Moja public
[search 0]
More
Download the App!
show episodes
 
Artwork
 
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
  continue reading
 
Maelezo - Neno ni sehemu ya huduma ya kimataifa ya mafundisho ya biblia nzima ya Thru The Bible. Mfululizo wa mafundisho haya kwanza yaliandaliwa na Dkt. J. Vernon McGee na kutafsiriwa kwa lugha zaidi ya mia moja na kabila. mafundisho hayo yakusudiwa kuwa ya dakika 30 kwenye radio ambayo kwa mpangilio maalum humwezesha msikilizaji kujifunza Biblia nzima. Sasa ujumbe ndizo twakusilishia kwenye mtandao. Twashukuru kwamba umeanza kujifunza mengi zaidi katika Neno la Mungu kwa njia ya ujumbe hiz ...
  continue reading
 
Andreas ana shughuli nyingi za kufanya. Inambidi kushughulikia wageni hotelini, kuwatafutia wazazi wake chumba na pia kumhoji Charlemagne. Ziada ya hayo, wazazi wake wanamchunguza ex ni nani na wapi alikutana na binti yao. Mambo muhimu ya sarufi: Vitenzi vya utaratibu, wakati timilifu, uhusika usioungwa moja kwa moja.
  continue reading
 
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
  continue reading
 
Redio podcast hii inalengo la kuhabarisha,burudisha na kuelimisha kwa kukuletea habari moto moto sanjari na matukio ya kijamii yasio chacha yanayo jiri kutoka kila sehemu Duniani kote. B-Voice Radio Dunia moja habari pamoja!
  continue reading
 
Nikiwa Kama mwanahabari chipukizi naamini kuwa siku moja nitatimiza ndoto zangu lakini marafiki ndugu na jamaa wote na Kila mtu ndio nguzo yangu katika hii fani . Mimi sio mkamilifu endapo Kuna mahali nimekosea kwa kile ambacho nafanya Basi nitashukuru nikipata mtu na kuniongoza . Katika podcast hii hutuma habri na maelezo mbali mbali ya kijamii .
  continue reading
 
Artwork
 
Podcast jest nagrywany w języku angielskim. Spędź kilka chwil ze mną a ja postaram się przekazać Ci mnóstwo energii i zarazić moją pasją do tego języka. Każdy podcast będzie miał swój transkrypt, który pomoże wytropić dowolne słówko i zwrot. Transkrypt znajdziecie na naszej stronie My podcast is recorded in English. Spend some time with me and I will try and share with you loads of energy and passion for this language. Each podcast will have its transcript which will help you trace any word ...
  continue reading
 
Ujumbe Muhimu Sana Kwa Wagonjwa Wa GOITA Kama wewe ni mgonjwa wa GOITA ambaye umekuwa unahangaika kwa muda mrefu na tatizo hilo bila ya kupata utatuzi wa uhakika basi naomba unisikilize kwa makini kabisa kwani huenda taarifa ifuatayo ikawa taarifa muhimu kuliko taarifa yoyote katika maisha yako. Baada ya kuwasaidia zaidia ya wagonjwa 200 wa GOITA nimekuja kugundua kuwa tiba ya ugojwa huo sio upasuaji tu kama madaktari wengi wanavyodai bali ni jambo ambalo ukilifahamu utaweza kuondokana na ta ...
  continue reading
 
Artwork
 
#Talks4Change is a podcast series created, hosted and narrated by Curtin young alumni. This podcast series celebrates and shares the journey of young Curtin graduates who are inspiring social change within the community. Follow us on LinkedIn: @CurtinYoungAlumni Email us: youngalumni@curtin.edu.au Visit our website: curtin.edu/youngalumni 2021 host: Sam Panickar – Bachelor of Commerce (Tourism, Hospitality and Event Management and Marketing), 2014 2021 editor: Apurva Gupta Backing Music: Iks ...
  continue reading
 
The Dominic, Andrew, and Matthew podcast was started by 3 college students with a love for everything that involves the Culture and wanted an outlet to speak their minds freely and give all generations a channel to relate to. We dedicate ourselves to discovering and meeting individuals from all walks of life that can share their experiences and passions to the world through our Platform. Experiences vary from trending Politics, News, Pop Culture, Urban Culture, Sports, Music, Entertainment, ...
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Wiki hii askari wanaofikia 100 wa DRC, walikimbilia Uganda baada ya waasi wa M23 kuuteka mji wa Ishasha ulioko mpakani na Uganda hali ambayo ilijiri wakati sitisho la mapigano lilikubaliwa kati ya DRC na Rwanda mjini Luanda Angola chini ya Upatanisho wa rais wa Angola Joao Laurenco. Kwa nini mapigano yanaendelea licha ya juhudi za kikanda na za kim…
  continue reading
 
Nchini Ufaransa licha ya mrengo wa kushoto kuibuka na ushindi kwenye awamu ya kwanza ya uchaguzi wa wabunge, duru ya pili ilikuwa kitendawili kwao baada ya vyama vya mrengo wa ksuhoto kushirikiana na kuzuia vyama vya mrengo wa kulia kupata ushindi. Benson Wakoli anaangazia mbinu alaizotumia rais Emmanuel Macron kuvizuia vyama vya mrengo wa kulia ku…
  continue reading
 
Makala ya wimbi la siasa imeangazia uchaguzi wa wabunge nchini Ufaransa baada ya kufanyika kwa duru ya kwanza ya uchaguzi huo jumapili iliyopita na sasa duru ya pili imepangwa kufanyika julai 07.Uchaguzi huu unaweka wapi siasa za ufaransa, nini mustakabali wa kisiasa kwenye nchi hii, iwapo chama cha mrengo wa kulia cha National Rally kitaibuka mshi…
  continue reading
 
Siku ya Jumanne, Kenya ilishuhudia maandamano makubwa kupinga mswada tata wa sheria uliopitishwa na wabunge, kuongzeza kodi. Waandamanaji wenye hasira, walivamia majengo ya Bunge jijini Nairobi na kusababisha uharibifu, huku polisi wakiwapiga risasi na kuwauwa waandamanaji. Nini itakuwa suluhu ya mzozo huu ? Tunachambua suala hili na Majeed Ali, mm…
  continue reading
 
Makala hii inaangazia mchakato wa kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa huko Afrika kusini, baada ya kuapishwa kwa rais Ramaphosa huku chama tawala ANC kikitangaza kufikia makubaliano na vyama vingine, kama DA. Kudadavua hili mwandishi wetu Ruben Lukumbuka anazungumza na Lugete Musa Lugete ni mchambuzi wa siasa za kimataifa akiwa Jijini Daresala…
  continue reading
 
Loading …

Quick Reference Guide