Bado public
[search 0]
More

Download the App!

show episodes
 
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
 
Welcome to the youth talk podcast which is based on youth life including talents,callings, dreams,challenges,love and other stories other are good but other are sad and mad but entertaining......... "Youth represent the inspiration generation" In this podcast you will be able to hear some interviews from different people.
 
Loading …
show series
 
Msikilizaji katika miaka ya hivi karibuni, nchi ya Ufaransa, imeendelea kujikuta matatani na mataifa ambayo wakati mmoja iliwahi kuyatawala wakati wa ukoloni. Hata hivyo hivi karibuni uhusiano kati ya baadhi ya nchi hizo na utawala wa Paris, umekuwa ukizorota kuanzia Mali na sasa Burkina Faso. Makala ya wimbi la siasa juma hili, inaangazia hatua hi…
 
Tangu mwaka jana ,idara ya mahakama nchini Kenya imefuta baadhi ya kesi dhidi ya watu walio karibu na rais William Ruto Mahakama nchini Kenya imefuta kesi nyingi zinazowahusu wandani wake rais William Ruto ,kwa msingi wa kukosa ushahidi.Baadhi ya waliofutiwa mashtaka ni naibu rais Rigathi Gachagua,waziri Aisha Jumwa na Minthika Linturi.Katika makal…
 
Disemba 22, rais wa Kenya William Ruto alitamatisha siku 100 ofisini, huku baadhi ya watu wakihoji kuhusu ahadi alizotoa kwa wakenya wakati wa kipindi cha kampeni na hata siku ya kuapishwa kwake.Moja ya aahdi alizotoa inayomgusa mwananchi wa kawaida moja kwa moja, ni kupunguza gharama ya maisha kutokana na kupanda kwa bei ya vyakula.…
 
Katika mkutano wa kimataifa wa mazingira COP27, nchini Misri, mataifa karibu mia mbili yaliafikia makubaliano ya kuanzishwa kwa mfuko wa fedha wa kushughulikia hasara na uharibifu, fedha hizi zikitarajiwa kuzisaidia nchi masikini na zilizo katika hatari ya kuathirika zaidi na athari za mabadiliko ya tabianchi.…
 
Makala hii imeangazia hali ya usalama inayojiri huko mashariki ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, ambako Kundi la waasi wa M23 likiungwa mkono na Rwanda lilifanikiwa kuyateka miji miwili muhimu ya Rutshuru na Kiwanja mashariki ya DRC na kuendelea na mapigano kwenye viunga vya mliji hiyo, huku serikali ya Kinshasa ikichukua uamuzi wa kumfurusha Ba…
 
Msikilizaji utaskia mengi kuhusu chanzo cha ongezeko la mapinduzi ya kijeshi barani Afrika.Mapinduzi kama haya yameshafanyika kwenye nchi za Guinea na Mali, huku majaribio mengine kadhaa yakishindikana kwenye ukanda huo.Mwaka 2021 ulishuhudia idadi kubwa ya mapinduzu barani Afrika ukilinganisha na miaka iliyopita.Leo tunaangazia kwa kina yanayotoke…
 
Demokrasia ya kweli, wataalamu wanasema inajengwa na kuwa na mifumo mizuri ya kiutawala na kuruhusu uwepo wa vyama vingi, ambavyo hutumika kujenga utawala bora, na uwepo wa vyama vingi ni pamoja na kuwa na vyama vya upinzani vyenye ushawishi, vyenye uwezo wa kukosoa na kuishauri serikali pale ambapo inaonekana kwenda kinyume na matakwa ya demokrasi…
 
Karibu katika Makala yetu leo wimbi la siasa, kwenye usukani uko nami Ali Bilali ambapo tunajadili kuhusu maendeleo ya jumuiya ya Afrika Mashariki hususan kuhusu kauli ya hivi karibuni ya rais mpya wa Kenya William Ruto, ambae amemuomba Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akiwa kama mkongwe miongoni mwa Viongozi wa Afrika Mashariki kupambana ili kuhaki…
 
Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea uchaguzi Mkuu nchini Kenya, tunaendelea kukuarifu kinachoendelea kipindi hiki joto la kisiasa linapoendelea kupanda.Wageni wetu ni Ababu Namwamba kutoka muungano wa Kenya Kwanza, unaomuunga mkono mgombea urais William Ruto na Beatrice Elachi kutoka muungano wa mgombea mwingine Raila Odinga, kutoka muungano wa A…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2023 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service