Sehemu Tatu (03) Ambazo Hupaswi Kuweka Akiba Yako Ya Malengo Ya Muda Mrefu...!
M4A•Episode home
Manage episode 426358139 series 3280689
Content provided by Innocent Ngaoh. All podcast content including episodes, graphics, and podcast descriptions are uploaded and provided directly by Innocent Ngaoh or their podcast platform partner. If you believe someone is using your copyrighted work without your permission, you can follow the process outlined here https://player.fm/legal.
Kama unajali kesho Yako na kuelekea uhuru wa kifedha basi suala la kuweka akiba ni lazima. Lakini.... Kuna makosa ambayo wengi hufanya Katika uwekaji wa akiba zao na pengine na wewe unafanya. Akiba ya malengo ya muda mrefu haipaswi kuwekwa kwenye; 1. Kibubu, 2. Taasisi za kibenki, 3. Chini ya godoro 4. Mitandao ya simu. Unajiuliza kama sipaswi kuweka huku niweke wapi akiba zangu? Swali zuri, ni hivi... Weka akiba Yako kwenye; 1. Mifuko ya pamoja, 2. Hatifungani za serikali, 3. Hisa, Hata hivyo kuelewa Kwa kina basi bofya link hapa chini sasahivi uanze kujifunza Kama bado hujaanza kuweka akiba hujachelewa, Unaweza Kuanza Leo kujali kesho Yako kwa kuweka akiba
…
continue reading
111 episodes