Jukwaa la Michezo - Matukio yaliyotokea viwanjani wiki hii

23:51
 
Share
 

Manage episode 301544888 series 1197326
By France Médias Monde and RFI Kiswahili. Discovered by Player FM and our community — copyright is owned by the publisher, not Player FM, and audio is streamed directly from their servers. Hit the Subscribe button to track updates in Player FM, or paste the feed URL into other podcast apps.
Miongoni mwa matukio makubwa yanayotokea viwanjani, tunayachambèua jioni hii ni pamoja na :- -Michuano ya soka, hatua ya makundi kwa mataifa ya Afrika kufuzu kucheza michuano ya kombe la dunia mwaka 2022 nchini Qatar. -Michuano ya soka, kuwani taji la klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati, CECAFA kwa upande wa wanawake. -Hatua ya nusu fainali, kuwania taji la mchezo wa kikapu kwa mataifa ya Afrika, inayoendelea jijini Kigali nchini Rwanda.

259 episodes