show episodes
 
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
  continue reading
 
Artwork
 
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
  continue reading
 
Artwork

1
Kiswahili program

Radio Vaticana - Vatican News

Unsubscribe
Unsubscribe
Daily
 
Vatican News vipaumbele vyake: Habari za Baba Mtakatifu; Vatican, Kanisa la Kiulimwengu na Kanisa Barani Afrika. Tunazo habari za kisiasa na kijamii kutoka Barani Afrika na Dunia katika ujumla wake. Tovuti hii inapambwa na Tafakari ya Neno la Mungu pamoja na Makala mbali mbali. - Podcast - Radio Vaticana - Vatican News
  continue reading
 
Pamoja is a Swahili word which means "together". Hope is something which no one should allow to be stolen no matter how one is oppressed or marginalised. Unity and hope can bring inclusive development. The podcast challenges all forms of oppression and systemic exclusion but also shares stories of those who have through great fortitude made it against all odds.
  continue reading
 
Artwork

1
Funguka with Hannah

Funguka with Hannah

Unsubscribe
Unsubscribe
Daily+
 
Karibu katika podcast ya malezi na mahusiano ya wazazi katika malezi. Hapa tutaongea jinsi ya ulifanikiwa kulea vyema katika mazingira tofauti ikiwemo wazazi wanaolea peke yao yani single parents, wazazi wenza wanaolea pamoja lakini hawaishi pamoja, malezi ya baba na mama wanaoishi pamoja na yote yaendanayo na hayo.
  continue reading
 
Redio podcast hii inalengo la kuhabarisha,burudisha na kuelimisha kwa kukuletea habari moto moto sanjari na matukio ya kijamii yasio chacha yanayo jiri kutoka kila sehemu Duniani kote. B-Voice Radio Dunia moja habari pamoja!
  continue reading
 
Andreas amekamilisha masomo yake na yuko tayari kufanya utafiti wa makala yake ya kwanza. Kazi yake inamwelekeza na inampeleka (bila shaka pamoja na rafiki yake wa ajabu ex) katika iliyokuwa Ujerumani ya Mashariki. Mambo muhimu ya sarufi: Kauli-tendwa, vishazi tegemezi, vitenzi vya kujirejea, dhamira tegemezi.
  continue reading
 
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Furaha ilioje kukutana nawe Jumapili ya leo katika Makala Changu chako Chako Changu, ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophpone na Muziki ambapo leo nakuletea sehemu ya kwanza ya makala kuhusu historia ya Wanyakyusa, na kwenye Miuziki nitakuletea mwanamuziki Esthernish pamoja ni Kidum. Mimi ni Ali Bilali bienvenu…
  continue reading
 
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.By VOA
  continue reading
 
Karibu katika makala ya leo changu chako chako changu ambapo leo nakuletea historia ya siku ya madaraka ambayo huadhimishwa kila Juni Mosi nchini Kenya. Na kwenye le parler francophone kama kawaida nakuletea ratiba ya shughuli za kitamaduni Alliance francaise za ukanda. Na Kwenye Muziki nitakuwa naye Mr Champagne msanii kutoka nchini Burundi ambaye…
  continue reading
 
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.By VOA
  continue reading
 
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.By VOA
  continue reading
 
Loading …

Quick Reference Guide