show episodes
 
Podcast mahususi kujifunza mambo ya maendeleo binafsi (Personal development/Self-improvement), maisha, mahusiano, saikolojia na elimu ya fedha. Ni podcast ya kipekee ambayo utajifunza mambo mengi ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ya kila siku, kila kitu kinachozungumzwa hapa kina uhalisia na siyo nadharia ya kusadikika. Kuwa sehemu ya familia hii na uhakika hautakuwa kama ulivyokuwa mwanzo, podcast ambayo itaboresha na kuongeza thamani ya maisha yako mara 10X au zaidi. Hakikisha unafollow ...
  continue reading
 
Connecting Black Women to their Sensuality and reminding them of the power of their Pleasure - one episode at a time. Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/thesensualblueprint/support
  continue reading
 
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
  continue reading
 
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
  continue reading
 
Artwork

1
Untold

Maisha Razzaque

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly
 
Amateur historian and storyteller, Mara Safi, can't escape the strange intrigues of small towns and haunted houses. SEASON TWO out now. SEASON ONE: When a celebrated historian dies before finishing his last book, his granddaughter, Mara, picks up where he left off. But the more Mara investigates the strange and dark history surrounding the founders of a small Virginia town, the more she wonders if this particular story should have been left untold. Story and Editing by Maisha Razzaque. Follo ...
  continue reading
 
This podcast is from a foster, adoptive, and biological mother who shares her experiences, as well as the experiences of others, to correct misconceptions and provide information about what it means to be a foster or adoptive parent. Some themes will be controversial and include Christian content. Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maisha-murray/support
  continue reading
 
Karibu katika Podcast ya Swahili Tech ambapo utafahamu mengi kuhusiana na Teknolojia, social media, applications, simu, na vifaa tunavyotumia kila siku katika maisha yetu. Karibu sana na usiache ku-subscribe ili uoate infos kali.
  continue reading
 
Tutakuangazia Duniani kote, tukikupa habari, maoni, na mitazamo mbalimbali ju ya maswala ya maisha yetu ya kila siku kama Familia, Mahusiano, Elimu, Teknolojia,Michezo, sanaa, ubunifu, mavazi na mitindo Mafanikio, lengo letu ni kuelimisha, kuburudisha na kufundisha.
  continue reading
 
Artwork

1
That's What They Said

thatswhattheysaidca

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly
 
Featuring two friends navigating through the different perspectives of today's social, cultural and political issues. Join us - Maisha and Zarah - as we break down the them vs. us narrative with open and interesting conversations about these issues! Tune in every Monday for a new episode, starting September 23rd. Enjoy!
  continue reading
 
Artwork
 
@3sirenspodcast is where 3 women of color (@Maisha_d, @msfeesosweet, @cathyalvarez34) share their navigation of this ISH called life. It's the place where we say the things you think but can't always voice! Living, breathing juxtapositions sippin while dippin in and out of intellectual discord and pseudo pettiness. Give us a listen...
  continue reading
 
Join disarmingly charming hosts Maisha and Hafsa as they deconstruct and discuss the unusual and the eerie. We talk movies, books, short stories, crime reports, poems, urban legends, TV shows, and more. Dark Tales: A Horror Podcast for Cowards is sure to leave you with a goosebump or two but definitely not too many. Find us on Twitter or Instagram @darktalespod. Direct all inquiries to darktalespod@gmail.com. If you're interested in who's Behind The Curtain, you can also find us @mshrzq and ...
  continue reading
 
Hili ni Jukwaa linalowasaidia wajasiriamali wenye uchu wa mafanikio makubwa kama wewe, kupata wateja kirahisi mtandaoni. Nimetumia mbinu nyingi kuvutia wateja. Zipo zilizofaulu, na zilizofeli. Nime'Master zaidi zilizofaulu hatimaye internet imebadili maisha yangu. Kutoka 12,000 kwa siku, hadi Mil.3 kwa mwezi. Ungana nami hapa Ni'share nawe experience yangu. Ideas, mbinu na hata vitendea kazi ninavyotumia kupata mafanikio hayo. Hii ni njia yangu ya mafanikio (My path to success). Jifunze chuk ...
  continue reading
 
Artwork
 
Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi! Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza kipindi cha Naweza | Radio Free Afrika kila Jumamosi saa 11 jioni | Radio TBC Taifa kila Jumapili saa 11:30 jioni | Radio One kila Jumamosi saa 2:15 usiku Kipindi cha Naweza Show kinaletwa kwenu na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma (HPS)
  continue reading
 
Artwork

1
Erotic Talk Radio

Erotic Talk Radio

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly
 
Join your hostess Jade every Thursday at 9:00PM EST on Erotic Talk Radio. Where she will surly entice your erotic senses, taking your sensual and sexual relationship to another level, from foreplay to toy play, and everything in between. Jade will tease and please your listening pleasure with some slow jams, erotic talk, and entertainment. So tune in as her and her guests explore ways to get and give orgasmic pleasures, mentally, and physically. Erotic Talk Radio, a show you don’t want to miss!
  continue reading
 
Artwork
 
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
  continue reading
 
Ujumbe Muhimu Sana Kwa Wagonjwa Wa GOITA Kama wewe ni mgonjwa wa GOITA ambaye umekuwa unahangaika kwa muda mrefu na tatizo hilo bila ya kupata utatuzi wa uhakika basi naomba unisikilize kwa makini kabisa kwani huenda taarifa ifuatayo ikawa taarifa muhimu kuliko taarifa yoyote katika maisha yako. Baada ya kuwasaidia zaidia ya wagonjwa 200 wa GOITA nimekuja kugundua kuwa tiba ya ugojwa huo sio upasuaji tu kama madaktari wengi wanavyodai bali ni jambo ambalo ukilifahamu utaweza kuondokana na ta ...
  continue reading
 
Artwork

1
She's Bold

Najma Matengo

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly
 
She’s Bold is a podcast where we challenge traditions and mindsets limiting women in Africa. Najma the host, interviews phenomenal women in Tanzania and the diaspora to uncover, defy and lay a foundation for other women to break the barrier. It's what every woman in Africa should know. The new episode drops every Saturday.
  continue reading
 
Artwork

1
ASTERIA CONNECTS

Asteria Mvungi

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly
 
Asteria Connects is a podcast hosted by Asteria Mvungi, which shines a light on matters concerning Health (Mental Health and Nutrition) Socio-economic welfare and Spirituality.
  continue reading
 
Eleven Digital is the Digital Youth Forum dedicated to education in the field of the safe, creative and positive use of the Internet and new technologies. This is ‘Open Forum' aims to encourage dialogue and spread digital awareness on different issues by providing a platform on which ideas, creativity, thoughts and questions can be expressed and tackled in an open environment.
  continue reading
 
Host Mike Spencer gets to the core of some of the most controversial issues that bridge the gap between young and old generations alike. As The Black Cultural Tastemaker, change and elevating traditions is nothing new here; expect conversations and interviews revolved around black culture, pop culture, relationships, mental health, entrepreneurship and more. Tune in every week to find out who's Changing Our Lives next: remember #YOUkeepthechange!
  continue reading
 
Artwork
 
Hey Everyone 👋🏽, welcome to our podcast “Chaa er adda” we are childhood bestie (Ritu & Tanya) 💕. Our aim for this podcast is to talk about life in general and shed 🔦 light on few matters that often gets neglected. New episode every Sunday.
  continue reading
 
Artwork

1
TIMIZA MALENGO YAKO

Joel Arthur Nanauka

Unsubscribe
Unsubscribe
Weekly
 
Many people would achieve great things in life if they would know the proven principles and strategies to achieve their goals. Self-development is the key to your vision fulfillment. These episodes unveil to you the hidden secrets for success that many have used to bring a difference in their lives. Through this show you will learn how to discover your hidden abilities, how to maximize your potential, how to build successful habits, money & buisness skills, and personal leadership. See you a ...
  continue reading
 
Artwork

1
Time to Hire

Will Ducey & Jake Paul

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly+
 
Time to Hire brings in new perspectives to ensure the recruiting function remains relevant and forward looking. We talk to recruiting experts, HR tech founders, and anyone who brings unconventional ideas to help push the craft of recruiting forward. If you want to future proof yourself and increase your impact over time, through strategy, technology, and best practices this is the podcast for you.
  continue reading
 
Artwork

1
Inside Outside

Brian Ardinger, Founder of NXXT, Inside Outside Innovation podcast, InsideOutside.io, and the Inside Outside Innovation Summit

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly
 
Inside Outside Innovation explores the ins and outs of innovation with raw stories, real insights, and tactical advice from the best and brightest in startups & corporate innovation. Each week we bring you the latest thinking on talent, technology, and the future of innovation. Join our community of movers, shakers, makers, founders, builders, and creators to help speed up your knowledge, skills, and network. Previous guests include thought leaders such as Brad Feld, Arlan Hamilton, Jason Ca ...
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Makala ya nyumba ya sanaa wiki hii imepiga kambi mjini Goma huko mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ambako mwanzoni mwa mwezi mei mwandishi wetu Ruben Lukumbuka alikutana na msanii Ogisha Matale ambapo katika shughuli zake zake amekuwa akijaribu kuhimiza amani nchini, hususan eneo lake lenye kushuhudia mapigano ya mara kwa mara.…
  continue reading
 
Ugonjwa wa Endometriosis hudhihirika msichana anapovunja ungo na huja na maumivu makali kabla ,wakati na hata baada ya hedhi Lilian Leley ameishi na maumivu hayo kwa zaidi ya miaka thelathini.Amefanya upasuaji mara mbili na anatazamiwa kwenda kwenye operesheni nyingine hivi karibuni katika kujaribu kutafuta tiba ya ugonjwa wa Endometriosis Anasimul…
  continue reading
 
Karibu kwenye makala ya changu chako ,chako changu juma hili ukiwa nami Florence Kiwuwa. Na kwenye kipengele cha historia hii leo tutaangazia historia ya kabila la Waluhya wanaofahamika kama wabukusu kisha kwenye kipengele chetu cha pili cha LeParle Francophone tutaangazia maonyesho ya Taarab yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Alliance France kisha tut…
  continue reading
 
Increase Your Confidence Exponentially With This.Ladies, to learn more join me for Black Woman As God - The truth about your power and why it was demonized by religion https://bit.ly/BLACKWOMANASGODReady for more pleasure and confidence in your life? Join me live for quick pleasure chats Tuesdays and Wednesdays at 12 noon ET.Join my private communi…
  continue reading
 
It's Time to Challenge Your Upbringing and BeliefsReady for more pleasure and confidence in your life? Join me live for quick pleasure chats Tuesdays and Thursdays at 12 noon ET. Join my private community for Women: https://bit.ly/thesensualoasis#sensualenergyalchemy #sensualconfidence #bodaciousvisibility #blackwomeninbusiness #blackwomenentrepren…
  continue reading
 
Endometriosis hutokea wakati tishu kwenye ukuta wa tumbo la uzazi zinapopatikana katika maeneo mengine ya mwili ikiwemo mapafu ,utumbo na hata ubongo Endemotriosis huwa na dalili zinazofanana magonjwa mengine ya uzazi na unaweza kubainika kupitia kipimo cha Laparoscopy ambapo tishu hizo zinachunguzwa moja kwa moja…
  continue reading
 
Kiswahili kinazungumzwa na zaidi ya watu milioni 200 afrika mashariki na kwenye makala haya ya changu chako,chako changu ,Florence Kiwuwa amefanya majadiliano na wanafunzi katika chuo kikuu cha Multmedia ili kujua kuhusu mchango wa lugha hii katika kuendeleza utamaduni na utengamano na vilevile katika kipengele cha muziki amemuangazia mwanamuziki w…
  continue reading
 
Katika makala ya nyumba ya sanaa wiki hii mwandishi wetu Ruben Lukumbuka ambaye hivi karibuni alitembelea mashariki mwa DRC ambako alikutana na Olivier wabahavu, msanii maarufu sana kufuatia nyimbo zake anazoimba katika lugha ya kihavu na kishi huko Kivu kusini na kaskazini, amezungumzia mchango wa sanaa ya muziki wa kiasili katika usuluhishi wa mi…
  continue reading
 
Bidhaa za vyakula au vinywaji zikiwa na machapisho ya kuonesha kuwa vina sukari nyingi ,chumvi nyingi au mafuta mengi mnunuzi anakuwa na fursa ya kuchagua vema Watalaam wamesema lishe ni kiungo muhimu katika kupambana na magonjwa yasiyoambukizwa ambayo yanazidi kuongezeka na kuwa mzigo kubwa kwa jamii na mifumo ya afya…
  continue reading
 
Karibu katika Makala Changu Chako Chako Changu jumapili ya leo ambapo nakulrtea Makala maalum kuhusu maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 14 tangu Ple RFI Kiswahili ilipoanza kupeperusha matangazo yake mubashara kutoka nchini Tanzania ambapo ilikuwa idhaa ya kwanza ya Kimataifa kutangaza ikiwa Afrika mashariki. Na kwenye Muziki nitakuletea Burudani y…
  continue reading
 
How to choose a sexual partner (discernment and safety). How do you know who to choose? How do you keep yourself safe?Ready for more pleasure and confidence in your life? Join me live for quick pleasure chats Tuesdays and Thursdays at 12 noon ET.Book your Pleasure Audit and learn how to work with me 1:1: bit.ly/pleasureauditJoin my private communit…
  continue reading
 
Send us a Text Message. Being #different from the your competitors isn’t enough to win the market, so what is? Leo tumemkaribisha a media buying expert akituelezea jinsi #effectivebranding inaweza kutusaidia kuboresha na kukuza #biashara zetu. #msasapodcast #effectivecampaign #marketing #mediabuying #entrepreneurship #Tanzania Guest: John Enos Otie…
  continue reading
 
Loading …

Quick Reference Guide