Moja public
[search 0]
More
Download the App!
show episodes
 
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
  continue reading
 
Maelezo - Neno ni sehemu ya huduma ya kimataifa ya mafundisho ya biblia nzima ya Thru The Bible. Mfululizo wa mafundisho haya kwanza yaliandaliwa na Dkt. J. Vernon McGee na kutafsiriwa kwa lugha zaidi ya mia moja na kabila. mafundisho hayo yakusudiwa kuwa ya dakika 30 kwenye radio ambayo kwa mpangilio maalum humwezesha msikilizaji kujifunza Biblia nzima. Sasa ujumbe ndizo twakusilishia kwenye mtandao. Twashukuru kwamba umeanza kujifunza mengi zaidi katika Neno la Mungu kwa njia ya ujumbe hiz ...
  continue reading
 
Andreas ana shughuli nyingi za kufanya. Inambidi kushughulikia wageni hotelini, kuwatafutia wazazi wake chumba na pia kumhoji Charlemagne. Ziada ya hayo, wazazi wake wanamchunguza ex ni nani na wapi alikutana na binti yao. Mambo muhimu ya sarufi: Vitenzi vya utaratibu, wakati timilifu, uhusika usioungwa moja kwa moja.
  continue reading
 
Artwork

1
Mjadala wa Wiki

RFI Kiswahili

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly
 
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
  continue reading
 
Redio podcast hii inalengo la kuhabarisha,burudisha na kuelimisha kwa kukuletea habari moto moto sanjari na matukio ya kijamii yasio chacha yanayo jiri kutoka kila sehemu Duniani kote. B-Voice Radio Dunia moja habari pamoja!
  continue reading
 
Nikiwa Kama mwanahabari chipukizi naamini kuwa siku moja nitatimiza ndoto zangu lakini marafiki ndugu na jamaa wote na Kila mtu ndio nguzo yangu katika hii fani . Mimi sio mkamilifu endapo Kuna mahali nimekosea kwa kile ambacho nafanya Basi nitashukuru nikipata mtu na kuniongoza . Katika podcast hii hutuma habri na maelezo mbali mbali ya kijamii .
  continue reading
 
Artwork
 
Podcast jest nagrywany w języku angielskim. Spędź kilka chwil ze mną a ja postaram się przekazać Ci mnóstwo energii i zarazić moją pasją do tego języka. Każdy podcast będzie miał swój transkrypt, który pomoże wytropić dowolne słówko i zwrot. Transkrypt znajdziecie na naszej stronie My podcast is recorded in English. Spend some time with me and I will try and share with you loads of energy and passion for this language. Each podcast will have its transcript which will help you trace any word ...
  continue reading
 
Ujumbe Muhimu Sana Kwa Wagonjwa Wa GOITA Kama wewe ni mgonjwa wa GOITA ambaye umekuwa unahangaika kwa muda mrefu na tatizo hilo bila ya kupata utatuzi wa uhakika basi naomba unisikilize kwa makini kabisa kwani huenda taarifa ifuatayo ikawa taarifa muhimu kuliko taarifa yoyote katika maisha yako. Baada ya kuwasaidia zaidia ya wagonjwa 200 wa GOITA nimekuja kugundua kuwa tiba ya ugojwa huo sio upasuaji tu kama madaktari wengi wanavyodai bali ni jambo ambalo ukilifahamu utaweza kuondokana na ta ...
  continue reading
 
Artwork
 
#Talks4Change is a podcast series created, hosted and narrated by Curtin young alumni. This podcast series celebrates and shares the journey of young Curtin graduates who are inspiring social change within the community. Follow us on LinkedIn: @CurtinYoungAlumni Email us: youngalumni@curtin.edu.au Visit our website: curtin.edu/youngalumni 2021 host: Sam Panickar – Bachelor of Commerce (Tourism, Hospitality and Event Management and Marketing), 2014 2021 editor: Apurva Gupta Backing Music: Iks ...
  continue reading
 
The Dominic, Andrew, and Matthew podcast was started by 3 college students with a love for everything that involves the Culture and wanted an outlet to speak their minds freely and give all generations a channel to relate to. We dedicate ourselves to discovering and meeting individuals from all walks of life that can share their experiences and passions to the world through our Platform. Experiences vary from trending Politics, News, Pop Culture, Urban Culture, Sports, Music, Entertainment, ...
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Siku ya Jumanne, Kenya ilishuhudia maandamano makubwa kupinga mswada tata wa sheria uliopitishwa na wabunge, kuongzeza kodi. Waandamanaji wenye hasira, walivamia majengo ya Bunge jijini Nairobi na kusababisha uharibifu, huku polisi wakiwapiga risasi na kuwauwa waandamanaji. Nini itakuwa suluhu ya mzozo huu ? Tunachambua suala hili na Majeed Ali, mm…
  continue reading
 
Makala hii inaangazia mchakato wa kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa huko Afrika kusini, baada ya kuapishwa kwa rais Ramaphosa huku chama tawala ANC kikitangaza kufikia makubaliano na vyama vingine, kama DA. Kudadavua hili mwandishi wetu Ruben Lukumbuka anazungumza na Lugete Musa Lugete ni mchambuzi wa siasa za kimataifa akiwa Jijini Daresala…
  continue reading
 
Wananchi wa Rwanda wanajiandaa kupiga kura tarehe 15 mwezi Julai kumchagua rais na wabunge. Wiki iiyopita, Tume ya Uchaguzi ilitangaza orodha ya awali ya wagombea urais ambao ni rais Paul Kagame ambaye amekuwa madarakani tangu mwaka 1994, Frank Habineza kutoka chama cha Democratic Green na Philippe Mpayimana mgombea binafsi. Mwanasiasa na mpinzani …
  continue reading
 
Nchini Kenya, malumbano ya kisiasa yameanza kushuhudiwa kati ya rais William Ruto na naibu wake Rigathi Gachagua, malumbano hayo yametokana na tofauti za kisiasa kuelekea uchaguzi wa mwaka 2027. Kuna hofu kwamba wandani wa rais William Ruto wanawatumia wabunge vijana kutoka ngome ya naibu rais kumtatiza kisiasa hili likiibua malumbano makli ya kisi…
  continue reading
 
Wimbi la siasa inaangazia kilichotokea Mei 19 jijini Kinshasa ambako vikosi vya jeshi la serikali (FARDC) viilidai kuzima jaribio la mapinduzi dhidi ya rais wa nchi hiyo.Tukio hilo lililotokea usiku wa kuamkia jumapili ya Mei 19, lakini sasa tukio hilo limeibua maswali mengi bila majibu. Kudadavua hili, utawasikia Georges Msamali, mtaalamu wa masua…
  continue reading
 
Kwenye Makala haya Ali Bilali akiwa pamoja na wachambuzi wa siasa Mali Ali kutoka Paris Ufaransa na Abdulkarim Atiki wanaangazi kuhusu tuhuma za Burundi kwa Rwanda kuhusika na vitendo vya uhalifu hususan uvurumishaji guruneti katika mji wa Bujumbura, tukio la hivi karibuni liligharimu maisha ya watu kadhaa na kuwajeruhi wengine.…
  continue reading
 
Mazungumzo ya amani yanayohusisha makundi ya waasi nchini Sudan Kusini na serikali yameanza rasmi jijini Nairobi, wakati huu taifa hilo likijiandaa kwa uchaguzi wa mwezi Disemba. Makundi haya ni yale yaliosusia mkataba wa amani wa mwaka 2018, wakati rais Salva Kiiri na hasimu wa wake wa kisiasa ambaye sasa ni makamo rais wa Kwanza Reik Machar walis…
  continue reading
 
Kila tarehe 1, ni maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi duniani. Wafanyakazi wanatumia siku hii kusherehekea mafanikio yao na kuendeleza mapambano ya haki zao. Je, siku hii ina umuhimu gani ? Wageni wetu ni Nice Mwansasu kutoka Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) na mwanasheria wa masuala ya ajira kutoka Kenya Elvis Abenga…
  continue reading
 
Loading …

Quick Reference Guide