Bárány public
[search 0]
More
Download the App!
show episodes
 
Artwork

1
Kiswahili program

Radio Vaticana - Vatican News

icon
Unsubscribe
icon
Unsubscribe
Daily
 
Vatican News vipaumbele vyake: Habari za Baba Mtakatifu; Vatican, Kanisa la Kiulimwengu na Kanisa Barani Afrika. Tunazo habari za kisiasa na kijamii kutoka Barani Afrika na Dunia katika ujumla wake. Tovuti hii inapambwa na Tafakari ya Neno la Mungu pamoja na Makala mbali mbali. - Podcast - Radio Vaticana - Vatican News
  continue reading
 
The How to Write The Future Podcast offers fiction writing tips for science fiction and fantasy authors who want to create optimistic stories because when we vision what is possible, we help make it so. By science fiction and fantasy author and fiction writing coach, Beth Barany.
  continue reading
 
Artwork
 
Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano mbalimbali.
  continue reading
 
Artwork

1
Siha Njema

RFI Kiswahili

icon
Unsubscribe
icon
Unsubscribe
Monthly+
 
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
  continue reading
 
Artwork
 
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
  continue reading
 
Artwork

1
Jua Haki Zako

RFI Kiswahili

icon
Unsubscribe
icon
Unsubscribe
Weekly
 
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
  continue reading
 
Artwork

1
Muziki Ijumaa

RFI Kiswahili

icon
Unsubscribe
icon
Unsubscribe
Monthly
 
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
  continue reading
 
Artwork

1
Mjadala wa Wiki

RFI Kiswahili

icon
Unsubscribe
icon
Unsubscribe
Monthly
 
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
  continue reading
 
Artwork

1
Gimmie Babel

Gimmie Babel

icon
Unsubscribe
icon
Unsubscribe
Monthly
 
davidhochbaum.com davidstoupakisl.com Gimmie Babel is a podcast started in 2018 by visual artists and long time friends David Stoupakis and David Hochbaum featuring occasional guests to discuss process, inspiration and how they navigate the waters of living and working as a contemporary artist in the USA. Occasionally the artists would create videos to accompany the the episode. The agenda is open but usually revolves around art and food.
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Serikali za Afrika zitalazimika kuchangia ufadhili wa mipango ya kupambana na Malaria kufidia pengo kubwa la ufadhili Muungano wa viongozi wa Afrika wa kupambana na Malaria ,Africa Leaders Malaria Alliance unasema Afrika inahitaji dola bilioni 5 nukta nane mwaka huu wa kifedha hadi 2026. Hali hii pia imechangiwa na Marekani kukata ufadhili wa misaa…
  continue reading
 
Msikilizaji juma moja lililopita, mtandao wa wafanyabishara na makampuni ya Ufaransa hapa nchini Kenya, walikutana na wenzao wa Kenya kuangalia namna bora zaidi ya kushirikiana hasa katika masuala ya teknolojia. Kwa mujibu wa takwimu zilizoko hali ya biashara za mtandaoni kikanda inaendelea kuimarika, huku matarajio ya matumizi ya akili mnemba yaki…
  continue reading
 
Ukosefu wa lishe bora huathiri afya na elimu nchini Kenya Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la linalowahudumia Watoto (UNICEF) imeonesha kuwa takriban watoto milioni mbili nchini Kenya wanakabiliwa na matatizo yanayotokana na utapiamlo. Mipango ya lishe bora shuleni eneo la Nyanza na maghari mwa Kenya umeonekana kuwa suluhu huku wanafunzi wakip…
  continue reading
 
“I think it's really important that we read books and reread authors who aren't similar to us, who are very different from us culturally come from different backgrounds, different parts of the world.” In this How To Write the Future episode, host Beth Barany explains in detail why you need to read the “Binti Trilogy by Nnedi Okorafor,” plus why she…
  continue reading
 
Tuliyokuandalia Jumamosi hii ni pamoja na uchaguzi wa CAF, uwanja wa Mkapa wafungiwa kwa muda, michuano ya kufuzu dimba la dunia kwa kina dada chini ya umri wa miaka 17, maandalizi ya mashindano ya kuendesha magari ya WRC Safari Rally, uchambuzi wa mechi za klabu bingwa Ulaya hatua ya kumi na sita bora naye Neymar alazimika kuaga kikosi cha Brazil …
  continue reading
 
Wiki hii katika makala ya Gurudumu la Uchumi, tunajadili changamoto za upatikanaji wa nishati ya uhakika barani Afrika, ambapo pamoja na baadhi ya mataifa kuwa na rasilimali za kutosha kuzalisha nishati ya ziada, suala la miundombinu limeendelea kusalia kikwazo, ambapo baadhi ya mataifa yanalazimika kununua nishati toka mataifa jirani. Ali Mkimo, m…
  continue reading
 
Kwenye makala haya tunaangazia Siku ya kimataifa ya wanawake, inayoadhimishwa kila mwaka Machi 8, siku hii hutumika kutambua mchango wa wanawake katika jamii na kupigania usawa wa kijinsia. Ni siku ya kusherehekea mafanikio ya wanawake katika nyanja mbalimbali kama vile siasa, uchumi, sayansi, na sanaa, huku ikihamasisha juhudi za kuondoa changamot…
  continue reading
 
Wakenya wameshauriwa kutochukua hatua mikononi iwapo wana mzozo wa malipo baina yao na watu wanaowadai. Hii ni baada ya maafisa wanahudumu mahakamani, mawakili na asasi za kijamii kufanya mkutano wa kueneza uwepo Wa mahakama hizo nchini Kenya huku wakiwahimiza raia kutumia korti hiyo ambayo inatatua kesi chini ya miezi miwili. Kufahamu mengi zaidi …
  continue reading
 
“So I highly recommend Elizabeth Moon, if you like military ship captains who are these strong, interesting women. I also really adored her fantasy.” In this episode, titled “Elizabeth Moon: Crafting Strong Female Protagonists in Science Fiction” host Beth Barany shines a spotlight on one of her favorite science fiction and fantasy authors and shar…
  continue reading
 
Katika makala ya Gurudumu la Uchumi juma tunajadili athari za kibiashara kimataifa kutokana na hatua ya hivi karibuni ya Marekani kutangaza vikwazo vya kikodi kwa mataifa ya Canada, Mexico, India na Uchina ambao ni washirika wake wakubwa kibiashara. Kujadili hili, kwenye line ya simu tunaungana na Profesa Wetengere Kitojo, mchambuzi wa masuala ya u…
  continue reading
 
“ I would say I live in this space with my Janey McCallister Space Station Mystery series. I think a lot about the sweet spot between current technology and future speculation.” In this How To Write the Future podcast episode, host and award-winning science fiction author, Beth Barany, discusses how science fiction and fantasy can inspire social ch…
  continue reading
 
Tuliyokuandalia hii leo ni pâmoja na matokeo ya mashindano ya tenisi ya vijana barani Afrika chini ya miaka 14, kocha mpya wa Kenya ni nani, matokeo ya mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika kwa kina dada, timu sita kushiriki ligi ya Afrika ya basketboli kwa mara ya kwanza, huku Afrika Kusini ikijiandaa kutuma ombi rasmi la kuandaa mkondo mmoja…
  continue reading
 
Katika hii ya kidijitali na inayobadilika kwa kasi, teknolojia ya akili mnemba (AI) imekuwa sehemu muhimu ya sekta mbalimbali, ikiwemo uandishi wa habari. Katika mkutano wa "Ubunifu AI kwa Mustakabali Endelevu wa Vyombo vya Habari" ulioandaliwa na Tamasha la Vyombo vya Habari Afrika kwa kushirikiana na taasisi ya Baraza Media Lab, wadau wa sekta ya…
  continue reading
 
Msikilizaji juma lililopita tulianza kwa kujadili yaliyotokana na mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika, na suala kuu lilikuwa ni je, nchi za Afrika zitafanikiwa kushinikiza mabadiliko katika taasisi za kifedha za kimataifa na kuondokana na mikopo na madeni yasiyostahimilika ? Leo katika makala ya Gurudumu la Uchumi, nakuletea sehemu ya pili ya mjadal…
  continue reading
 
Mamia ya wakaazi wa kaskazini mashariki mwa Kenya maeneo yanayopakana na Somalia na waathiriwa wakubwa wa mzozo wa Somalia hawajakuwa na maji masafi , hali hiyo ikizidisha mgogoro wa kijamii ndani ya jamii hii ya wafugaji wanaotokea upande wa Kenya na upande mwingine wa Somalia. Kukabili hali hii ,kamati ya kimataifa ya msalaba mwekundu , Internati…
  continue reading
 
Science Explainer: That is a term that has come out in the last bit of years to explain someone or to describe somebody who shares about science to the general public. In this How To Write the Future podcast episode, host and science fiction author Beth Barany shares more of her “Favorite Science Explainers on YouTube (Part 2)” and the types of sci…
  continue reading
 
Tuliyokuandalia Jumamosi hii ni pamoja na matokeo kwenye mashindano ya kimataifa ya gofu ya Magical Kenya Open, bondia wa DRC kupambana na muingereza huko Saudi Arabia, maandalizi ya Tour du Rwanda, Droo ya robo fainali michuano ya klabu bingwa Afrika, mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika kwa kina dada 2026 na basketboli ya 2025, halikadhalik…
  continue reading
 
Loading …

Quick Reference Guide

Listen to this show while you explore
Play