Jua Haki Zako - Usajili wa watoto kwa makundi ya waasi

10:00
 
Share
 

Manage episode 297853586 series 1220196
By France Médias Monde and RFI Kiswahili. Discovered by Player FM and our community — copyright is owned by the publisher, not Player FM, and audio is streamed directly from their servers. Hit the Subscribe button to track updates in Player FM, or paste the feed URL into other podcast apps.
Taifa la Sudan Kusini limeshutumiwa na umoja wa mataifa kwa kukiuka haki mbalimbali za binadamu moja wepo ikiwa kuwasajili watoto kuwa wanajeshi. Katika makala haya Jeffa mbugwa Njenga, ni mkurugezi mkuu wa shirika lisilokuwa la kiserekali la Grass Root empowerement and deveopment organization, ambalo linajishuhulisha na shughuli mbali mbali za kusaidia raia sudan Kusini, kuu likiwa kuwasadia watoto ambao husajiliwa kwa jeshi na baadaye kurejea kwa jamii

189 episodes