Un Global Communications Digital Solutions Unit public
[search 0]
More

Download the App!

show episodes
 
UN News interviews a wide range of people from senior news-making officials at Headquarters in New York, to advocates and beneficiaries from across the world who have a stake in helping the UN go about its often life-saving work in the field.
 
This flagship podcast series from UN News takes its name from the words that correspondents at UN Headquarters in New York hear each night, at the end of the working day. We highlight the in-depth human stories behind the UN’s work and the way that it touches and impacts ordinary lives around the world.
 
The United Nations is a complicated place so this podcast from hosts Sinduja Srinivasan and Jason DeWall for UN News - one insider, one outsider - aims to change all that. They demystify the UN through compelling interviews and stories making the world body more accessible and straightforward.
 
Loading …
show series
 
In today’s show, solutions to child labour in Cambodia where one teenager has a dream; over in Tokyo, UN health agency chief Tedros Adhanom Ghebreyesus wishes the Olympic Games well but reminds us COVID-19 is racing ahead, particularly in Africa; also in the news, the High Commissioner for Human Rights issues an alert about the apparently widesprea…
 
Baada ya utafiti kuonesha kushuka kwa kiasi kikubwa cha idadi ya watoto wanaopata chanjo katika wilaya ya Mzimba nchini Malawi, hatua iliyochukuliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF kuanzia mwaka 2017, sasa inaonesha kuzaa matunda kwani idadi ya watoto wanaochanjwa na uelewa wa wazazi kuhusu chanjo vimeongezeka.…
 
Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu duniani, UNFPA linapatia msisitizo suala la wanawake na wasichana kupata taulo za kike au sodo, kwa kuzingatia kuwa ni suala la haki za binadamu. Ukosefu wa vifaa hivyo siyo tu vinashusha utu na hadhi ya mtu pale anapojikuta amechafua nguo zake mbele za hadhira, bali pia humkosesha haki ya kuwa huru kwen…
 
Nchini Ghana, Benki ya Dunia inasaidia serikali kuandaa na kutekeleza miradi ya hifadhi ya jamii inayoweza kusaidia taifa hilo la Afrika Magharibi kuimarisha ukuaji wake wa kiuchumi, kupunguza umaskini na kuongeza vipato vya wafanyakazi wa ngazi ya chini na ya kati na hatimaye kuboresha maisha ya wananchi. Miradi hiyo ni pamoja na ajira za muda mfu…
 
Machafuko yanayoendelea Jimbo la Kivu kaskazini nchini Jamhuri ya kidemokrasia Kongo, DRC yanasababisha wananchi wa eneo hilo kuyakimbia makazi yao kila uchwao kwenda kuishi maeneo ya jirani ambako hata hivyo licha ya kukaribishwa makazi ni shida. Sasa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limeamua kuwajengea wananchi hao makazi …
 
Mashirika ya kibinadamu yakiongozwa na shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani, WFP, yanaendelea kutoa msaada wa chakula kwa wakimbizi wa ndani waliokimbia makazi yao jimboni Equatoria Magharibi nchini Sudan Kusini kufuatia mashambulizi kutoka makundi yaliyojihami.By Assumpta Massoi/John Kibego
 
Katika mada kwa kina hii leo tunamulika vijana na mfumo endelevu wa chakula kwa kutambua kuwa tarehe 26 hadi 28 mwezi huu wa Julai, 2021 huko Roma Italia kutafanyika mkutano wa viongozi kuhusu chakula mifumo ya chakula. Kuelekea mkutano huo wa kuangazia namna ya kuboresha mifumo kuanzia shambani hadi mezani, shirika la Umoja wa Maaifa la chakula na…
 
The UN’s Food and Agriculture Organization (FAO) has joined forces with the Cambodian Government using the power of education to help end child labour, during the economic slump brought on by COVID-19. As the world marks World Youth Skills Day, where education is seen as a vital tool of youth empowerment, FAO’s Charlotta Lomas, has this special rep…
 
In this week’s show, if you’re a refugee, how do you get a COVID vaccine? We hear about the challenges and what’s being done to overcome them. Also, the UN rights chief leads a call for an end to systemic racism at the Human Rights Council...These stories and more, in this week’s UN Catch-Up Dateline Geneva podcast, with Daniel Johnson, and Solange…
 
: Sumu ni tatizo la afya ya umma lakini bado nchi zinapuuza kuweka vituo vya kudhibiti Duniani kote tatizo la binadamu kukumbwa na sumu halipatiwi kipaumbele au hata haliripotiwi kuwa ni tatizo la afya la umma. Llicha ya kwamba shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO linapendekeza kila nchi kuwa na vituo vya kufuatilia na kutibu bado n…
 
Pamoja na muongo wa mwisho wa kuelekea katika mwaka 2030 wa kutimiza agenda ya Malengo ya maendeleo endelevu, SDGs kuzoroteshwa na vikwazo vya kudhibiti ugonjwa wa COvid-19, mashirika, serikali na watu binafsi kote duniani kwa namna mbalimbali hawajakata tamaa.By Anold Kayanda/ John Kabambala
 
Habari mpya kuhusu ugonjwa wa saratani inasema kwamba pombe imebainika kuwa kisababishi cha wagonjwa wapya 740,000 wa saratani au kansa kwa mwaka jana wa 2020. Takwimu hizo ni za ulimwengu mzima na zimetolewa na taasisi ya kimataifa ya utafiti wa saratani, IARC, ambayo ni taasisi tanzu ya shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO. (Taari…
 
Shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni WHO kwa kushirikiana na shirika la PANAACEA wanatoa mafunzo nchini Argentina ya kuwezesha watoto wenye usonji kukabiliana na changamoto za ulemavu zinazowakabili ikiwemo kuchelewa kuzungumza. (Taarifa ya Leah Mushi) Nchini Argentina, mtoto Gabriel na nduguze wawili wakicheza mezani wakiwa na mama yao.…
 
Moja ya masuala yaliyojadiliwa kandoni mwa Mkutano wa ngazi ya juu ya siasa kuhusu maendeleo endelevu unaoendelea katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York Marekani, ni pamoja na namna waafrika wengi wanavyopambana na njia za zamani za nishati na hivyo kutafuta njia mbadala kama vile matumizi ya nishati ya jua. Mfano halisi ni huko nchi…
 
Uganda nchi inayoongoza kuhifadhi wakimbizi wengi zaidi barani Afrika, imeshuhudia kuongezeka kwa mahusiano mema baina ya wakimbizi na wananchi waliowakaribisha baada ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa chakula WFP, kuanza kutoa msaada wa kifedha kwa wakimbizi hali inayowawezesha wakimbizi kununua bidhaa kutoka kwa wanajamii pamoja na wao w…
 
Kufunguliwa kwa shule na vyuo vya elimu baada ya kufungwa mwaka jana kutokana na janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 kumeacha baadhi ya wanafunzi katika njiapanda kwa sababu kile walichopoteza wakati shule zimefungwa , bado hakuna jitihada za kutosha kuhakikisha wanakipata ili kuepusha kukosa kabisa ufahamu wa kile walichokuwa wamepangiwa kukifa…
 
A new study from the UN’s Office on Drugs and Crime (UNODC) on the impact of COVID-19 on victims and survivors of human trafficking, indicates that the ‘severity’ of abuses and levels of violence have increased during the pandemic. Louise Potterton spoke to Ilias Chatzis, Chief of UNODC’s Human Trafficking and Migrant Smuggling Section, which devel…
 
A new study from the UN’s Office on Drugs and Crime (UNODC) on the impact of COVID-19 on victims and survivors of human trafficking, indicates that the ‘severity’ of abuses and levels of violence have increased during the pandemic. Louise Potterton spoke to Ilias Chatzis, Chief of UNODC’s Human Trafficking and Migrant Smuggling Section, which devel…
 
Refugee farmers who grew up cultivating crops in Somalia have returned to the land, albeit in the United States, decades after fleeing their country’s civil war. They’ve been resettled in the US state of Maine after living for years in UN-supported refugee camps in Kenya. For this latest Lid is On podcast from UN News, Daniel Dickinson reports from…
 
Refugee farmers who grew up cultivating crops in Somalia have returned to the land, albeit in the United States, decades after fleeing their country’s civil war. They’ve been resettled in the US state of Maine after living for years in UN-supported refugee camps in Kenya. For this latest Lid is On podcast from UN News, Daniel Dickinson reports from…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2021 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service
Google login Twitter login Classic login