Best kuhusu podcasts we could find (Updated May 2018)
Related podcasts: Katika Education Islamic Religion Msimamo Jihadi Uislam Unafahamu Kiongozi Ikiwa Wafanye Miji Kuishi Kujiripua Mwandamo Makafiri Njia Ibada Maana Majibu  
Kuhusu public [search 0]
show episodes
 
Mada hii inazungumzia msimamo wa Uislam kuhusu kujiripuwa na aina za kujitoa muhanga,hukumu ya kujitoa muhanga,na sababu za kujiripua na uislam wa mwenye kujiripua.
 
Mada hii inazungumzia msimamo wa Uislam kuhusu kuhusu kupigana Jihadi katika njia ya Allah, na upambanuzi wake, na tatizo la waislam wengi kuto fatilia mambo kwa kina, na madhara ya Hamasa.
 
Katika mfululizo wa vipindi vyetu utapata fursa ya kujifunza kuhusu masuala ya uchumi na biashara pamoja na mazingira.
 
Mada hii inazungumzia: Kauli za wanachuoni kuhusu watawala ambao ni makafiri, na hukumu ya Mwanamke kuolewa na mtu wa bid’a.
 
Mada hii inazungumzia hukumu ya kuishi katika miji ya kikafiri na mwongozo kamili kuhusu mambo yanayo takiwa kuyafanya mwislam.
 
Kupitia vipindi vyetu tunajaribu kuwahamasisha vijana wa Afrika kuhusu elimu ya jamii. Inasaidia kuyafanya maisha yao kuwa rahisi.
 
Mada hii inazungumzia: Daraja za jihadi, ni wakati gani jihadi inakuwa ni lazima, vievile inazungumzia maneno ya wanachuoni kuhusu jihadi.
 
Mada hii inazungumzia ufafanuzi kuhusu maana halisi ya ibada,na mtizamo mbaya ju ya maana ya ibada,na lengo la kuumbwa mwanadamu,na lengo la kutumwa mitume alayhimu ssalam
 
A
Afisa Afya
Monthly+
 
AfisaAfya ni podcast pekee ya lugha ya Kiswahili itakayokuwa inawaletea mada, mijadala na mahojiano kuhusu afya ya mwanadamu na jinsi ambavyo afya zetu zinaweza kuathiriwa na mazingira tunamoishi, kila siku ya jumapili.
 
M
Mwandamo Wa Mwezi
Daily+
 
Mada hii inazungumzia mwezi mwandamo na uwajibu wa muislam pindi unapo onekana mwezi,na kuwatanabaisha waislam kuhusu ubainifu wa mwezi wa kitaifa na kimataifa,na umuhimu wa kufunga kama alivyo funga mtume (s.a.w)
 
Loading …
show series
 
Tume ya Uchaguzi nchini DRC yasema kuna uwezekano mdogo wa raia wa nchi hiyo waishio ugenini kushiriki uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Disemba mwaka huu. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu ili kupata maoni yao kuhusu hali iliyotolewa na tume ya uchaguzi nchini DRC
 
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inakuletea sehemu ya pili ya mjadala kuhusu umuhimu wa misitu nchini Tanzania kiuchumi.
 
Makala ya Gurudumu la uchumi juma hili inakuletea sehemu ya pili ya mjadala kuhusu yaliyokubaliwa na viongozi wa Afrika kwenye mkutano wa Kigali Rwanda ambako walitia saini mkataba wa biashara huria kwa bara la Afrika.
 
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia na kuitathmini ripoti ya shirika la umoja wa Mataifa linalohusika na watoto UNICEF ambalo limesema ndoa za utotoni bado ni changamoto kwa mataifa mengi ya dunia na hasa barani Afrika na Asia.
 
Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu kiwango cha furaha duniani imeeleza kuwa nchi za Tanzania, Burundi, Rwanda kuwa miongoni mwa mataifa yenye kiwango cha chini cha furaha duniani, sababu zikitajwa kuwa ni uhuru, kuaminika, haki za binadamu na kipato. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji ili kupata maoni yao.…
 
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia kuhusu suala la elimu na hasa kwa wanawake ambapo jamii nyingi barani Afrika zimekuwa zikimnyima haki ya kusoma mtoto wa kike, wanasayansi wa kike barani Afrika alikutana Dar es Salaam, Tanzania kuangazia mchango wa wanawake wanasayansi kwenye maendeleo na haki ya kusomesha wasichana.…
 
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia sehemu ya pili ya mjadala wa sheria kuhusu mirathi na wosia nchini Tanzania.
 
Serikali ya Rwanda imetangaza uamuzi wa kuyafunga makanisa zaidi ya 700 na msikiti katika Mji wa Kigali kwa kukosa kutimiza masharti ya usalama na usafi.Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu ili kupata maoni yao kuhusu hatua iliyochukuliwa na serikali ya Rwanda.
 
Makala ya Jua Hako Zako juma hili inaangazia sheria ya mirathi na wosia nchini Tanzania, namna gani mjane, mgane au wanafamilia wengine wanaweza kupata haki yao.
 
Ndugu Swahibu A. Karata akitoa historia yake fupi lakini pia amegusia kidogo kuhusu AfisaAfya podcast
 
Rais wa Shirikisho la soka duniani FIFA, Gianni Infantino aliongoza mkutano wa FIFA nchini Tanzania kuhusu namna ya kuimarishwa kwa soka la wanawake na vijana. Je, mkutano huu unaweza kusaidia kwa namna yeyote ile kusaidia kuimarisha soka nchini Tanzania ?
 
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inakuletea sehemu ya pili ya mjadala kuhusu tatizo la ajira kwa vijana kwenye nchi za ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.
 
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili imeangazia tatizo la ajira katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kati na namna gani Serikali zinapaswa kulishughulikia tatizo hili.
 
Makala Muzuki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki wa Burundi DJ Pro ambae kwa sasa ngoma yake mpya Blaa Blaa inafanya vizuri katika vituo mbalimbali nchini Burundi na nnje ya nchi hiyo. Sikiliza alivyofunguka zaidi kuhusu kazi zake kwa jumla na tuhuma za kuwadisi wasanii wenzie. Unaweza pia kumfollow Mtangazaji Ali Bilali kwa ...…
 
Google login Twitter login Classic login