Best maisha podcasts we could find (Updated December 2017)
Related podcasts: Swahaba Education Islamic Religion Maisha Hudson Adult Conversation Love News Society Mwanadamu Mwisho Maisha Guy Natural Talez Urban Entrepreneurs Hizi Zifahamu Umeyr Musw-ab Rabbah Bilali  
Maisha public [search 0]
show episodes
 
M
Maisha Ya Kaburini
Daily+
 
• Mada hii inazungumzia maisha ya mwanadamu baada ya kuumbwa na mtu wakwanza kufa.• Mada hii inazunguzia mambo ambayo yatamkuta mtu kabla ya kufa.• Mada hii inazunguzia mambo ambayo yatamkuta mtu baada ya kutolewa roho.
 
U
Uislam Ndio Mfumo Sahihi Wa Maisha
 
Mada hii inaelezea namna jamii ilivyo vurugika na uislam ndio dini pekee ya kuweza kubadisha maadili.
 
M
Maisha Ya Swahaba Bilali Bin Rabbah
 
Mada hii inazunguzia maisha ya Swahaba mtukufu Bilali Bin Rabbah (R.a)
 
M
Maisha Ya Swahaba Musw-Ab Bun Umeyr
 
Mada hii inazunguzia maisha ya Swahaba mtukufu Musw-ab Bun Umeyr (R.a)
 
U
Umuhimu Wa Afya Katika Maisha Yetu
Daily+
 
Mada hii inazungumzia umuhimu wa afya katika maisha yetu na mambo yanayo haribu afya zetu nay ale yanayo imarisha afya zetu.
 
M
Maisha Ya Swahaba Abdullahi Bun Mas’uud
 
Mada hii inazunguzia maisha ya Swahaba mtukufu Abdullahi Bun Mas’uud (R.a)
 
M
Maisha Ya Swahaba Abuu Dharril Ghafary
 
Mada hii inazunguzia maisha ya Swahaba mtukufu Abuu Dharril ghafary (R.a)
 
E
Erotic Talk Radio
Monthly+
 
Join your hostess Jade every Thursday at 9:00PM EST on Erotic Talk Radio. Where she will surly entice your erotic senses, taking your sensual and sexual relationship to another level, from foreplay to toy play, and everything in between. Jade will tease and please your listening pleasure with some slow jams, erotic talk, and entertainment. So tune in as her and her guests explore ways to get and give orgasmic pleasures, mentally, and physically. Erotic Talk Radio, a show you don’t want to miss!
 
E
Empowered Boss Network
Rare
 
How to Build Your Brand in The Marketplace Like a B.O.S.S.It’s Time To Transform Your BusinessThe Knowledge You Need Doesn’t Have to Cost You a Fortune!Here is a Middle Ground that Will Give You the Same Results Without Setting You Back!A WEEKLY PODCAST & PODCASTDo you need knowledge on a specific subject or career but find that the current sources offered don’t give you the answers you need?Do you believe that successful businesses only need a simple, solid foundation and a basic knowledge ...
 
C
China machoni mwetu
Weekly+
 
Mambo wanayofanya wachina katika maisha ya kila siku, yanayohusu wachina wa kawaida, na yale yanayofuatiliwa na watu wa kawaida katika jamii.
 
M
Mwisho wa Mwanadamu
Daily+
 
Mada hii inazungumzia Mwisho wa maisha ya mwanadamu na jinsi ya kujiandaa na Akhera.
 
W
Wieso nicht? | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
 
Kijerumani: Masuala ya uhusiano, daktari wa meno, matatizo ya kuishi pamoja na ununuzi. Makala ishirini za sauti za kukufaa katika maisha ya kila siku. Masomo haya yananuiwa kupanua ufahamu wa Kijerumani chako.
 
U
Utamu Wa Ndoa
Daily+
 
Mada hii inazungumzia utamu wa maisha ya ndoa,nimada muhimu sana imekusanya mambo mengi yanayo zisibu ndoa nyingi. pia imezungumzia jinsi ya kutengeneza furaha katika maisha ya ndoana sababu zinazo sababisha ndoa kuvunjika.
 
L
Learning by Ear – Elimu ya Jamii
Monthly
 
Kupitia vipindi vyetu tunajaribu kuwahamasisha vijana wa Afrika kuhusu elimu ya jamii. Inasaidia kuyafanya maisha yao kuwa rahisi.
 
H
Haki Za Mume Na Mke
Daily+
 
Mada hii inazungumzia haki za mume na haki za mke katika maisha yandoa kwamtizamo wa sheria ya kiislam.
 
N
Nyumba ya Sanaa
Monthly+
 
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
 
Z
Zifahamu Fadhila Hizi
Daily+
 
Mada hii inazungumzia thamani ya undugu katika uislam na umuhimu wa kuwaandaa vijana kwaajili ya badae pia mada inazungumzia umuhimu wa swala ya Alfajri katika maisha yetu.
 
W
Wazaziwako Nimilango Ya Pepo
Daily+
 
Khutba hii inazungumzia thamani ya wazazia nawao nimilango ya pepo,na cheo cha mama katika maisha ya wanadamu,na sababu zinazo sababisha watoto wasiwatii wazazi wao.
 
C
Changu Chako, Chako Changu
Weekly
 
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia lugha ya Kifaransa kwenye historia, tamaduni mbalimbali, muziki na Somo la Kifaransa, na itakuhabarisha kuhusu Jumuiya ya kimataifa ya watu wanaotumia Kifaransa kwenye mawasiliano na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha uhusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
 
A
Afrika Ya Mashariki
Rare
 
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.
 
Loading …
show series
 
An interview about Emotional Freedom Technique (EFT) also known as tapping, with Rachel Durchslag. Rachel is one of the few practitioners in Asheville certified in EFT. Rachel talks about her business, Emerge Asheville, a healing practice dedicated to making energy healing work accessible to all. We discuss how EFT works, how to do it and Rache ...…
 
Zaidi ya watu kumi wameripotiwa kupoteza maisha jijini Dar es salaam juma hili baada ya kunywa kilevi kinachosadikika kuwa haramu katika kitongoji cha kimara jijini humo.Mamlaka nchini Tanzania zimekuwa zikikabiliana na uzalishaji wa pombe haramu lakini bado juhudi hizo zinakabiliwa na changamoto kadhaa,wasikilizaji wanajadili nini kifanyike ku ...…
 
Bado ninasimama, bado naendelea Carrying on, I still stand Bado najikaza nifike kulee ×2 I take heart so I can make it there Bila neema na rehema zako, ningekuwa wapi mimi Without your Grace, where would I have been? Bila upendo na fadhili zako, maisha yangu yangekuwa bure Without your Love and kindness, I would have amounted to nothing Kwa wem ...…
 
Mapigano mapya yamezuka nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati licha ya kutiwa saini kwa mkataba mpya amani nchini Italia . Ripoti zinasema kuwa zaidi ya watu 100 wamepoteza maisha katika mapigano hayo kati ya waasi wa Anti Balaka na Seleka.Tunajadili mvutano huu.
 
Speed
Series preference
1x
1x
Volume
100%
/

Google login Twitter login Classic login