Sikiliza MAELEZO PODCASTS (Podcasts za Kiswahili kutoka Idara ya Habari MAELEZO, Tanzania) kupata taarifa na matukio mbalimbali nchini Tanzania. Idara ya Habari (MAELEZO) ipo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, mipango na miradi ya maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya Sera na Sheria za habari.
…
continue reading
1
Zao la Chikichi lilivyokua dili Tanzania!
22:36
22:36
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
22:36
Watanzania kwa ujumla tuanze kupanda miche ya kisasa ya Michikichi kutokana na nchi kutumia gharama kubwa kuagiza mafuta ya mawese yatokanayo na zao hilo kutoka mataifa mengine duniani.By Tanzania Information Services Department, Habari-MAELEZO
…
continue reading
Watanzania kwa ujumla tuanze kupanda miche ya kisasa ya Michikichi kutokana na nchi kutumia gharama kubwa kuagiza mafuta ya mawese yatokanayo na zao hilo kutoka mataifa mengine duniani.By Tanzania Information Services Department, Habari-MAELEZO
…
continue reading
By Tanzania Information Services Department, Habari-MAELEZO
…
continue reading
1
Sikiliza simulizi za Daraja la Sibiti katika mpaka wa Singida-Simiyu!
11:54
11:54
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
11:54
By Tanzania Information Services Department, Habari-MAELEZO
…
continue reading
1
Ufahamu zaidi Mradi wa Kuendeleza Utalii Kusini mwa Tanzania - REGROW
12:29
12:29
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
12:29
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii inatekeleza mradi wa kukuza utalii kusini mwa Tanzania (REGROW). Mradi wa REGROW ni mkopo kutoka Benki ya Dunia na lengo kuu la mradi huu ni kuboresha maeneo yenye vivutio vya utalii katika ukanda wa kusini mwa Tanzania. Hii ni pamoja na kuboresha usimamizi wa maliasi…
…
continue reading
1
Taarifa ya Wiki ya Msemaji Mkuu wa Serikali Mkoani Singida
1:36:35
1:36:35
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:36:35
Mkutano wa Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa na Waandishi wa Habari mkoani Singida, Septemba 26, 2021 #KaziiendeleeBy Tanzania Information Services Department, Habari-MAELEZO
…
continue reading
1
Ndui, Polio, Yote Yalipita...Tukachanje! na Hili Litapita.
8:25
8:25
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
8:25
By Tanzania Information Services Department, Habari-MAELEZO
…
continue reading