Artwork

Content provided by SIRI ZA BIBLIA. All podcast content including episodes, graphics, and podcast descriptions are uploaded and provided directly by SIRI ZA BIBLIA or their podcast platform partner. If you believe someone is using your copyrighted work without your permission, you can follow the process outlined here https://player.fm/legal.
Player FM - Podcast App
Go offline with the Player FM app!

SIRI ZA BIBLIA:WANA WA MUNGU KUZINI NA BINADAMU WANAWAKE

13:40
 
Share
 
Manage episode 313499883 series 3273506
Content provided by SIRI ZA BIBLIA. All podcast content including episodes, graphics, and podcast descriptions are uploaded and provided directly by SIRI ZA BIBLIA or their podcast platform partner. If you believe someone is using your copyrighted work without your permission, you can follow the process outlined here https://player.fm/legal.

SOMO: MAJITU (WANEFILI).

ASILI YA MAJITU - WANEFILI NI KUTOKA WAPI ?

NI WAJUMBE WA SHETANI WANAOJIINGIZA KATIKA KUSANYIKO AU USHIRIKA WA WANA WA MUNGU!

1. MAANA YA MAJITU.

a. NI MAGUGU YALIYOPANDWA NA IBILISI KATIKA SHAMBA LA MUNGU (ULIMWENGUNI)?

Mathayo 13: 24 Akawatolea mfano mwingine, akisema, Ufalme wa mbinguni umefanana na mtu aliyepanda MBEGU NJEMA katika konde lake; 25 lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda MAGUGU KATIKATI YA NGANO, akaenda zake. 26 Baadaye majani ya ngano yalipomea na kuzaa, yakaonekana na magugu. 27 Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, BWANA, hukupanda mbegu njema katika konde lako? Limepata wapi basi magugu? 28 Akawaambia, Adui ndiye aliyetenda hivi. Watumwa wakamwambia, Basi, wataka twende tukayakusanye? 29 Akasema, La; msije mkakusanya magugu, na kuzing'oa ngano pamoja nayo. 30 Viacheni vyote vikue hata wakati wa mavuno; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu.

b. MAJITU HAYO YAPO KATIKA AINA KUU TATU.

i. WAREFAI-majitu yenye urefu wa kati ya futi 8 hadi futi 12. Goliati alikuwa ni mfilisti mrefai mwenye urefu wa karibu futi 10 na uzito wa paundi 500.

Maana ya Warefai ni “waliozaliwa kinyume na kawaida ya asili, wasio wa kawaida”. Kwa maana nyingine ni majitu(giant) au wafu(dead), roho, au mizimu(shade); na wala tafsiri yake siyo “kuanguka, kuharibu; wale wawaangukiao walio dhaifu, wale walioanguka kutoka mbinguni”.

ii. WAANAKI-majitu yenye urefu wa kati ya futi 12 hadi futi 18. Mfalme Ogu wa bashani ni mfano wake.

Yaliishi katika miji mikubwa yakiwa na wafalme na watawala.

Yalionekana muda mfupi tu baada ya ghalika, na yalimiliki eneo la Shinari(Iraki), chini ya mtawala wao Nimrodi, yalijaribu kuhamasisha watu kujenga mnara ili kufika kwa Mungu(mnara wa Babeli).

--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
  continue reading

119 episodes

Artwork
iconShare
 
All episodes

×
 
Loading …

Welcome to Player FM!

Player FM is scanning the web for high-quality podcasts for you to enjoy right now. It's the best podcast app and works on Android, iPhone, and the web. Signup to sync subscriptions across devices.

Quick Reference Guide