Christopher Lusiga public
[search 0]
Download the App!
show episodes
 
Loading …
show series
 
Katika Sehemu hii ya Tano ya ChrisTalkPodcast ni majadiliano ya wazi kuhusu wazo kuu, au ujumbe mkuu wa Ufalme wa Mungu. Ni Kuhusu uzima wa milele kwa wote wanaijindikisha kuingia katika ufalme, kwa kumuamini Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi. Katika Sehemu hii tumekuwa na rafiki yetu wa Karibu ndugu Innocent Mwagilo na tukajadili kwa kina kuhusu m…
  continue reading
 
Ni kuhusu, ufalme wa Mungu, Utawala wa Mungu pamoja na wanadam.Wazo la Mungu kuhusu Wajibu wa mwanadamu kutawala juu ya uumbamaji wake Mungu.Kuhusu Kukosa kwa Adamu wa Kwanza kuashiria kuanza kwa mwisho wa ulimwengu uliwekwa chini yake, na KUshinda kwa Adamu wa Pili Yesu Kristo na Kuanza kwa ufalme wa Milele,utakanao na kazi kamilifu ya Utukufu ya …
  continue reading
 
Mazungumzo ya Awali kuhusu Imani Iokayo(Faith Which Saves), Katika Episode hii ya kwanza tumezungumza mambo ya awali na ya msingi kuhusu ahadi za Mungu kuhusu Injili na uzima ndani ya Kristo Yesu. Tumajadili kuhusu Yesu, alijitanabaisha kuwa yeye ni nani alipokuja ulimwenguni, kwa nini ilibidi aishi kama mtu, asulubiwe kufa na kuhusu ushindi utokan…

Quick Reference Guide