Best zake podcasts we could find (Updated March 2018)
Related podcasts: Games Islamic Religion Education Hukumu Katika Video (uovu) Munkar Kuondoa Muziki (bidaa) Uzushi Fadhila Daku Dini Uisilamu Umoja Kuchinja Iddi  
Zake public [search 0]
show episodes
 
K
Kula Daku Na Fadhila Zake
Daily+
 
Mada hii inazungumzia kula daku na fadhila za kula daku,na daku bora kwa muislam,na uchache wa daku,hukumu ya kuchelewesha daku.
 
I
Iddi Ya Kuchinja Na Hukumu Zake
Daily+
 
Mada hii inazungumzia hukumu ya iddi ya kuchinja na hukumu zake na upotovu wa wanao funga siku ya iddi.
 
K
Kuondoa Munkar (Uovu)
Daily+
 
Mada hii inazungumzia kuondoa uovu na hatuwa zake.
 
U
Uzushi Katika Dini (Bidaa)
Daily+
 
Mada hii inazungumzia uzushi katika dini athari zake na hukumuzake.
 
H
Hukumu Ya Muziki
Daily+
 
Mada hii inazungumzia hukumu ya muzii na dalili zake na qauli za wanachuoni juu ya uharamu wa muziki.
 
U
Umoja Katika Uisilamu
Daily+
 
Mada hii inazungumzia umoja na mshikamano katika dini na faida zake.
 
V
Video Gamesmen
Monthly
 
The Video Gamesmen (Rob Zakes, Ben Gallagher, Cody Garrett, Michael Evans and Ty) discuss video games, board games and card games.
 
Loading …
show series
 
Punda haendi bila kiboko: Uhusiano baina ya adhabu ya viboko na nidhamu ya kubeba majukumu na ufanisi katika utendaji kazi. Nini chanzo cha utendaji mbovu wa wafanyakazi serekalini na kwingineko? Je, ni kwa kiasi gani adhabu ya kiboko humfunza mtoto katika malezi? Sikiliza sehemu hii ya tatu uyajue hayo. https://archive.org/download/Episode3_20 ...…
 
Episode hii ya pili inazungumzia Mimba za utotoni. Mimba za utotoni ni swala tata kwenye jamii nyingi. Hali ikoje nchini Tanzania na duniani kwa ujumla? Mimba za utotoni zina uhusiano gani na balehe? Nini ni visababishi vya mimba za utotoni katika zama hizi? je, tuendelee na miiko ya kutokuongelea ngono hata kwa nia ya kuwanusuru vijana? Sikili ...…
 
Makala Muzuki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki wa Burundi DJ Pro ambae kwa sasa ngoma yake mpya Blaa Blaa inafanya vizuri katika vituo mbalimbali nchini Burundi na nnje ya nchi hiyo. Sikiliza alivyofunguka zaidi kuhusu kazi zake kwa jumla na tuhuma za kuwadisi wasanii wenzie. Unaweza pia kumfollow Mtangazaji Ali Bilali kwa ...…
 
Business Day TV — Feeling the need to hold onto one’s savings and being hesitant to invest into a money market portfolio is common among retirees. Join Semeyi Zake and Ricardo Teixeira, COO at BDO Wealth Advisers as they take a look at retirement readiness and making safe and smart investments in order to retire comfortably.…
 
G
Gareth's Guests
 
CliffCentral.com — Zakes Bantwini is a platinum-selling artist and producer, with a multitude of awards and accolades to show for his 36 years on Earth. He chats to Gareth about his career, his additional performing arts capabilities, and his thoughts on the history of South Africa and where the place is going after the scars of Apartheid.…
 
Juma hili tunakuletea moja ya haki ya msafiri au wasafiri ambalo ni haki ya kulipwa fidia pindi msafiri/wasafiri wanapopata majeraha yeyote kupitia matumizi ya huduma ya usafiri kwa uma. Taratibu zake na changamoto zake.
 
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ameahirisha kutangaza mwelekeo wake na wa muungano wake wa NASA, baada ya kupinga ushindi wa rais Uhuru Kenyatta aliyetangazwa wiki iliyopita.Odinga alitarajiwa kuwahotubia wafuasi wake hapo jana lakini muungano wa NASA, umesema kuwa tangazo hilo sasa litafanyika hii leo jumatano.Mwanasiasa huyo m ...…
 
Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anazungumza na AdjobaLove, mwanamuziki wa kitambo wa miondoko ya Reggue raia wa Burundi ambae anaeshi uhamishoni nchini Rwanda, usikosi pia kumfollow ntaganzaji wako Ali Bilali kwa Instagram @billy_bilali
 
Katika makala haya kutana na Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya Salim Mangija na ufahamu mengi kuhusu yeye na kazi zake za sanaa ya muziki wa kizazi kipya, karibu.
 
Makala Muziki Ijumaa Radio France Internationale, Juma hili Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki Miss Tanzania mwaka 2010 anaefanya vizuri katika tasnia ya Muziki, sehem hii ya kwanza inaangazia kuhusu muziki wake na harakati zake za kimuziki. Usikosi pia kusikiliza sehem ya pili, unaweza pia kutufollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali…
 
S
Son of 8 - Our House
 
Another episode of Our House with music from Coqui Selection, Black Coffee, Camelphat, Elderbrook and many more.. Tracklist: Super 8 Mix: Lewis Delay - The Fall (Jose Oli Remix) Coqui Selection - Around The World (Ray MD NYC Mix) Weikum - Make It Groove (Original Mix) Simma Black Scott Forshaw & Jeck - Afrobeard (Original Mix) Simma Red Cleary ...…
 
Makala haya Muziki Ijumaa juma hili Ali Bilali anamzungumzia mwanamuziki wa Sweden mwenye asili ya Lebanon, Maher Zain ambae nyimbo zake zimeendelea kukonga nyoyo za wengi duniani hasa kutoka na ujumbe unaobeba nyimbo hizo. kabla ya kuwa muimbaji Zain alikuwa producer wa Muziki. mengi zaidi ambatana naye Ali Bilali usikosi pia kumfollow kwa ins ...…
 
D
DJ Biopic » Podcasts & Mixes
 
Todays ‘Mind Deep Confusion’ Session was on the Afro tip!!! I haven’t done Afro for a while as been diggin’ the Deep, however I found enough choonage to make up a session worthy of you so hope you feel it as much as I did. So I have had some days of work and good reflection as well as resting time for myself, which I will say was highly needed ...…
 
Second chapter of the seasonal AR mixes with plenty of promo music on the go. This journey is mixture of very deep afro electronic and tech sounds with artist coming from across the globe such as South Africa,Botswana,USA,UK,Germany, France,Italy,Greece,Costa Rica and Netherlands . Hope you all enjoy Be YOU,Stay TRUE and one love from ALUKU Tra ...…
 
V
Video Gamesmen
 
We hook up with the developers of Dystoria to talk about their upcoming game.
 
D
DJ Biopic » Podcasts & Mixes
 
Todays ‘Mind Deep Confusion’ Was a real mixed bag of semi Soulful cuts. It’s amazing how your mood can affect the way you play sometimes, though I still had fun todays session was mostly archived tracks I’ve played before, with a few promos to keep the session moving. Lots on my mind at the moment, so going to keep it short and sweet this week, ...…
 
Speed
Series preference
1x
1x
Volume
100%
/

Google login Twitter login Classic login