Bárány public
[search 0]
More
Download the App!
show episodes
 
Artwork

1
Kiswahili program

Radio Vaticana - Vatican News

Unsubscribe
Unsubscribe
Daily
 
Vatican News vipaumbele vyake: Habari za Baba Mtakatifu; Vatican, Kanisa la Kiulimwengu na Kanisa Barani Afrika. Tunazo habari za kisiasa na kijamii kutoka Barani Afrika na Dunia katika ujumla wake. Tovuti hii inapambwa na Tafakari ya Neno la Mungu pamoja na Makala mbali mbali. - Podcast - Radio Vaticana - Vatican News
  continue reading
 
The How to Write The Future Podcast offers fiction writing tips for science fiction and fantasy authors who want to create optimistic stories because when we vision what is possible, we help make it so. By science fiction and fantasy author and fiction writing coach, Beth Barany.
  continue reading
 
Artwork
 
Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano mbalimbali.
  continue reading
 
Artwork
 
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
  continue reading
 
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
  continue reading
 
Artwork

1
Mjadala wa Wiki

RFI Kiswahili

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly
 
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
  continue reading
 
Artwork

1
Gimmie Babel

Gimmie Babel

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly
 
davidhochbaum.com davidstoupakisl.com Gimmie Babel is a podcast started in 2018 by visual artists and long time friends David Stoupakis and David Hochbaum featuring occasional guests to discuss process, inspiration and how they navigate the waters of living and working as a contemporary artist in the USA. Occasionally the artists would create videos to accompany the the episode. The agenda is open but usually revolves around art and food.
  continue reading
 
Loading …
show series
 
“We are the culture makers. And your book, I feel, really invites people into that in such a beautiful way. “ -- Beth Barany In this episode of How To Write the Future, podcast host Beth Barany talks with Amazon bestselling author, Maggie Ostara about the concept of feminine sovereignty, the evolution of sovereignty, and about Thrutopia as a way to…
  continue reading
 
“Human brains work. We live in story.” -- Maggie Ostara In this episode of How To Write the Future, podcast host Beth Barany talks with Amazon Bestselling author, Maggie Ostara. Together they discuss the concept of Feminine Sovereignty explored in Maggie's book “Feminine Sovereignty: 8 Pillars for Regenerating Ourselves and Our World.” They delve i…
  continue reading
 
Ni jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni, le parler francophone na Muziki, na leo tunahitimisha mlolongo wa Makala kuhusu kongamano la idhaa za kiswahili duniani lililofanyika huko Mbeya, na kwenye le parler francophone nakuletea ratiba ya shug…
  continue reading
 
Tuliyokuandalia hii leo ni pamoja na matokeo ya riadha za KipKeino Classic, uchambuzi wa debi la Tanzania na Mashemeji nchini Kenya, mabondia 11 wa DRC wafuzu nusu fainali ya michuano ya African Boxing Cup, matokeo ya ligi ya basketboli Afrika mkondo wa Nile na Ligi ya Mabingwa barani UlayaBy RFI Kiswahili
  continue reading
 
“I really wanna be able to help writers focus on themselves, be themselves, figure out what they wanna write, and create, a community and a, a library of fiction novels or any kind of novels that they've written and live life and have fun because we need more of that positivity and that sunshine in the world.” In “Confidence and Purpose with Writin…
  continue reading
 
Ni Jumapili nyingine tunakutana katika Makala Changu Chako Chako Changu, Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, Utamaduni, le parler francophone na Muziki, leo ninakuletea mazungumzo kuhusu ubidhaishaji wa lugha ya kiswahili, ikiwa ni kauli mbiu ya kongamano la nne za idhaa za Kiswahili Duniani lililofanyika mkoani Mbeya Mwezi Machi.…
  continue reading
 
Kwenye makala haya utasikiliza uchambuzi wa mechi za kufuzu soka ya kina dada Olimpiki na shirikisho la riadha duniani kuwa shirikisho la kwanza kutoa tuzo za fedha, maandalizi kuelekea riadha za KipKeino Classic, mkusanyiko wa michezo DRC, uchambuzi wa mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya wakati Tiger Woods na Novak Djokovic waweka historia kubwa dunia…
  continue reading
 
Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali amezungumza na Msimamizi wa kituo cha radio China Kimataifa ambaye ni raia wa China kufahamu zaidi kwanini alivutiwa na swala la kujifunza lugha ya kiswahili, ni katika muktada wa kongamano la idhaa za kiswahili duniani lililofanyika Mbeya nchini Tanzania. Kwenye Muziki utasikiliza wimbo wa mwanamuziki Lupman …
  continue reading
 
“Editing is challenging. So whenever you get lost, feel overwhelmed, confused, just in a state about the editing process, come back to your goal, motivation, conflict about why you write. " “Know Yourself” In episode 95 of the How To Write the Future podcast, Beth Barany explains the importance of knowing why you write, focusing on your strengths, …
  continue reading
 
Tuliyokuandalia Jumamosi hii ni pamoja na uchambuzi wa hatua ya robo fainali mkondo wa pili michuano ya Klabu Bingwa Afrika, matokeo ya kufuzu soka Olimpiki ya kina dada, mwanasoka wa Afrika Kusini kuuawa, PSG Academy yatoa mafunzo kwa makocha nchini Rwanda, Kenya yatangaza orodha yake ya wanariadha wa mbio za Marathon kwenye Olimpiki ya mwaka huu,…
  continue reading
 
“I'm trying to be creative and original and all that and so I was like, thinking, yes, but how come we need to have these words in common in order to build a story?” -- Jennifer Hilt In this episode of How To Write the Future, podcast host Beth Barany talks with USA Today Bestselling author of The Trope Thesaurus, Horror Trope Thesaurus, and Trope …
  continue reading
 
Karibu kuungana nami katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, Makala ambyo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni, le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea sehemu ya kwanza ya mazungumzo kuhusu Kongomano la nne la idhaa za Kiswahili duniani. Kwenye le Parler francophone nitakueleza ratiba ya shughuli za kitamaduni Allia…
  continue reading
 
Karibu katika makala jukwaa la michezo, leo hii tumekuandalia taarifa kadhaa kuanzia katika mashindano ya mbio za magari Safari rally nchini kenya, michuano ya klabu bingwa barani afrika Al Ahly wakiishinda Simba goli moja sifuri kisha Tp Mazembe kupata sare dhidi ya Petro Atletico ya Angola na mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Sierra Leone Lamin …
  continue reading
 
Loading …

Quick Reference Guide