Nje public
[search 0]
More
Download the App!
show episodes
 
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
  continue reading
 
Programi "Përmes Biblës" është pjesë e shërbesës "Përmes Biblës" të mësimit të Biblës në mbarë botën. Këto seri u planifikuan që në fillim nga Dr. J. Vernon McGee dhe janë përkthyer dhe përshtatur në më shumë se 100 gjuhë dhe dialekte. U planifikua që të ishte një program radiofonik ditor 30-minutësh, që në mënyrë sistematike ta udhëhiqte dëgjuesin përmes gjithë Biblës. Këto programe janë të disponueshme për ju në internet. Ne jemi mirënjohës që ju keni zgjedhur të mësoni më shumë për Fjalën ...
  continue reading
 
Andrea ka shumë punë. Ai duhet të kujdeset për klientët në hotel, të gjejë një dhomë për prindërit e tij dhe të bëjë një intervistë me Karlin e Madh. Veç kësaj, prindërit do të mësojnë se kush është Eksa dhe si e ka njohur Andrea atë. Elemente të rëndësishme gramatikore: foljet gjysmëndihmëse (modale), koha e kryer, rasa dhanore.
  continue reading
 
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
  continue reading
 
Need the perfect playlist? I got you covered!!!! Stream & Share Below https://afrocaribbeanvibesmix.com/mixtapes/ 1. Elvis Francois - Broken Pieces 2. Hailey Kilgore - Hold Me 3. Montell Jordan - Now Or Never 4. Muni Long - Hrs and Hrs 5. Eli Derby x 6LACK - Lately 6. JaeRene (feat. Marqus Clae) - Synergy 7. Alecia - Always Find My Way 8. Amber Jade - Layers 9. Afra Kane - Building 10. Cherise Ransome - The Bridge 11. Naya Shea - Risk 12. Kate Usher - What You Read About Me 13. Sensei Yaebae ...
  continue reading
 
Artwork

1
ASTERIA CONNECTS

Asteria Mvungi

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly
 
Asteria Connects is a podcast hosted by Asteria Mvungi, which shines a light on matters concerning Health (Mental Health and Nutrition) Socio-economic welfare and Spirituality.
  continue reading
 
Andrea i ka përfunduar studimet dhe tani është i gatshëm që të nisë mbledhjen e materialeve për artikullin e tij të parë. Puna e çon atë (dhe natyrisht edhe Eksën misterioze) në Gjermaninë Lindore. Elemente të rëndësishme gramatikore: Forma pësore e foljeve (Passiv), pjesët e varura të fjalive, foljet vetvetore, mënyra lidhore (Konjunktiv).
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Makala ya Wimbi la siasa inaangazia tukio la kutekwa na kuuawa, kwa wanasiasa wa upinzani kwenye nchi za Afrika mashariki,tukio la hivi punde likiwa ni kutekwa kwa mwanasiasa mwandamizi wa chama cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema Ali Kibao, na baadaye alikutwa ameuawa, na matukio haya yanaripotiwa pia nchini Uganda na DRC. Ungana na Ruben Luk…
  continue reading
 
Makala hii imeangazia hali ya kibinadamu inavyoendelea kuwa mbaya ndhini Sudan licha ya juhudi za kimataifa zinzoendelea.Nini kifanyike ili kufikia amani ya kudumu ya Sudan? kwa nini serikali imekataa kukaa meza moja na wapiganaji wa RSF? kuangazia hili, Ruben Lukumbuka anazungumza na Lugete Musa Lugete ni mchambuzi wa siasa za Kimataifa akiwa Tanz…
  continue reading
 
Karibu katika Makala Wimbi la siasa ambapo tunazungumzia Mkutano wa 44 wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika uliofanyika Harare, Zimbabwe ambapo viongozi walijadili changamoto zinazolikabili kanda hilo hususan usalama mashariki mwa DRC. Wachangiaji mada ni Alhaj Mali Ali akiwa Paris Ufaransa na Andulkarim Atiki akiwa Dar es salaam Ta…
  continue reading
 
Wiki hii askari wanaofikia 100 wa DRC, walikimbilia Uganda baada ya waasi wa M23 kuuteka mji wa Ishasha ulioko mpakani na Uganda hali ambayo ilijiri wakati sitisho la mapigano lilikubaliwa kati ya DRC na Rwanda mjini Luanda Angola chini ya Upatanisho wa rais wa Angola Joao Laurenco. Kwa nini mapigano yanaendelea licha ya juhudi za kikanda na za kim…
  continue reading
 
Loading …

Quick Reference Guide