simamisheni Msikiti Hizi Zifahamu Kudum Mwandamo  
Umuhimu public [search 0]
show episodes
 
U
Umuhimu Wa Elimu
Daily+
 
Mada hii inazungumzia umuhimu wa elimu ya dini na kubainisha haki ya mtoto katika kumsomesha elimu ya dini,na majukumu ya wazazi kwa watoto,khatari ya kusoma katika mashule ya kikafiri.
 
U
Umuhimu Wa Tawhidi
Daily+
 
Mada hii inazungumzia umuhimu wa tamko la twuhiid (Lailaha Illa Allah),na lengo la kuumbwa kwetu, na aya zilizo bainisha lengo la kuumbwa kwetu,na sababu ya kutumwa mitume,na maana ya twaghuti,na malipo ya atakae kufa na tawhiidi ya (Lailaha Illa Allah).
 
U
Umuhimu Wa Hisba Katika Uislam
Daily+
 
Mada hii inazungumzia umuhimu wa hisba katika uislam,maana yake na uwajibu wa hisba na mfano wa hisba katika wakati wa mtume.
 
U
Umuhimu Wa Afya Katika Maisha Yetu
Daily+
 
Mada hii inazungumzia umuhimu wa afya katika maisha yetu na mambo yanayo haribu afya zetu nay ale yanayo imarisha afya zetu.
 
U
Umuhimu Wa Kumsomesha Mtoto Wako Quraan
 
Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuwafundisha watoto Quraan
 
U
Umuhimu Wa Kuanzisha Mashule Na Vyuo Vya Kislam
 
Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuanzisha na kuendeleza mashule na vyuo vya kislam,na umuhimu wa elimu kaika uislam,na elimu nisababu ya kufanikiwa,na udhaifu wa umma wa kiislam katika upande wa elimu.
 
K
Khutba Ya Ndoa
Daily+
 
Mada hii inaelezea umuhimu wa ndoa.
 
A
Adabu Za Kusalimiana
Daily+
 
Mada hii inazunguzia adabu na umuhimu wa salam katika uislam
 
Z
Zifahamu Fadhila Hizi
Daily+
 
Mada hii inazungumzia thamani ya undugu katika uislam na umuhimu wa kuwaandaa vijana kwaajili ya badae pia mada inazungumzia umuhimu wa swala ya Alfajri katika maisha yetu.
 
N
Neema Ya Mtoto Nauwajibu Wa Kumlinda
 
Mada hii inazungumzia neema ya mtoto na umuhimu wa kumlinda motto.
 
A
Adabu Za Msikiti
Daily+
 
Mada hii inazungumzia Adabu za kiislam na adabu za Msikiti na umuhimu wake.
 
K
Kudum Katika Mema
Daily+
 
Mada hii nazungumzia umuhimu wa kufanya ibada na mambo mema katika muda wote wa uhai
 
S
Simamisheni Dini Msifarikiyane
Daily+
 
Mada hii imezungumzia kusimamisha dini na umuhimu wake na misingi ya kusimamisha dini na madhara ya kufarikiyana.
 
A
Adabu Za Kuomba Dua 02
Daily+
 
Mada hii inazungumzia adabu za dua yakiwemo mambo ambayo hutakiwi kumuomba Allah,na umuhimu wakumuombeya nduguyako moyoni.
 
U
Uongozi Katika Uislam
Daily+
 
Mada hii inazungumzia uongozi katika uislam,na umuhimu wa uongozi,na matatizo ya misikitini na tasisi za kislam,na dalili ambazo zimekuja kuzungumzia uongozi,mifano hai ya uongozi na umuhimu wake
 
T
Twahara(Kujisafisha)
Daily+
 
Darasa hili linazungumzia hukumu ya kujitwaharisha na umuhimu wake,na athari za kuto kujuwa jinsi ya kujitwahara.
 
W
Wajibu Wa Kumtii Mtume S.A.W, Na Kulazimika Kuwa Katika Jamaa Ya Waislamu
 
Mada hii inazungumzia mambo yafuatayo: umuhimu wa kuwatii viongozi, fitina za zama za mwisho na maana halisi ya jamaa.
 
M
Makosa Yanayo Pingana Na Itikadi Sahihi
 
Muhadhara huu unazungumzia kumpwekesha allah,na umuhimu wa muislam kuwa na itikadi sahihi,na makosa yanayo pingana na itikadi sahihi.
 
H
Hijabu Ya Kisheria Na Nasaha Kwa Wanawae
 
Anuwani ya mada hii ni: Hijabu ya kisheria na Nasaha kwa wanawake.shekh amezungumzia Sharti za Hijabu,na umuhimu wa kushikamana na dini kwa wakina mama.
 
M
Misingi Ya Da’awa Ya Kweli
Daily+
 
Anuwani ya mada hii ni Misingi ya da’awa ya kweli, pia inazungumzia: Umuhimu wa elimu na maoni ya watu katika kutengeneza umma wa kiislam.
 
M
Majukumu Ya Kuamrisha Mema Na Kukataza Mabaya
 
Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuamrishana mema na kukataza mabaya na nisababu ya kufanywa ummat muhammad kuwa bora na nisifa ya mtume (s.a.w)pia nisifa ya manabi wa allah (alayhimu ssalam).
 
M
Mwandamo Wa Mwezi
Daily+
 
Mada hii inazungumzia mwezi mwandamo na uwajibu wa muislam pindi unapo onekana mwezi,na kuwatanabaisha waislam kuhusu ubainifu wa mwezi wa kitaifa na kimataifa,na umuhimu wa kufunga kama alivyo funga mtume (s.a.w)
 
S
Siha Njema
Monthly
 
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
 
J
Jua Haki Zako
Weekly
 
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
 
U
Ubora Wa Kumtaja Mwenyezi Mungu
 
1- Mada hii inazunguzia ubora wa kumtaja Allah na umuhimu wa kula kwa mkono wa kulia2- Mada hii inazunguzia ubora wa kufanya dhikri Na malipo ya mwenye kufanya Dhikri. 3- Mada hii inazunguzia ubora wa kufanya dhikri kama alivyotufundisha Mtume (S.a.w)4- Mada hii inazunguzia ubora wa kumtaja Allah, na asiyemtaja Allah ni sawa na mtu aliyekufa (Maiti)
 
Loading …
show series
 
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inakuletea uchambuzi wa kina kuhusu ufahamu wa Hisa na hati fungani kwenye uchumi, mtangazaji wa makala haya amezungumza na mtaalamu na dalali wa kwenye soko la hisa.
 
Maadili ni miongoni mwa vitu muhimu sana katika ujenzi wa jamii yoyote lile, bila uwepo wa nidhamu ya kutosha jamii yoyote ile haiwezi kuendelea. Maendeleo ya kiuchumi na ustawi wa jamii hauwezi kufikiwa pasipo nidhamu na maadili, Hatuwezi kuwa na jamii yenye mpangilio mzuri pasipo maadili. Basi Makala yetu ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho kwa ...…
 
Hakika msikilizaji wetu unakubaliana naami ya kwamba Misitu ni Uhai, kwa kutambua umuhimu wa usemi huu makala yetu inagazia kwa mara nyingine juu ya umuhimu wa kuhifadhi misitu lakini vile vile athari za uharibifu wa Misitu
 
Mabadiliko ya tabia nchi imekuwa miongoni mwa ajenda kuu za Umoja wa Mataifa na jumuiya ya kimataifaKwa kuona umuhimu wa suala la mabadiliko ya tabia nchi, Serikali ya Kenya Tayari imeanza kuchukuwa hatua za ufuatiliaji, kufanya tathimini na mbinu mbalimbali za kukabiliana na Athari za Mabdiliko ya tabia Nchi,Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako ...…
 
Uwepo wa hifadhi mbali mbali za taifa pamoja na rasilimali zake katika mataifa yetu katika ukanda huu wa afrika Mashariki na kati,zimekuwa na mchango mkubwa katika mataifa yetu. Hii ni Kutokana na hifadhi hizi, zimekuwa zikichangia kwa kisasi kikubwa katika kukuwa kwa uchumi kutokana na watalii kuzitembelea hifadhi hizoKutokana na hifadhi hizi ...…
 
Hakika msikilizaji wetu neno Tohara sio geni masikioni mwa watu wengi wa jamii za Kiafrika na hata jamii nyingi duniani pia. Kwa kifupi tu Tohara ni hali au kitendo ambacho hufanywa na jamii nyingi kama sehemu ya kuhakikisha mtu anakuwa na afya Njema.Japo kuwa tohara kwa wanaume katika sehemu nyingi katika Bara la Afrika ni bure lakini bado wat ...…
 
Makala hii ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya umuhimu wa elimu kwa waumini wa dini ya kiislamu katika ukanda wa Afrika ya mashariki.
 
U
Umuhimu Wa Afya Katika Maisha Yetu
 
Umuhimu Wa Afya Katika Maisha Yetu
 
Speed
Series preference
1x
1x
Volume
100%
/

Google login Twitter login Classic login