Al Husnaa public
[search 0]
More
Download the App!
show episodes
 
Loading …
show series
 
*۝𒊹︎KALIMA YA LEO𒊹︎۝* *━═✾ {1,184} ✾═━* 𝄞▬▬▬▬๑۩۩๑▬▬▬▬▬𝄞*☚ لا تنسون تحمدون الله على جميع النعيم كبيرها وصغيرها أحمدوا الله بداية كل يوم ونهاية كل يوم ‏....*★᭄ꦿ᭄ꦿ Msisahau kumhimidi Allah (kumshukuru) juu ya neema zote (anazo waneemesha)Kubwa zake na ndogo zake, Mshukuruni Allah mwanzo wa kila siku na mwisho wa kila siku.```❚❚☛ KUMSHUKURU ALLAH KWA N…
  continue reading
 
*۝𒊹︎KALIMA YA LEO𒊹︎۝* *━═✾ {1,183} ✾═━* 𝄞▬▬▬▬๑۩۩๑▬▬▬▬▬𝄞*☚ تذكر أن حسدك للناس لن يغير شيئاً ، فمن أفضل منك يبقى أفضل منك حتى لو حسدته.....*★᭄ꦿ᭄ꦿ Kumbuka kwamba:Hakika husda yako kwa watu, kamwe haitobadili chochote (katika maisha yako)Kwani: aliye bora zaidi kuliko wewe atabakia kua bora kuliko wewe hata kama utamhusudu.```❏☛ WEWE TAZAMA TU ULICHO J…
  continue reading
 
,,KATIKA MAISHA"Jitahidi kuyaepuka mambo matano (5):-1_DHARAU 2_KIBURI 3_CHOYO, 4_HASIRA 5_FITINA.Jijenge kwa mambo manne(4)1_UKWELI 2_UAMINIFU 3_SUBIRA 4_KUSHUKURU.Dumu na vitu vitatu(3)1_UPENDO 2_IMANI 3_KUJIAMINIFikiria mambo mawili(2)1_UJANA WAKO 2_UZEE WAKO Kuwa na imani na kitu_(1)Hakuna wa kumtegemea isipokuwa Mwenyezi MUNGU" pekee.…
  continue reading
 
Loading …

Quick Reference Guide