Artwork

Content provided by Innocent Ngaoh. All podcast content including episodes, graphics, and podcast descriptions are uploaded and provided directly by Innocent Ngaoh or their podcast platform partner. If you believe someone is using your copyrighted work without your permission, you can follow the process outlined here https://player.fm/legal.
Player FM - Podcast App
Go offline with the Player FM app!

Sababu 04 Za Kwanini Unahitaji Ujuzi Wa “Copywriting” Kama Unataka Kuuza Kwenye Mitandao Ya Kijamii.

12:34
 
Share
 
Manage episode 367661514 series 3280689
Content provided by Innocent Ngaoh. All podcast content including episodes, graphics, and podcast descriptions are uploaded and provided directly by Innocent Ngaoh or their podcast platform partner. If you believe someone is using your copyrighted work without your permission, you can follow the process outlined here https://player.fm/legal.
Ujuzi wa Copywriting ni ujuzi Muhimu kuwa nao kama unataka kufanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii. Unajiuliza kwanini Netflix wanauza movies zao kuliko makampuni mengine? Unajua kwanini kampuni ya Apple inaongoza kwa mauzo makubwa ya bidhaa zao? Unajua kwanini unanunua bidhaa na kusoma tangazo kwenye mitandao ya kijamii? Ni kwa sababu... Ujuzi wa Copywriting ambao unauza chochote kupitia maandishi pasipo kufungua mdomo na kuongea neno moja... ....hata video ambazo unatazama kuna script inaandikwa ambayo ujuzi wa Copywriting inafanya kazi yake. Kusikiliza muziki tambua ni Ujuzi wa Copywriting unatumia kuandika nyimbo ya msanii. Kwahiyo.... Upende au usipende unahitaji sana Ujuzi huu Muhimu karne ya 21 wa Copywriting kama kweli unataka kuingiza mtonyo kupitia mitandao ya kijamii. Swali la kujiuliza. Je, unataka kuwa na Ujuzi wa Copywriting ili uwe una ingiza pesa kwenye mitandao na uwe na nguvu ya ushawishi? Vizuri kwa kujibu ndiyo. Ni hivi... Ujuzi wa Copywriting utakusaidia kuwa gwiji wa kuandika matangazo ambayo yanakuingizia, kutengeneza ofa ambayo mteja atajiona ni mpumbavu asiponyakua ofa yako... ....Kuandika stori kwa kutumia kanuni ya “PAISA”, kuuza bidhaa au huduma yako kupitia “Stealth close” n.k Kama Upo kwenye mitandao unafanya kitu chochote kwa lengo la kuuza au kuwa na ushawishi unahitaji Ujuzi wa Copywriting. Ndiyo maana... Leo una sekunde 20 za Kusikiliza dakika 12 za kuwa mtu mwenye msingi wa Copywriting, si hivyo tu! Utaweza kujua vitabu na machimbo Muhimu ya kupata ujuzi huu, Upo tayari? Bila kuchelewa. Bofya link kwenye bio sasahivi Kusikiliza 05 uwe na msingi mzuri wa Ujuzi wa Copywriting. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message
  continue reading

104 episodes

Artwork
iconShare
 
All episodes

×
 
Loading …

Welcome to Player FM!

Player FM is scanning the web for high-quality podcasts for you to enjoy right now. It's the best podcast app and works on Android, iPhone, and the web. Signup to sync subscriptions across devices.

Quick Reference Guide