Best watu podcasts we could find (Updated April 2018)
Related podcasts: Islamic Religion Education Motoni Wanyumba Wema Maajabu Kusengenya Madhambi Ibada Kuthibiti Zamwisho Zama Tabiya Baada Hesabu Bila Ingia Watakao Misingi  
Watu public [search 0]
show episodes
 
W
Watu Wa Motoni
Daily+
 
Mada hii inazunguzia Baadhi ya hali za watu wa motoni.
 
Mada hii inazunguzia Maajabu ya watu wema walio tangulia.
 
Mada hii inazungumzia sherehe ya kitabu cha tawhidi,na uwajibu wa kumswalia mtume,na namna ya kumswalia mtume,na fadhila za ahlul baiti,na ubatilifu wa itikadi ya mashia.matusi ya mashia kwa ahlul baiti.
 
Mambo wanayofanya wachina katika maisha ya kila siku, yanayohusu wachina wa kawaida, na yale yanayofuatiliwa na watu wa kawaida katika jamii.
 
Mada hii inazungumzia makundi ya watu wanne watakao ingia peponi bila hesabu, na makundi ya watu wanne watakao ingia Motoni bila hesabu.
 
Mada hii inazungumzia baadhi ya tabiya za zama za mwisho ikiwemo kuwatuka mashe,nakuwakufurisha watu.
 
Mada hii inazungumzia madhambi ya kuwasengenya watu na aina ya kumsema mtu.
 
Mada hii imezungumzia mbinu za iblisi katika kuwapoteza watu,na sababu zinazo msaidia mtu kuwa katika ibada baada ya ramadhan.
 
Mada hii inazungumzia hikima mbalimbali za funga na siri mbalimbali,na mambo mengi yaliyomo katika ramadhani,na sifa za watu wema katika swaumu.
 
Anuwani ya mada hii ni Misingi ya da’awa ya kweli, pia inazungumzia: Umuhimu wa elimu na maoni ya watu katika kutengeneza umma wa kiislam.
 
T
Talisman Brise
Monthly+
 
Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.
 
Loading …
show series
 
Historia, visababishi, jinsi unavyoenea, makundi ya watu walio hatarini zaidi, madhara lakini pia ni kwa namna gani tunaweza kujilinda na maambukizi ya ugonjwa wa Listeria - Swahibu A. Karata & Yusuph Uzuwila
 
Makala hii imeangazia hatua ya kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga kukutana na rais Uhuru Kenyatta mwishoni mwa juma, mauaji ya watu sita katika maeneo ya Eringeti wilayani Beni mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, serikali ya Rwanda yaanza kufunga makanisha, wakati kimataifa rais Trump wa Marekani kukubali kukutana na kio ...…
 
Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limesema litaendelea kupanaga maandamano dhidi ya rais Joseph Kabila kuondoka madarakani, kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Desemba.Umoja wa Mataifa, unasema watu sita walipoteza maisha wakati wa maandamano Jumapili iliyopita. Tunajadili hatima ya maandamano haya.…
 
Google login Twitter login Classic login