Mtazamo Kuhusu Mwanamke Mzuri: Mwanamke Mzuri ni Yupi?
Manage episode 351901210 series 3213436
Episode hii inafichua sababu zinazowapelekea wasichana kudhani sio wazuri, fikira hii imepelekea wengine kufanya maamuzi yalioathiri maisha yao. Wengine wameishinda fikira hii inayotawala katika jamii ya Kiafrika. Wamewezaje?
Najma anamhoji Emmy Rose Rugumamu kuhusu kampeni yake ya kusaida wanawake wenye mauombo makubwa. Emmy Rose ni Communication Professional ,anafanya kazi UWC East Africa, Pia ni kiongozi wa TEDxMajengo , Emmy Anapenda kutengeneza maudhui na kujieleza (storytelling ) pia ni mwandaaji wa open mic nights huko Arusha.
Kuna sauti za wanawake wengine na experience zao katika kushinda mtazamo wa jamii juu ya umbo au uzuri wao.
Subscribe uweze kupata notification kila tunapopublish episode mpya.
21 episodes