Haki public
[search 0]
More
Download the App!
show episodes
 
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
  continue reading
 
Artwork
 
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
  continue reading
 
The TK Podcast is a podcast started by KingsHaki and RoronoaTrey. We discuss One Piece but also all anime/manga/nintendo games and sometimes other things. The hosts are KingsHaki, RoronoaTrey and Bluefirecrashdown. Contact us here, or on twitter at Kings_Haki, RoronoaTrey15 or Azure_Ursus
  continue reading
 
Loading …
show series
 
منى بنيامين فنانة بصرية ومخرجة أفلام ولدت عام ١٩٩٧ في فلسطين وهناك تعيش وتعمل. تستكشف منى بأعمالها وجهات النظر بين الأجيال حول الأمل، والصدمات وأسئلة الهُوية من خلال استخدام الفكاهة والسخرية كأدوات سياسية للمقاومة والتفكير. تم عرض أعمالها الأخيرة في الMoMA، ومهرجان شفيلد الدولي للأفلام الوثائقية، وThe Mosaic Rooms، وجامعة كولومبيا والعديد غيرها. لم…
  continue reading
 
Idadi kubwa ya kina dada wameamua kuchagua upasuaji kama njia rahisi ya kujifungua kwa sababu tofauti tofauti.Sehemu ya pili ya makala haya inaangazia ni kwa nini idadi hio inaongezeka kisha hali inakuaje pale kwenye chumba cha kujifungulia.Dakatari Lilian Nkirote kutokea hospitali ya Jacaranda jiji Nairobi anaelezea kwa kina.…
  continue reading
 
Makala ya siha njema wiki hii tunaangazia Afya ya uzazi na kujifungua na sio safari nyepesi.Ni safari yenye changamoto haba na furaha kwa wanawake na familia zao. Ni muhimu kwa kila mama mjamzito kufahamu hatua muhimu za kuhakikisha ustawi wa afya yake na ya mtoto anayemtarajia. Kupitia huduma bora za kiafya na ushauri wa wataalamu, wanawake wanawe…
  continue reading
 
Nchini DRC, kumeripotiwa upungufu wa watoto wa kike katika kupata elimu, hili likidaiwa kuchangiwa na tamaduni zilizopitwa na wakati. Katika makala haya basi Butua Balingane, mkurugezi wa chuo kikuu cha walimu cha ISP, Goma ambaye anasimulia masaibu anayopitia mtoto wa kike nchini DRC kupata elimu. Skiza makala haya kufahamu mengi zaidi.…
  continue reading
 
Nchini Kenya, idara ya polisi imekiri kwamba wanawake 97 wameuawa kwa kipindi cha miezi 3, baadhi miili yao ikipatikana imenyofolewa. Ni visa ambayo vimesababisa viongozi wa ngazi ya juu akiwemo rais William Ruto, ambaye ametoa agizo wa asasi za uchunguzi nchini humo kuwasaka na kuwachukulia hatua wale wote ambao wamehusika katika visa hivyo. Kweny…
  continue reading
 
Kumekuwa na mikakati maksudi katika nchi za Afrika kuwekeza katika utafiti kuhusu nyoka na matibabu ya simu yake Baadhi ya mikakati hiyo ni utafiti wa kuwa na aina moja ya dawa ambayo inaweza kutumika katika nchi za Afrika Mashariki vile vile kuelimisha jamii kuhusu huduma za kwanza sahihi kuwasaidia wagonjwa na namna ya kuzuia madhara zaidi kutoka…
  continue reading
 
Kungatwa na nyoka imeorodheshwa miongoni mwa matatizo ya kiafya yaliyotengwa Takwimu za shirika la afya duniani ,WHO zinasema kila dakika nne ,watu nne duniani, hupoteza maisha kutokana na sumu ya nyoka. Hii ni kutokana na gharama ya juu ya matibabu ,ugumu wa kupatikana na matibabu haya na raia kutofahamu hatua sahihi ya kufuata ukiumwa au kutemewa…
  continue reading
 
Siku ya Mtoto wa Kike Duniani, inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 11 Oktoba, ni fursa ya kuangazia changamoto zinazokabili watoto wa kike duniani na kukuza usawa wa kijinsia. Katika mwaka 2024, mada ilikuwa "Kutoa sauti kwa watoto wa kike: Fursa na Changamoto katika Utu wa Kike." Makala haya yataangazia kwa kina haki za mtoto wa kike na hatua zilizo…
  continue reading
 
Chakula ni muhimu kwa maisha, kuishi, heshima, ustawi, na maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa watu binafsi, jamii, na mataifa. Sheria za kimataifa zinatambua haki ya kila mtu kupata chakula cha kutosha na haki ya kuwa huru kutokana na njaa. Haki hii ni ya msingi kwa utekelezaji wa haki zote za binadamu. Nchini Kenya, ni haki ya kikatiba, iliyoko k…
  continue reading
 
رائد إبراهيم فنان بصري ومدرس فنون مقيم في عمان، الأردن. وُلد في السعودية ودرس الفنون الجميلة في الجامعة اللبنانية في بيروت. لاحقًا، حصل على درجة الماجستير بالفن في الفضاءات العامة من جامعة المعهد العالي للفنون والتصميم في سويسرا. بيعمل عبر وسائط مختلفة وغالبًا ما بيتعمق بالمواضيع والقضايا المعاصرة، وبيهتم بالممارسات الفنية الاجتماعية والسياسية عرضت…
  continue reading
 
ضيفة حلقتنا اليوم هي المصورة الفوتوغرافية ليندا خوري. من مواليد ال ١٩٧٩ في عمان الأردن، تعمل ليندا كمصورة محترفة وبتخصص وقت لشغفها في التصوير التوثيقي الفني.. وبعد خبرة سنوات عديدة في جميع مجالات التصوير التجاري والتدريب، أسست دارة التصوير عام ٢٠٠٧، كما أسست مساحة فن وشاي الثقافيه عام ٢٠١٣ بهدف دمج الثقافة والفنون بالمساحات العامة. هذه الحلقة بدعم …
  continue reading
 
Kamati ya kimataifa ya msalaba mwekundu,ICRC mara nyingi hubidi kuhudumu katika maeneo yenye mizozo kutoa huduma za dharura ,msaada wa kibinadaam ikiwemo afya Ili kukabiliana na changamoto za kuafikia malengo yake ya kutoa huduma za afya za dharura katika uwanja wa vita ,maeneo yenye majanga ,imebidi kufumbua mbinu ya kuwa na hospitali za muda amba…
  continue reading
 
Katika makala haya tunaangazia ripoti ya umoja wa mataifa kusema kwamba zaidi ya wanawake wafungwa ya 260 walibakwa katika jela ya Makala nchini DRC, mapema mwezi huu wakati wa jaribio la wafungwa kutoroka jela. Ripoti hiyo imebaini kwamba kati ya wafungwa 348 katika gereza hilo la Makala, wafungwa 268, walitendewa vitendo vya unyanyasaji wa kingon…
  continue reading
 
Raia wengi bado hawawezi kufurahia haki zao za afya ya uzazi kutokana na ukosefu wa ufahamu Haki hizo ni pamoja na haki ya kuwa mzazi au la,kupata habari kuhusu afya ya uzazi ,kupata huduma bora za uzazi ,kushiriki mapenzi kwa njia stahiki na kuhudumiwa katika vituo vya afya kwa heshimaBy RFI Kiswahili
  continue reading
 
Nchini Kenya zaidi serikali inaendesha uchunguzi wa chembechembe za DNA, za wanafunzi 21 wa shule ya msingi ya Endatasha baada yao kuteketea kiasi ya kutotambulika, kabla ya miili yao kutolewa kwa familia. Miili limewaacha wazazi kwenye njia panda wasijue la kufanya, wakati huu maswali yakiendelea kuulizwa je nani wakulaumiwa baada ya mkasa huo wa …
  continue reading
 
Ripoti nyingi zinaonesha wanawake pamoja na wanaume wanakabiliwa na changamoto za uzazi Wanandoa nyingi wanalazimika kukaa miaka mingi kabla kupata watoto ,kitu ambacho bado kinazingatiwa na jamii za Afrika kuwa ukamilifu katika kila ndoa au familia. Daktari bingwa wa uzazi dkt Dennis Miskella anaeleza juhudi za kutafuta mtoto zinastahili kuwa ushi…
  continue reading
 
Katika makala haya tunajikiti kuangazia uketetetaji ambapo wasichana wamekuwa ukiendelea kukeketewa nchini Kenya licha ya serikali kanzisha kampeni ya kuhamasisha umma kuhusu athari zinazotokana na ukeketaji huo. Jamii za Kenya, kupitia kwa kina mama na wasichana waliopitia ukeketaji kwa ushirikiano na mashirika ya kijamii wameanzisha vikundi vya k…
  continue reading
 
Jamii zinazoishi mikapani nchini Kenya kwa muda zimekuwa zikikosa huduma muhimu ya kupata vitambulisho kutoka na sababu ambazo wenyewe wanasema serikali inawabagua. Katika makala haya tunajikiti kuangazia masaibu ya jamii za mipakani nchini kenya kupata vitambulisho. Kufahamu mengi zaidi skiza makala haya.…
  continue reading
 
Mikakati ambayo WHO inahimiza nchi za Afrika kukumbatia ni ubadilishanaji wa taarifa kuhusu ugonjwa wa Mpox ,ubainishaji sahihi na kampeni za chanjo Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ,kuna hofu ya msambao hatari wa MPox unaohuishwa na vitendo vya ngono Watalaam wa afya nchini DRC pia wanahimiza uhamasisho zaidi kuhusu ugonjwa huo ambao umesab…
  continue reading
 
Shirika la afya duniani ,WHO na taasisi ya kudhibiti magonjwa ya umoja wa Afrika ,CDC zililazimika kuchukua uamuzi mzito wa kutangangaza MPOX dharura ya kiafya Mataifa 16 ya Afrika kati ya 55 yameripoti visa vya MPOX mwaka huu ,CDC ikisema maambukizo yamepanda hadi asilimia 160 mwaka huu ukilinganishwa na mwaka 2023 Virusi vya MPOX vimeripotiwa kuj…
  continue reading
 
Mawakili mjini Mombasa pwani ya Kenya wamenza kutoa mafunzo ya sheria kwa vijana waliokuwa wakiandamana kushinikiza mabadiliko. Mawakili hao ambao ni wanachama wa chama cha mawakili nchini LSK, wamesema hatua hiyo imechochewa na maandamano yaliokuwa ya vijana maarufu kama Gen-Z leo lengo lao kuu likiwa kuwawajibisha viongozi serikalini. Kufahamu me…
  continue reading
 
مي مظفر، شاعرة وناقدة فنية مستقلة تقيم وتعمل في عمان، حائزة على بكالوريوس الأدب الإنجليزي من جامعة بغداد عام 1961 ولها إصدارات متنوعة في الشعر والقصة القصيرة والسيرة الذاتية والغيرية، والفنون التشكيلية تأليفا وتحريرا، إضافة إلى الترجمة من الإنجليزية إلى العربية. هي قيّمة على الإرث الفني لزوجها الفنان الراحل رافع الناصري 1940-2013. أنشأت باسمه منذ 2…
  continue reading
 
Kuuza bidhaa za tumbaku za kisasa ,kama bidhaa zisizo na madhara ,kutumia ladhaa tamu na kutumia mitandao ya kijamii kuuza bidhaa hizi ni mbinu ambao kampuni za kutengeneza tumbaku zinatumia kuwavutia vijana na kuwa wateja wao wa kudumu. Kampuni hizi zinafadhili pia utafiti ambao unakinzani na utafiti wa taasisi za afya kuhusu madhara ya Tumbaku.Is…
  continue reading
 
Katika makala haya saba yetu inalenga taifa la Tanzania eneo la Ngorongoro ambapo serikali imekuwa ikiwahamisha wenyeji eneo hilo, ili kuihifadhi eneo hilo kutokana na historia yake. Tuangazia repoti ya shirika la kimataifa la kutete haki za biandamu la Human Watch ambayo imetuhumu serikali ya Tanzania kwa kuwafurusha kwa nguvu mamia ya raia wa kim…
  continue reading
 
Kumeshuhudia juhudi makhsusi kutoka sekta ya Tumbaku zinazopinga sheria zinazodhibiti Tumbuka kama vile kupitia ushuri au sheria zenye adhabu kali Sekta hii pia imeonekana kurubuni serikali tofauti kwa kutoa msaada bila wao kufahamu lengo la sekta hiyo. Aidha kuna tafiti za kisayansi zinazofadhiliwa na sekta hii kukabili sayansi zinazorodhesha tumb…
  continue reading
 
Juma hili tunaangazia haki za wanahabari kupeperusha habari zao bila kuingiliwa na vyombo vya usalama katika mataifa yao. Shaba yetu bila shaka inalenga taifa la Kenya, nchi ambayo wanahabari wamejeruhiwa wakati wakitekeleza majukumu yao, ya kuangazia maandamano ya vijana wa Gen Z, ambao wamekuwa wakishinikiza mabadiliko nchini Kenya. Kwa siku sasa…
  continue reading
 
Ugonjwa wa Endometriosis hudhihirika msichana anapovunja ungo na huja na maumivu makali kabla ,wakati na hata baada ya hedhi Lilian Leley ameishi na maumivu hayo kwa zaidi ya miaka thelathini.Amefanya upasuaji mara mbili na anatazamiwa kwenda kwenye operesheni nyingine hivi karibuni katika kujaribu kutafuta tiba ya ugonjwa wa Endometriosis Anasimul…
  continue reading
 
Endometriosis hutokea wakati tishu kwenye ukuta wa tumbo la uzazi zinapopatikana katika maeneo mengine ya mwili ikiwemo mapafu ,utumbo na hata ubongo Endemotriosis huwa na dalili zinazofanana magonjwa mengine ya uzazi na unaweza kubainika kupitia kipimo cha Laparoscopy ambapo tishu hizo zinachunguzwa moja kwa moja…
  continue reading
 
Katika makala haya tunaangazia dhuluma zinazodaiwa kutekelezwa na wanajeshi wa Uingereza ambao wana kambi ya mazoezi nchini Kenya leo la Nanyuki. Wanajeshi hao wanadaiwa kuwabaka na kuwaua wanawake mbali na kuwacha vilipuzi katika maeneo ya mazoezi ambavyo baadaye hulipuka na kusababisha majiraha na maafa. Wanawake wambao wamekuwa na uhusiano wa ki…
  continue reading
 
Visa vya dhuluma dhidi ya wanawake vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara katika jamii mbalimbali barani Afrika na hata duniani,jambo ambalo limechangia sheria nyingi kuanzishwa kulinda wanawake,lakini hata hivyo dhuluma hizo zimeanza kuwakumba wanaume wengi kwa kunyanyaswa na kupingwa na wake wao. Katika makala haya tunaangazia dhuluma za kijinsia dh…
  continue reading
 
Bidhaa za vyakula au vinywaji zikiwa na machapisho ya kuonesha kuwa vina sukari nyingi ,chumvi nyingi au mafuta mengi mnunuzi anakuwa na fursa ya kuchagua vema Watalaam wamesema lishe ni kiungo muhimu katika kupambana na magonjwa yasiyoambukizwa ambayo yanazidi kuongezeka na kuwa mzigo kubwa kwa jamii na mifumo ya afya…
  continue reading
 
Taifa la Sudan Kusini linashuhudia wimbi kubwa la wakimbizi wanaoendelea kukimbia vitra nchini Sudan, licha taifa hilo kuendelea kushuhudia changamoto nyingi tu ikiwemo ukosefu wa amani katika baadhi ya majimbo yake. katika makala haya tunazama kuangazia ripoti ya shirika la Care in South Sudan ambayo imechangia ripoti kuhusiana na hali ya binadamu…
  continue reading
 
Vitiligo ni hali ya ngozi ambapo madoa meupe au mabaka yanaonekana. Inaweza kuathiri mtu yeyote, ikiwa ni pamoja na watoto na vijana. Sio hatari, si kama saratani ya ngozi au maambukizi unayoweeza kupata na kwa hiyo huwezi kuipata kutoka kwa mtu mwingine. Watu wengi wenye vitiligo wana afya nzuri. Baada ya muda, mabaka zaidi yanaweza kuonekana kwen…
  continue reading
 
Nchini Kenya vijana wamekuwa wakiandamana kulalamikia kile wataja mpango wa serikali kuongeza kodi kwa kutumia mswada wa fedha wa mwaka 2024. Idadi kubwa ya vijana hao wanapinga mswaada huo wanaosema utaongeza gharama ya maisha kipindi hiki wengi wao wakiwa tayari hawana ajira, makali ya gharama ya maisha nayo yakiendelea kulemaza shughuli zao za k…
  continue reading
 
Kumekuwa na mvutano kati ya serikali ,uongozi wa kaunti za Pwani ya Kenya ,kuhusu Muguka kupigwa marufuku kwa sababu za kiafya Wakulima ,wafanyabiashara na wenyeji wa Embu wanaozalisha Muguka kwa kiasi kikubwa hata hivyo wanasema hawajapata madhara yoyote Hata hivyo watalaam wa afya wanaonya uraibu wa Muguka unaweza kudhuru afya…
  continue reading
 
Idadi ya watu waliopewa adabu ya kifo iliongezeka zaidi mwaka 2023, mataifa ya mashariki ya kati na nchini Somalia abadu hiyo ikiripotiwa kuwa ya juu zaidi. Kwa mjibu wa shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, katika ripoti yake ya kila mwaka, zaidi ya watu 1, 153 walipewa adabu ya kifo mwaka 2023 pekee, bila kujumu…
  continue reading
 
Katika makala haya ni awamu ya pili tunaendelea na mazungumzo yetu na bwana meshaka Sisende raia wa Kenya anayeishi na ulemavu wa ngozi. Juma lililopita tuliangazia pakubwa changamoro wanazopitia raia hawa naoishi na ulemavu wa ngozi na hapa tunazidi kuangazia mananikio ya raia wanaoishi na ulemavu wa ngozi. Miaka kadhaa iliopita mauwaji ya raia wa…
  continue reading
 
ضيفنا اليوم الفنان هيمت علي، فنان عراقي كردي ولد في كركوك عام ١٩٦٠ وأصبح اسم مهم في عالم فن التجريد. تقتني أعمالَه عدة مؤسسات فنية منها: دارة الفنون – مؤسسة خالد شومان، والمتحف الوطني الأردني للفنون الجميلة، ومتحف الفن الحديث في العراق، ومعهد العالم العربي بباريس، وغيرها الكثير يحدثنا هيمت عن عالم فن التجريد، تاريخه بالعراق، وعن أعماله الفنية وتجرب…
  continue reading
 
Kila mwaka Juni 14 dunia huadimisha siku ya watu wanaoishi na ulemavu wa ngozi sherehe zilizoanza kuadimisha tangu mwaka 2014, ili kuhamasisha jamii kwamba watau wanaoishi na ulemavu wa ngozi wao ni watu wa kawaida katika jamii. Katika makala haya Meshaka Sisende kutoka nchini Kenya anasimulia maisha ya kawaida ya watu wanaoishi na ulemavu wa ngozi…
  continue reading
 
Mataifa ya Afrika bado yanaendelea kushuhudia kasi ya ongezeko la watu ijapokuwa chumi za Afrika hazifanyi vizuri inavyotakikana Watalaam wanaonya iwapo idadi ya watu haitodhibitiwa ,kupangiwa huenda mataifa mengi yakalemewa na idadi ya watu wanaowategemea wengine Aidha kuna hatari ya sera za serikali kushindwa kukidhi mahitaji ya raia wake ,idadi …
  continue reading
 
Makala haya yanaangazia tendekazi wa tume za kutetea haki za biandamu za serikali zetu za Africa mashariki. Hii ni baada ya lalama kutoka kwa kiongozi wa upinznai nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine kwamba tume ya haki nchini Uganda imekuwa ikiegemea upande wa serikali katika kutekeleza majukumu yake. Robert Kyagulanyi,amelazimika k…
  continue reading
 
Loading …

Quick Reference Guide