Vatican News vipaumbele vyake: Habari za Baba Mtakatifu; Vatican, Kanisa la Kiulimwengu na Kanisa Barani Afrika. Tunazo habari za kisiasa na kijamii kutoka Barani Afrika na Dunia katika ujumla wake. Tovuti hii inapambwa na Tafakari ya Neno la Mungu pamoja na Makala mbali mbali. - Podcast - Radio Vaticana - Vatican News
…
continue reading
The How to Write The Future Podcast offers fiction writing tips for science fiction and fantasy authors who want to create optimistic stories because when we vision what is possible, we help make it so. By science fiction and fantasy author and fiction writing coach, Beth Barany.
…
continue reading
https://www.yeshivabneitorah.org/
…
continue reading
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
…
continue reading
Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano mbalimbali.
…
continue reading
Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
…
continue reading
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
…
continue reading
JM Studio is the official Myanmar Artist Podcast with a large variety of songs from Myanmar artists available with new content being added regularly.
…
continue reading
On the Pencils&Lipstick podcast Kat talks to authors, editors and other professionals in the writing and publishing field to learn more about the craft of writing. If you're a writer or just love listening to author interviews about writing, Pencils&Lipstick is about to be your newest favorite podcast.
…
continue reading
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
…
continue reading
davidhochbaum.com davidstoupakisl.com Gimmie Babel is a podcast started in 2018 by visual artists and long time friends David Stoupakis and David Hochbaum featuring occasional guests to discuss process, inspiration and how they navigate the waters of living and working as a contemporary artist in the USA. Occasionally the artists would create videos to accompany the the episode. The agenda is open but usually revolves around art and food.
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Mkutano wa viongozi vijana barani Afrika 2024 maarufu YALI umeanza rasmi mjini Washington ukiwashirikisha pia viongozi wa Marekani - Julai 29, 2024
29:59
29:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
29:59
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.By VOA
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
WHO yafanikiwa kuboresha afya ya umma barani Afrika
2:01
2:01
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:01
Jitihada za pamoja za kukabiliana na changamoto za afya ya umma zinazidi kuboresha upatikanaji na utoaji wa huduma za afya. Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Ulimwenguni, WHO kanda ya Afrika kwa kushirikiana na nchi wanachama na washirika wake linaendelea kutimiza ajenda yake ya mabadiliko ili kuimarisha mifumo ya afya na kuongeza misaada kwa nch…
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Pata burudani tosha kutoka kwa wanamuziki wa kike barani Afrika
10:02
10:02
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:02
Kwenye makala haya tunakaribisha wikendi kwa miziki mbalimbali na leo wanamuziki wa kike wanatupambia makala.By RFI Kiswahili
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Shirikisho la soka barani Afrika CAF latangaza droo ya michuano ya kufuzu AFCON 2025
23:55
23:55
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:55
Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na uchambuzi wa droo ya mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya mwaka 2025, fainali ya Cosafa Cup, mipango ya Team Kenya kuelekea Olimpiki ya mwaka huu, uchambuzi wa mechi za robo fainali michuano ya Euro na Copa America, raia wa Eritrea Girmay Hailu Biniam ashinda hatua ya nane ya Tour de France wakati kocha…
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Dunia yaadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga usafirishaji haramu wa binadamu. - Julai 30, 2024
29:59
29:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
29:59
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.By VOA
…
continue reading
…
continue reading
Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Fora Nducha anakuletea-Gaza shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa kipalestina, UNRWA linasema watoto wengi wako hatarini kuambukizwa ugonjwa wa homa ya ini aina ya A -Venezuela ambako kulifanyika uchaguzi wa Rais Jumapili, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amepongeza…
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Mkimbizi Sudan Kusini atumia stadi za ujasiriamali kuhudumia familia yake
3:51
3:51
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
3:51
Zaidi ya watu 1,000 wanaokimbia vita nchini Sudan wanavuka mpaka na kuingia nchini Sudan Kusini kila siku, na hivyo kuvipatia shinikizo vituo vya mpito vilivyoko mji wa mpakani wa Renk nchini Sudan Kusini. Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR linasema idadi kubwa ni wakimbizi wa Sudan Kusini wanaorejea nyumbani ambao wamekuwa w…
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
WFP yasaidia wakulima nchini Kenya kuchangamkia kilimo biashara
2:03
2:03
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:03
Jitihada za kujikomboa na janga la njaa bado zinaendela nchini Kenya, huku Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP kupitia kituo cha huduma kwa wakulima likiwapa wakulima elimu ya namna sahihi ya kuongeza uzalishaji licha ya changamoto ambazo wamekuwa wakikabiliana nazo na hasa kwa kukumbatia kilimo biashara.(Taarifa ya Bosco C…
…
continue reading
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Watu 97 wameripotiwa kuuawa au kujeruhiwa katika mashambulizi Al- Fasher Sudan, UN yalaani vikali
1:58
1:58
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:58
Takriban raia 97 wameripotiwa kuuawa au kujeruhiwa kwenye mashambulizi katika hospitali, maeneo ya makazi na soko la mifugo kwenye Jiji la Al Fasher katika Jimbo la Darfur Kaskazini, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na mratibu mkazi na wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Clementine Nkweta-Salami. Flora Nducha na taarifa z…
…
continue reading
Hii leo jaridani mwenyeji wako ni Leah Mushi akiangazia shambulio huko Sudan, kilimo biashara nchini Kenya. Makala inakupeleka Sudan Kusini harakati za mkimbizi aliyefurushwa mara mbili na sasa amerejea nyumbani na mashinani ni huko Paris Ufaransa kunakofanyika michezo ya olimpiki ya majira ya joto.Takriban raia 97 wameripotiwa kuuawa au kujeruhiwa…
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
111. The Challenge of Imagining Thrutopias with Jennifer Browdy, Pt. 2 of 2
12:25
12:25
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
12:25
“I think maintaining our own individual health is a really important part of being able to contribute to broader social health.” -- Jennifer Browdy In this latest How To Write the Future podcast episode, host Beth Barany continues her conversation with Jennifer Browdy, PhD Professor of Comparative Literature & Media Arts, publisher of Green Fire Pr…
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Maafisa 12 wa Libya wafungwa jela kutokana na mkasa wa mafuriko wa 2023. - Julai 28, 2024
30:00
30:00
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
30:00
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.By VOA
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Paris Olimpiki: Ufaransa yashinda dhahabu ya raga, Kenya ikimaliza nambari tisa
23:55
23:55
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
23:55
Tuliyokuandalia ni pamoja na uchambuzi wa matokeo ya Olimpiki na mjadala kuhusu wanariadha wanaotarajiwa kung'ara kwenye Olimpiki wiki ijayo riadha zitakapoanza pamoja na matokeo ya Toyota Cup Yanga ikiilaza Kaizer Chiefs huku George Russel akishinda mkondo wa Belgian GP kwenye mashindano ya langalanga.…
…
continue reading
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Zaidi wa watu 30 wadaiwa kuuwawa na kundi la kijeshi lenye silaha la RSF nchini Sudan
- Julai 27, 2024
29:59
29:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
29:59
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.By VOA
…
continue reading
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Live Talk kuhusu ufunguzi rasmi wa michezo ya Olimpiki, ya 2024, Paris, Ufaransa. - Julai 26, 2024
59:59
59:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
59:59
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.By VOA
…
continue reading
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Perina Nakang alenga kushinda Olimpiki kuinua timu na familia yake
3:41
3:41
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
3:41
Perina Nakang, ni mmoja wa wanariadha 37 wanaounda timu thabiti ya wakimbizi kwenye michezo ya Olimpiki iliyoanza leo Julai 26 huko Paris, Ufaransa. Familia yake ilikimbia Sudan Kusini kwa sababu ya vita yeye akiwa na umri wa miaka 7 na kufika kambi ya wakimbizi ya Kakuma nchini Kenya. Sasa ana umri wa miaka 21, akikimbia mbio za mita 800 ambapo ka…
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Guterres: Pongezi IOC kwa kuendelea kujumuisha wanariadha wakimbizi kwenye Olimpiki
1:50
1:50
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:50
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ambaye yuko Paris Ufaransa kuhudhuria ufunguzi wa michezo ya Olimpiki ya majira ya joto mwaka 2024 amezungumza katika mkutano na waandishi wa habari akiwa pamoja na Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki Thomas Bach na kuipongeza kamati hiyo kwa kuendelea kuwajumuisha wakimbizi wanamichezo. Flora Nd…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia ufunguzi wa michezo ya Olimpiki na Jitihada za pamoja za kukabiliana na changamoto za afya ya umma barani Afrika. Makala tutasalia nchini Paris katika michezo ya Olimpiki na mashinani tunasikia mafunzo kushusu ulemavu wa kutosikia. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ambaye yuko Paris Ufaransa kuhudhuria uf…
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Muungano wa vyama vya upinzani Kenya unayumba baada ya rais Ruto kuteua mawaziri kutoka muungano huo - Julai 25, 2024
29:59
29:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
29:59
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.By VOA
…
continue reading
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Jifunze Kiswahili: Ufafanuzi wa methali “Lakupita lapishwa.”
1:07
1:07
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:07
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili, Mchambuzi wetu Dkt. Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia maana ya methali “Lakupita lapishwa.”By Dkt. Josephat Gitonga
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayoangazia siku ya kimataifa ya kuzuia watu kuzama majini na tunakupeleka nchini Tanzania kufuatilia suala hili. Pia tunakuletea muhtasari wa habari zikiwemo za Ethiopia, Bangladesh kusini mwa Afrika. Pia tunakuletea ufafanuzi wa msemo “Lakupita lapishwa.”Idadi ya watu Ethiopia waliokufa baada ya matukio…
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Maelfu ya waandamanaji wakusanyika nje ya jengo la bunge la Marekani kabla ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kulihutubia. - Julai 24, 2024
29:59
29:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
29:59
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.By VOA
…
continue reading
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Viazi lishe vimetukomboa na mafunzo ya FAO yametuimarisha
3:47
3:47
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
3:47
Nchini Tanzania, hususan mkoa wa Singida ulioko katikati kwa taifa hilo la Afrika Mashariki, shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO linaendelea na harakati zake za kuhakikisha taifa hilo la Afrika Mashariki linafanikisha Malengo ya Maendeleo Endelevu, SDGs, likiwemo lile la kwanza la kutokomeza njaa na la pili la kutokomeza umaskini …
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Madaraja yaliyojengwa na UNMISS yaondolea adha wananchi nchini Sudan Kusini
2:04
2:04
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:04
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudan Kusini (UNMISS) umefadhili ujenzi wa madaraja matatu huko Yubu, Turbiwa na Bundri kwenye kaunti ya Tambura jimboni Equitoria Magharibi. Lengo la ujenzi huo kupitia miradi ya matokeo ya haraka au QIPs, ni kurahisisha kurudi nyumbani kwa hiari kwa wakimbizi waliofurushwa makwao.Madaraja hayo ma…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia ripoti mpya ya Hali ya Uhakika wa Chakula na Lishe Duniani SOFI, na miundombinu yanayofadhiliwa na UNMISS nchini Sudan Kusini. Makala inatupeleka nchini Tanzania na mashinani nchini Chad, kulikoni?Takriban watu milioni 733 walikabiliwa na njaa mwaka 2023, hii ikiwa ni sawa na mtu 1 kati ya 11 duniani na mtu mmoja kati y…
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
UN Ripoti SOFI: Watu takriban milioni 733 walikabiliwa na njaa 2023
1:56
1:56
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:56
Takriban watu milioni 733 walikabiliwa na njaa mwaka 2023, hii ikiwa ni sawa na mtu 1 kati ya 11 duniani na mtu mmoja kati ya watano barani Afrika, kulingana na ripoti mpya ya Hali ya Uhakika wa Chakula na Lishe Duniani SOFI, iliyochapishwa leo na mashirika matano ya Umoja wa Mataifa. Ripoti hiyo ya kila mwaka iliyozinduliwa nchini Brazili katika m…
…
continue reading
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.By VOA
…
continue reading
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambayo inamulika maoni ya vijana kuhusu SDGs, mmoja wao ni Monicah Malith Mkimbizi nchini Kenya kutoka Sudan Kusini akieleza alichotoka nacho kwenye mkutano wa HLPF. Pia tunakuletea habari kwa ufupi na mashinani.Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu imelaani ukimbizi wa mara kwa mara utokanao na am…
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Wakazi na baadhi ya viongozi wa kisiasa wa DRC waomba serikali kuongeza juhudi za kurejesha amani mashariki mwa nchi. - Julai 22, 2024
29:59
29:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
29:59
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.By VOA
…
continue reading
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Wafugaji Samburu: Ngamia sio tu wamenusuru familia zetu, pia wametufungulia ukurasa mpya
3:09
3:09
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
3:09
Kauti ya Samburu Kaskazini mwa Keny ni miongoni mwa maeneo mengi yaliyoathirika na ukame kutokana na mabadiliko ya tabianchi. Jamii ya Wasamburu kwa kawaida ni wafugaji, baada ya ukame kukatili maisha ya mifugo yao haswa ng’ombe na mbuzi wakazi wengi walipoteza matumaini hadi pale FAO ilipowaletea mradi wa ufugaji wa ngamia kama mbadala wa kuhimili…
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
WFP: Sera rafiki zinawainua kiuchumi wakimbizi nchini Uganda
1:33
1:33
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:33
Je wafahamu kuwa Uganda ndio nchi inayohifadhi idadi kubwa ya wakimbizi barani Afrika? Na sera rafiki za maendeleo za nchi hiyo zinawapa wakimbizi fursa ya kuzalisha chakula chao wenyewe.Mmoja wa wanaofaidi sera hizo ni Jeniffer mkimbizi kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo DRC ambaye anaeleza ni muhimu kwa wakimbizi kuzalisha chakula chao w…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia ripoti ya juhudi za kutokomeza ukimwi, na miradi ya WFP kwa wakimbizi nchini Uganda. Makala tunamulika faida ngamia kkwa wafugaji nchini Kenya, na mashinani tunaangazia ziara za Fillipo Grandi nchini Ukraine.Ripoti mpya iliyotolewa leo kwa pamoja na shirika la Umoja wa Mataifa la kupambana na ukimwi UNAIDS na muungano w…
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Tanzania, Kenya na Uganda zasonga mbele kuzuia maambukizi ya UKIMWI kwa watoto- UNAIDS
1:59
1:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:59
Ripoti mpya iliyotolewa leo kwa pamoja na shirika la Umoja wa Mataifa la kupambana na ukimwi UNAIDS na muungano wa kimataifa wa kutokomeza ukimwi unaojumuisha mashirika mbalimbali, inaonyesha kwamba dunia iko katika wakati muhimu wa kubaini endapo viongozi wa dunia watatimiza ahadi zao za kumaliza janga la ukimwi kama tishio la afya ya umma ifikapo…
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
110. The Challenge of Imagining Thrutopias with Jennifer Browdy, Pt. 1 of 2
13:51
13:51
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
13:51
“Human creativity, the amazing thing about it is that we can come up with a thought that's never been thought before. We have these dreams that come to us that are totally unique and nobody but each one of us can have that particular perspective tied into our life experience and our culture and our location and who we are uniquely.“ — Jennifer Brow…
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Kiongozi wa upinzani Kenya asema kuwa haki inahitajika kabla ya mazungumzo na serikali - Julai 21, 2024
29:59
29:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
29:59
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.By VOA
…
continue reading
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Mitandao kote duniani yakumbwa na matatizo - Julai 20, 2024
29:59
29:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
29:59
Mitandao kote duniani yakumbwa na matatizoBy VOA
…
continue reading
![Artwork](/static/images/128pixel.png)
1
Olimpiki ya Paris: Mambo muhimu ya kujua kuhusu mashindano ya mwaka huu
17:22
17:22
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
17:22
Tuliyokuandalia ni pamoja na mambo muhimu unahitaji kujua kuhusu Olimpiki ya mwaka huu kabla ya kuanza, uchambuzi wa fainali ya CECAFA Kagame Cup kati ya APR ya Rwanda na Red Arrows ya Zambia, tetesi za uhamisho Afrika Mashariki n aUlaya pamoja na matokeo ya Tour de France ikielekea ukingoni huku kocha wa Uingereza Gareth Southgate akijiuzulu kuifu…
…
continue reading
…
continue reading
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.By VOA
…
continue reading
…
continue reading