Je wakimbizi wa haki? skiza makala haya

9:55
 
Share
 

Manage episode 293214388 series 1220196
By France Médias Monde and RFI Kiswahili. Discovered by Player FM and our community — copyright is owned by the publisher, not Player FM, and audio is streamed directly from their servers. Hit the Subscribe button to track updates in Player FM, or paste the feed URL into other podcast apps.
Shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNHCR, limeeleza kuguswa na visa vya mamlaka nchini Tanzania, kuwazuia wakimbizi na watafuta hifadhi wanaokimbia mashambulizi ya wanajihadi eneo la Cabo Delgado nchini Musumbiji kuingia nchini Tanzania. Kwa mjibu wa UNHCR ni kwamba wakimbizi 1,500 walazimika kurejea katika eneo la mapigano hali ambayo imetajwa kuwa ya kusikitisha sana. Katika makala haya nitazungumza na wakili Ojwang Agina kutoka nchini Kenya mbaye anafafanua kuhusiana na haki za wakimbizi.

190 episodes