Best elimu podcasts we could find (Updated March 2018)
Related podcasts: Islamic Religion Education Ubora Kisheria Misingi Kislam Vyuo Mashule Kuanzisha Umuhimu Umuhimu Da’awa Kweli Conversations Philosophy Society  
Elimu public [search 0]
show episodes
 
U
Umuhimu Wa Elimu
Daily+
 
Mada hii inazungumzia umuhimu wa elimu ya dini na kubainisha haki ya mtoto katika kumsomesha elimu ya dini,na majukumu ya wazazi kwa watoto,khatari ya kusoma katika mashule ya kikafiri.
 
U
Ubora Wa Elimu Ya Kisheria
Daily+
 
Mada hii inazungumzia ubora wa elimu ya kisheria na utukufu wa mwenye kujifunza elimu huyo.
 
L
Learning by Ear – Elimu ya Jamii
Monthly
 
Kupitia vipindi vyetu tunajaribu kuwahamasisha vijana wa Afrika kuhusu elimu ya jamii. Inasaidia kuyafanya maisha yao kuwa rahisi.
 
U
Umuhimu Wa Kuanzisha Mashule Na Vyuo Vya Kislam
 
Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuanzisha na kuendeleza mashule na vyuo vya kislam,na umuhimu wa elimu kaika uislam,na elimu nisababu ya kufanikiwa,na udhaifu wa umma wa kiislam katika upande wa elimu.
 
M
Misingi Ya Da’awa Ya Kweli
Daily+
 
Anuwani ya mada hii ni Misingi ya da’awa ya kweli, pia inazungumzia: Umuhimu wa elimu na maoni ya watu katika kutengeneza umma wa kiislam.
 
Loading …
show series
 
C
Changu Chako, Chako Changu
 
Juma hili tunakuletea onyesho la mitindo, Le Posh, Paris ndani ya Dar. Wadau wanazungumza na Idhaa ya Kiswahili ya Radio France Internationale kinagaubaga. Pata habari, elimu na burudani kama kawaida ya kila Jumapili kupitia rfi-Kiswahili.Sikiliza pia wadau wengine wakizungumza kwa kubofya hapa chini (mitindo nchini Tanzania).…
 
Leo tunaangazia makubaliano ya viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki waliokutana hivi karibuni jijini Dar es salaam nchini Tanzania na kuidhinisha rasmi Elimu ya juu ya pamoja ndani ya nchi wanachama. Hii inamaanisha nini ? Karibu sana.
 
Speed
Series preference
1x
1x
Volume
100%
/

Google login Twitter login Classic login