Rfi Kiswahili public
[search 0]
More

Download the App!

show episodes
 
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
 
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
 
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
 
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
 
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
 
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
 
Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.
 
Loading …
show series
 
Miongoni mwa yale utakayoyasikia jioni hii ni pamoja na:-Msimu mpya wa ligi kuu ya soka waanza nchini Kenya.-Nchini Tanzania Yanga na Simba wanachuana katika mechi ya ngao ya jamii.-Rwanda kuwa mwenyeji wa mashindano ya dunia ya kukimbiza basikeli mwaka 2025.-Chelsea na Manchester United zafungwa katika mechi za ligi kuu zinazoendelea nchini Uinger…
 
Makala hii imeangazia kuzorota kwa mahusiano ya kidiplomasia kati ya Rwanda na Ubelgiji kufuatia kesi ya Paul Rusesabagina, na huko DRC kukamatwa kwa mwandishi wa habari Sosthene Kambidi kupisha uchunguzi kuhusu mauaji ya wataalamu wawili wa Umoja wa mataifa Zaida Catalan na Michael Sharp mwaka 2017, pamoja na mengine mengi yaliyojiri kwenye Mataif…
 
Katika makala haya ,tunazungumiza tatizo la usugu wa vimelea vinvyosababisha magonjwa tofauti au Anti Microbial Resistance kwa lugha ya Kiingereza.Tatizo hili hutokea wakati bakteria ,virusi au Fungi zinavyjibadilisha na kukataa dawa ambazo zinatumika kwa matibabu mbali mbali na kumweka mgonjwa katika hatari ya kuugua zaidi au hata kusababisha kifo…
 
Makala hii imeangazia ripoti ya tume ya umoja wa mataifa kuhusu haki za binadamu nchini Burundi ambayo imeonesha kuzorota kwa haki za binadamu, katika kipindi cha miezi 15 iliyopita, nchini DR Congo polisi jijini Kinshasa walitumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa muungano wa upinzani wa Lamuka walipoandamana kupinga kuingiliwa kisiasa kwa …
 
Makala hii imeangazia wito wa mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel raia wa DRC, Daktari Denis Mukwege, wa kuundwa kwa mahakama maalumu ya kimataifa itakayoshughulikia kesi za makosa ya uhalifu wa kivita pamoja na makosa mengine katika majimbo ambayo yanashuhudia hali tete ya usalama kwa karibu robo karne..pamoja na mambo mengine mengi kutoka ulimwengu…
 
Kwenye Mjadala wa wiki, tunaangazia hali ya kisiasa nchini Guinea na nini sababu za kutokea mapinduzi ya serikali barani Afrika. Swala ni kwa nini imejengeka dhana kwamba kiongozi anayeng'ang'ania madaraka mwisho wake siku zote ni mapinduzi ya kijeshi, nini kifanyike ili ifike mahali demokrasia na watawala waheshimu katiba za nchi zao?Mjadala wa wi…
 
Miongoni mwa matukio makubwa yanayotokea viwanjani, tunayachambèua jioni hii ni pamoja na :--Michuano ya soka, hatua ya makundi kwa mataifa ya Afrika kufuzu kucheza michuano ya kombe la dunia mwaka 2022 nchini Qatar.-Michuano ya soka, kuwani taji la klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati, CECAFA kwa upande wa wanawake.-Hatua ya nusu fainali, kuwania…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2021 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service
Google login Twitter login Classic login