show episodes
 
Join us as we seek to learn about every country on the African continent. Stories behind the culture of design problems, systems and solutions. Brought to you by Nairobi Design Week (@nairobidesignweek). Hosted by Adrian Jankowiak (@adrianj.ig) & Naitiemu (@naitiemu) Edited by GroMartian. Produced by www.nairobidesignweek.com Episodes and transcripts at www.Afrika.Design Thank you for tuning in, hope you enjoy the show! Please leave a review to let us know what you thought.
 
K
Kiswahili program

1
Kiswahili program

Radio Vaticana - Vatican News

Unsubscribe
Unsubscribe
Daily
 
Vatican News vipaumbele vyake: Habari za Baba Mtakatifu; Vatican, Kanisa la Kiulimwengu na Kanisa Barani Afrika. Tunazo habari za kisiasa na kijamii kutoka Barani Afrika na Dunia katika ujumla wake. Tovuti hii inapambwa na Tafakari ya Neno la Mungu pamoja na Makala mbali mbali. - Podcast - Radio Vaticana - Vatican News
 
It takes a village to raise a child and connecting with fellow moms and dads leads to sharing of knowledge. That’s where Parent + #BabyBrunch comes in. Hosted by Elana Afrika-Bredenkamp, the Baby Brunch | The Parenting Series podcast features fun and insightful conversations with ordinary parents doing extraordinary things. These can serve as a source of support, inspiration and advice for parents, moms and moms-to-be as we delve into the unique experiences of diverse parents.
 
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
 
H
Hadithi Afrika

1
Hadithi Afrika

With the Son of the African Soil: Bett Kiprono

Unsubscribe
Unsubscribe
Weekly
 
This platform will connect you with different shows broadcast on Zanj Radio and others exclusively. The African Continental Show will air every week. Hadithi Afrika will also feature a series that will highlight stories from Kenya and beyond. It will feature diverse topics including alcoholism and substance abuse, mental health and suicide, leadership failures and successes, cultism and other humanitarian crises that happened or are happening in Africa. . Thank you for being with us.
 
Ghana In Focus aims to bring you the lowdown on Ghana including critique on the hot topics making waves in Ghana as well as buying property in Ghana, renting in Ghana especially in the capital, Accra. Also looking at building a property in Ghana and some of the things to look out for such as building materials and environmental factors. We will also be looking at land acquisition in Ghana, giving insight into issues like site plan, indenture, title and land certificate. Ghana In Focus aims t ...
 
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
 
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
 
Topics of discussion are: Afrikan Spirituality, Religious Ideology and Interpretation thereof, Know Thyself Black Woman, Health, and Spiritual Anatomy & Physiology, Guest Speakers(interviewed by Host), Guests to Interview Host,etc. Support this podcast: https://anchor.fm/iya-afrika/support
 
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
 
The Real Untold Truthful Healing My podcast will vary episode to episode. Different topics and dealing with things on a constant. How difficult it is dealing with differences when they come up. Cover art photo provided by Glen Carrie on Unsplash: https://unsplash.com/@glencarrie
 
South African Performance Club Dj located in Tzaneen (Limpopo/South Africa). I Gained My Deejaying TECHNICS WITHIN CLUB SCENE AROUND my HOMETOWN & NEIGHBORHOOD CITIES. My Passion Lays Heavily In afro House Music, AfroTech & EDM, GROOVES WITH THE ESSENCES OF AFRICAN SOUL.I'm Looking forward to more challenges in house music mixing Locally & Abroad to uplift my deejaying profile. I BELIEVE THAT MUSIC IS A LANGUAGE and I SPEAK THAT PARTICULAR LANGUAGE VERY WELL.F O R B O O K I N G S Am availabl ...
 
أخبار عُمان باللغة السواحيلية هي نشرة إخبارية يومية تغطي آخر الأخبار من عمان و شرق إفريقيا. Khabari za Oman. taarifa ya khabari ya kila siku kwa Kiswahili kutoka Oman na Afrika Mashariki. Khabari za Oman covers the latest news, from Oman and East Africa.
 
http://www.afrikanworldanalysis.com Afrika's ReAscension is a forum for the unapologetic, uncompromising, culturally-centered Afrikan population. Here we will deal with Afrika's wisdom ON HER OWN TERMS, untainted by foreign ideas, with the intended goal of reclaiming our birthright glory. Are you ready to lay the foundations to create societies and nations that will make KMT look small? If so, this is the place for you. We ascend above the confusion and lies told in the name of Afrika & give ...
 
Tutakuangazia Duniani kote, tukikupa habari, maoni, na mitazamo mbalimbali ju ya maswala ya maisha yetu ya kila siku kama Familia, Mahusiano, Elimu, Teknolojia,Michezo, sanaa, ubunifu, mavazi na mitindo Mafanikio, lengo letu ni kuelimisha, kuburudisha na kufundisha.
 
As in the message of Bob Marley, this show is about Unity {Umoja}. "How good and how pleasant it would be before God and man to witness the unification of all Afrikans!" Afrika Unite is a Talk Radio Show that addresses issues relevant to people of Afrikan Descent in Afrika and around the Afrikan Diaspora. MwalimuSpeaks is an entrepreneur, a philosopher, spiritual teacher, motivational messenger, writer, and singer. His life’s work is now dedicated to assisting in breaking down the barriers t ...
 
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
 
Jamii360 Podcast ni uwanja wa kulonga, kuchambua na kujadili masuala ya kijamii na kitamaduni, na athari zake katika jitihada za maendeleo ya jamii zetu kwenye zama hizi za utandawazi. Jamii360 Podcast - a podcast and blog gives a chat, analysis and discussion on social and cultural issues and their influence on the development of societies (mainly East African/Tanzania) in the globalization era.
 
Shirin yakan duba yadda kasuwanci da tattalin arizikin kasashen duniya ke ciki. Kana yakan ji sabbin dubaru da hanyoyin ci gaban tattalin arzikin na kasashen duniya. Tare da jin ta bakin 'Yan kasuwa da Masana’antu dangane da halin da suke ciki.
 
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
 
Kenyan girl in Serbia I am Purity from Mombasa, Kenya and I live in Belgrade, Serbia. My podcast is called "Purity's podcast", and it is a comedy show about funny and weird news from around the world. Also, my co-host Ivan (who is also my husband) and I talk about Kenya and Serbia, and we compare African and European lifestyle with a dose of humor. I would appreciate if you follow me on my social network accounts, subscribe to my YouTube channel, and listen to me singing on SoundCloud. Visit ...
 
Money doesn’t have to be complicated or boring. Justin Harrison and Dawie Bester are two self-made entrepreneurs who are on a mission to make personal finance practical, fun and easy to understand. Join them in The Money Podcast as they discuss what it takes to become financially free.
 
Blacc Renaissance podcast Take a Audio Journey into BLACC PHILOSOPHY; as the host FL33 speaks on Wokism , Black economic liberation, Black Sovereignty, The Need For Masculinity, How to Properly Treat Black Queens, Self Respect , Black Love and GREAT MUSIC REVIEWS. Class is Now in Session and The Most Wise Fleeahvelli will be your Professor 👨🏾‍🏫 for the evening so sit back relax and enjoy this audio philosophical roller coaster ride ¡!
 
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
 
The Eargasmic Sessions Radio Show is an online Afro House podcast established to create a home and a platform for Afrikan/Afro music. The base of this platform was to create a spotlight for the wide variety of Afro House music and Artists that go undiscovered, because there are very few platforms that cater for this type of music alone. The journey starts from Afrika - we want to introduce our music to the world and also invite the world into our music. With each show The Eargasmic Sessions ...
 
Loading …
show series
 
Matokeo ya jopo hilo yanakuja chini ya mwezi mmoja kabla ya mkutano wa uchaguzi ambao utaamua ikiwa Rais Ramaphosa atawania muhula wa pili kwa tiketi ya chama cha African National Congress (ANC) katika uchaguzi wa mwaka 2024By VOA
 
Nchi za Afrika zimechagizwa kuwekeza katika kujenga mnepo wa miundombinu thabiti ya ya mtandao wa intaneti ili kutumia fursa za kidijitali na kuharakisha mageuzi ya kijamii na kiuchumi barani humo. Hayo yameelezwa na viongozi wa kimataifa wanaohudhuria kongamano la 17 la udhibiti wa mtandao IGF 2022 linalofanyika Addis Ababa, Ethiopia, wakisisitiza…
 
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.By VOA
 
Tracklist: Izy - Frantic (Zepherin Saint Tribe Vocal Mix) Yooks, Tasha Larae - The Question (Original Mix) Cool Million ft. Gary B. Poole - Running Around (Mark Di Meo Vocal Mix) The Soultrend Orchestra, Papik, Al Castellana - Act Like You Know (Sounds Of Soul Retouch) Sir Mos, Blizzard Beats ft. Jus Garden - My Obsession Tapes ft. Dindy - I See Yo…
 
In the latest episode of The Money Podcast we talk to award-winning TV and radio presenter, Elana Afrika-Bredenkamp, and ask her about her personal relationship with money. Elana holds nothing back, sharing her personal money lessons and wisdom with us, as well as giving us an insight into what it has taken to work her way to the top by managing he…
 
The week's episode of Ghana in Focus highlights the REALITY that Ghana is in RECESSION!! Many commentators in Ghana will not or cannot say that Ghana is in recession, but the harsh TRUTH is that Ghana is in a DEEP RECESSION!! We explain the reasons why Ghana is in recession looking at some key indices including inflation where we challenge the asse…
 
In this episode, we're off to Uganda. We have a conversation with the co-founder of Kafunda Kreative, which is a platform that connects creatives with markets to further their creative career. We discuss the challenges that creatives in Africa face and the possible solutions/steps that can be taken to elevate freelancers and those in the creative i…
 
Leo ni Siku ya Ukimwi duniani na jarida linakuletea mada kwa kina tukijikita kabisa nchini Nigeria, moja ya nchi za Afrika zilizo kusini mwa jangwa la Sahara ambako ripoti inasema hali si shwari ya maambukizi. Pia tunakuletea habari kwa ufupi na mashinani Ikiwa leo ni Siku ya UKIMWI Duniani, Grace Amodu kutoka Nigeria ambaye ni mchechemuzi wa Chama…
 
Karibu kwenye taarifa yetu ya khabari kutoka Dawati la Khabari lilioko Maskati, Oman. Unaweza kupokea taarifa zetu za khabari kupitia Apple Podcasts, Google Podcasts, CastBox, OverCast na vituo vyengine vya Podcasts. Unachotakiwa kufanya ni kupakia Podcasts yoyote kati ya hizo kwenye simu na ikisha, kutafuta Khabari za Oman na kujisajili kwenye mko…
 
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma k…
 
Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya wanawake, UN Women ukatili dhidi ya wanawake na wasichan unasalia kuwa kitendo cha ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu duniani kote, ukiathiri zaidi ya wanawake milioni 1.3, takwimu ambayo hata hivyo haijabadilika kwa zaidi ya muongo mmoja Lakini jamii inaelewa nini kuhusu ukatil…
 
Nchini Uganda shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limewezesha wanafunzi wa shule moja ya msingi nchini humo kufanya mtihani wa kuhitimu shule ya msingi baada ya shule hiyo kulazimika kufungwa na wanafunzi kuwekwa karantini kufuatia mwanafunzi mmoja kupata maambukizi ya Ebola, mlipuko uliotangazwa mwezi SEptemba mwaka huu. Tarehe…
 
Karibu kwenye taarifa yetu ya khabari kutoka Dawati la Khabari lilioko Maskati, Oman. Unaweza kupokea taarifa zetu za khabari kupitia Apple Podcasts, Google Podcasts, CastBox, OverCast na vituo vyengine vya Podcasts. Unachotakiwa kufanya ni kupakia Podcasts yoyote kati ya hizo kwenye simu na ikisha, kutafuta Khabari za Oman na kujisajili kwenye mko…
 
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.By VOA
 
Jaridani leo tunaangazia mtandao wa intaneti barani Africa na juhudi za UNICEF Uganda katika shule moja ya msingi nchini humo. Makala tutaelekea nchini Tanzania Kusini Magharibi katika mkoa wa Mbeya na mashinani tutasalia hukohuko nchini Tanzania katika kambi ya wakambizi ya Nyarugusu. Nchi za Afrika zimechagizwa kuwekeza katika kujenga mnepo wa mi…
 
In the latest episode of The Money Podcast, Justin Harrison and Dawie Bester talk to Michael Jordaan - the former CEO of FNB and co-founder of Bank Zero. Jordaan is a successful venture capitalist and one of South Africa’s thought leaders in business, banking, and technology. Jordaan opens up about his leadership secrets and drops incredible nugget…
 
Karibu kwenye taarifa yetu ya khabari kutoka Dawati la Khabari lilioko Maskati, Oman. Unaweza kupokea taarifa zetu za khabari kupitia Apple Podcasts, Google Podcasts, CastBox, OverCast na vituo vyengine vya Podcasts. Unachotakiwa kufanya ni kupakia Podcasts yoyote kati ya hizo kwenye simu na ikisha, kutafuta Khabari za Oman na kujisajili kwenye mko…
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina tukiangazia juhudi za kuwajengea watoto tabia ya kupenda kusoma vitabu na pia habari kwa ufupi zikiwemo ripoti ya UNAIDS na WHO, na usaidizi kwa wakimbizi na jamii za wenyeji nchini Chad. Mashinani tutakwenda nchini Cameroon, kulikoni? Msichana Marynsia Mangu kwa kutambua umuhimu na maarifa yanayopatikana …
 
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma k…
 
Shirin Al'adunmu na Gado na wannan makon tare da Abdoulaye Issa ya kai ziyara ne can fadar mai martaba Sarkin Machina da ke jihar Yobe ta Najeriya da kuma Masarautar Hausawa a garin Port-Novo na kasar Benin. Masarautar ta Machina ta yi bayani kan yadda take tattalin al'adun da al'ummarta ta gada tun fil azal.Kazalika shirin ya ziyarci garin Ajase n…
 
She runs a business, runs a home, and runs marathons, too! We’re talking to Elana Meyer – a mother, an Olympics silver medallist, and a woman with a heart of gold! Join us as we look back at the lessons learned along the way and the goals that push this South African icon forward. Brought to you by Epimax Baby & Junior – our family, for your family…
 
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.By VOA
 
Mizozo na umaskini wa kupindukia kwenye mazingira ya uhitaji mkubwa wa msaada wa kibinadamu huwaweka wasichana katika hatari kubwa ya kukumbwa na ukatili na kunyanyaswa. Shirika la Umoja wa Mataifa la kushughulikia masuala ya wanawake, UN WOMEN kwa kutambua hilo linatekeleza miradi katika kambi za wakimbizi za Dadaab na Kakuma nchini Kenya ili kuwa…
 
Michuano ya Kombe la Dunia inaendelea nchini Qatar huko Mashariki ya Kati. Mmoja wa watu wanaong’ara katika michuano hii ni Mchechemuzi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF Rwanda, Salima Mukansanga, ambaye ameweka historia ya kuwa mwanamke wa kwanza mweusi kuwa mwamuzi au refarii katika Kombe la Dunia. Aliingiaje katika tasnia…
 
Baada ya mfululizo wa mashauriano na wataalamu wa kimataifa, hatimaye shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO litaanza kutumia jina MPOX badala ya Monkeypox au homa ya Ndui ya Nyani kufuatia mapendekezo ya kubadilishwa kwa jina hilo kwa maelezo ya kwamba lilikuwa linasababisha mambo kadhaa ikiwemo unyanyapaa. Flora Nducha na maelezo za…
 
Karibu kwenye taarifa yetu ya khabari kutoka Dawati la Khabari lilioko Maskati, Oman. Unaweza kupokea taarifa zetu za khabari kupitia Apple Podcasts, Google Podcasts, CastBox, OverCast na vituo vyengine vya Podcasts. Unachotakiwa kufanya ni kupakia Podcasts yoyote kati ya hizo kwenye simu na ikisha, kutafuta Khabari za Oman na kujisajili kwenye mko…
 
Hii leo jarida linakuletea habari za WHO na michuano ya fainali za Kombe la Dunia. Makala inatupeleka kambi ya wakimbizi ya Kakuma nchini Kenya kusikia simulizi ya msichana mnufaika wa mradi wa Girl Shine na Mashinani tutaelekea nchini Uganda kwa mkimbizi mwanaharakati wa mazingira Baada ya mfululizo wa mashauriano na wataalamu wa kimataifa, hatima…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2022 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service
Google login Twitter login Classic login