show episodes
 
Artwork

1
Labor Radio

WORT-FM Labor Radio

Unsubscribe
Unsubscribe
Weekly
 
Labor Radio is news by, for, and about working people in Madison, Wisconsin and around the world. It originates out of the studios of WORT 89.9 FM Madison.
  continue reading
 
This show is in the top 1.5% of podcasts globally! Explore the universe of lore behind the Mass Effect games plus updates on news about new game releases and more. Brought to you by Robots Radio, home of the Fallout Lorecast, Elder Scrolls Lorecast, Cyberpunk Lorecast, and many other high-quality and informative shows. Get awesome rewards & support the show: patreon.com/masseffectlorecast Watch live on Sundays @ 10:30pm ET: youtube.com/c/robotsradio Advertise with us & business inquiries: ro ...
  continue reading
 
Did you ever wonder how an innovation got to its finish line? How innovators saw the future, made a product, and created change – in our world and in their companies? I did. Innovation Storytellers invites changemakers to describe how they created their innovation and just as important – THE STORIES – that made us fall in love with them. Come learn how great innovations need great stories to make them move around the world and how to become a better storyteller in the process. I’m Susan Lind ...
  continue reading
 
(Armenian version is below) Young people are innovative, alert and eager to learn in different contexts, both formal and informal, attracted as they are by the newest sources of information through digital communication, social media and the internet. Their development as citizens and professionals deserves the highest priority in state policies and investment. In EaP countries, youth transition from school to work is challenging, owing to economic conditions (low demand, low levels of job c ...
  continue reading
 
(Azerbaijani version is below) Young people are innovative, alert and eager to learn in different contexts, both formal and informal, attracted as they are by the newest sources of information through digital communication, social media and the internet. Their development as citizens and professionals deserves the highest priority in state policies and investment. In EaP countries, youth transition from school to work is challenging, owing to economic conditions (low demand, low levels of jo ...
  continue reading
 
Artwork

1
No More Mondays

Dan Rowden and James McKinven

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly
 
No More Mondays peels back the curtain to see what it takes to build an indie business. Following the journey of indie hackers Dan Rowden and James McKinven as they navigate building a micro-SaaS studio and a podcast respectively.
  continue reading
 
Artwork

1
Initial Legal Offering

Initial Legal Offering

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly
 
This is Initial Legal Offering – the latest in cryptocurrency news, law, and regulation. Join us weekly as our panel of attorneys and early adopters explore the technology, projects, and legal regulation driving the blockchain revolution.
  continue reading
 
Featured on Soundcloud (DJ DIPSET) and on iTunes (DJ Dipset Radio). Bringing the best music from the Bay and all around the world with a focus on dance, trap, EDM and reggae music.
  continue reading
 
Artwork

1
Voices of World Christianity

Voices of World Christianity

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly
 
Exploring various issues and themes related to World Christianity. Nuam, Chao & Rathiulung are PhD students in World Christianity at the University of Edinburgh. This project was supported by alumni and friends of the University of Edinburgh through the Student Experience Grants scheme.
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la kazi la Umoja wa Mataifa duniani ILO, inasema zaidi ya asilimia 70 ya wafanyakazi wote duniani wanakabiliwa na uwezekano wa hatari za kiafya kutokana na mabadiliko ya tabianchi. Asante Anold, akizungumza na waandishi wa habari hii leo mjini Geneva Uswis wakati wa uzinduzi wa ripoti hiyo Manal Azzi, afisa wa…
  continue reading
 
Ilos is a very important planet in Mass Effect 1, with a mysterious past. What if there's more than just Protheans behind it's downfall? Support us on Patreon! https://patreon.com/masseffectlorecast Join us LIVE: https://twitch.tv/robotsradio N7Legend on Twitch: https://twitch.tv/n7thelegend Discord: https://discord.gg/JXKfVhM Twitter: twitter.com/…
  continue reading
 
Wiki ya kimataifa ya chanjo ikifungua pazia, nchini Tanzania wahudumu wa afya kama Prisca Mkungwa wanajitoa kwa kadri ya uwezo wao kuhakikisha huduma za chanjo zinafikia walengwa wote hata wale walioko maeneo ya mbali. Mathalani huko wilayani Chunya, mkoani Mbeya, kusini magharibi mwa taifa hilo ambako kupitia ushirikiano na shirika la Umoja wa Mat…
  continue reading
 
Leo ni siku ya kwanza ya siku saba za Wiki ya Chanjo Duniani.(Taarifa ya Anold Kayanda)Wiki ya Chanjo Duniani ambayo huadhimishwa katika kila wiki ya mwisho ya mwezi Aprili, inalenga kuangazia hatua za pamoja zinazohitajika na kuhimiza matumizi ya chanjo kuwalinda watu wa rika zote duniani dhidi ya magonjwa.Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Ulimw…
  continue reading
 
Ripoti mpya ya kimataifa iliyotolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO kuhusu mgogoro wa chakula duniani inasema karibu watu milioni 282 walio katika nchi 59 walikabiliwa na viwango vya juu vya njaa mwaka 2023. (TAARIFA YA FLORA NDUCHA)Asante Leah. Kwa hakika ripoti hiyo ya “Mgogoro wa kimataifa wa chakula” GRFC inasema ki…
  continue reading
 
Hii leo jaridani utasikia kuhusu ushirikishwaji wa vijana katika vita dhidi ya mabadiliko ya tabianchi kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa Maendeleo UNDP.Pia utasikia muhtasari wa habari kuhusu wasaka hifadhi huko nchini Uingereza kuhamishiwa Rwanda, Makaburi ya halaiki huko Gaza na kuongezeka kwa mlipuko wa ugonjwa wakipindi pindu duni…
  continue reading
 
How often do we pause to consider the intricate, behind-the-scenes balance of technology and strategy that powers our everyday lives? In this episode of the Innovation Storytellers Show, I have an enlightening conversation with Heather Feldman, Director of Learning & Development at the Electric Power Research Institute (EPRI). Heather shares insigh…
  continue reading
 
Katika mahojiano na Idhaa ya Umoja wa Mataifa, afisa mwandamizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) anayehusika na masuala ya dharura na mnepo, Rein Paulsen ametahadharisha kuwa hatari ya kutokea baa la njaa nchini Sudan ni halisi na kwa hivyo wakati wa kuchukua hatua ni sasa. Sabrina Moshi anasimulia.…
  continue reading
 
Wakati Mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemorkasia Kongo DRC ikiripoti kuwa na zaidi ya wakimbizi wa ndani 738,000 kwa kipindi cha mwaka huu wa 2024 pekee kutokana na kuongezeka kwa machafuko, Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP limeeleza kuwa na uhitaji wa haraka wa dola milioni 425 ili waweze kuwasaidia wakimbizi hao wa…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia ripoti ya hali ya joto dunianina madhara yake kwa afya na wafanyakazi, Naomi la ufadhili kwa ajili ya wakimbizi wa ndani DR Congo. Makala tunakupeleka nchini Sudan na mashinani nchini Sudan Kusini, kulikoni? Ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la kazi la Umoja wa Mataifa duniani ILO, inasema zaidi ya asilimia 70 ya w…
  continue reading
 
Lugha ni miongoni mwa njia za kimsingi za kujenga utangamano duniani. Umoja wa Mataifa unatambua kuwa lugha ni chombo cha kusongesha tamaduni na miongoni mwa lugha zilizotengewa siku mahsusi kusherehekewa ni kichina ambacho shamrashamra zake ni tarehe20 mwezi Aprili ya kila mwaka.Lugha hii imesambaa duniani ikiwemo Tanzania ambako hii leo Sabrina M…
  continue reading
 
Madison school workers rally and march for inflation pay, staffing levels, unions fight threats to Social Security, a recenlty fired worker at an Apple Store in Chicago talks about the unionization drive and worker solidarity with Palestine there, a look at the right-wing love of constitutional amendments, Sauk County steps in for UW-Baraboo campus…
  continue reading
 
Ushirikiano wa kimataifa utasaidia kufanikisha kuhamia katika nishati jadidifu - Francesco La Camera.Vijana wa Afrika lazima tuchangamkie fursa na kujifunza: Joram Nkumbi na Vivian Joseph.Lugha ya kichina imepanua fursa za ajira kwa wanafunzi wa SAUT – Tanzania.Mashinani ni nchini Kenya kusikia jinsi ambavyo mafunzo ya ukulima endelevu na mikopo ya…
  continue reading
 
Do you think the NFL entering the African market is a positive development for Africa? Why has it only taken until BAL Season 4 for a powerhouse such as South Africa to stage a conference? In this episode, Gabriel Ajala and his guest, Kevin Bahun-Wilson (co-founder of ⁠Afroballers⁠) touch on these questions as they discuss the emergence and growth …
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina amabyo hivi karibuni tulizungumza na Peter Mmbando kutoka Tanzania akifafanua nini wanafanya ili kuimarisha matumizi endelevu ya teknolojia ya kidijitali. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na ufafanuzi na tofauti ya maneno “Adhiri; na hadhiri."Wataalam wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wameelezea h…
  continue reading
 
Hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa kunafanyika jukwaa la vijana la Baraza la kiuchumi na kijamii ECCOSOC ambalo linatoa ukumbi wa kimataifa wa mazungumzo kati ya nchi wanachama na viongozi vijana kutoka kote ulimwenguni kujadili suluhu za changamoto zinazoathiri ustawi wa vijana. Hafla hii pia hutumika kama nafasi ya kipekee kwa vijana kushiriki …
  continue reading
 
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu Volker Türk ambaye yuko katika ziara rasmi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC amestaajabu ni kwa vipi utajiri wa maliasili uliosheheni kwenye taifa hilo umeleta manufaa kidogo kwa wananchi wako kutokana na ghasia na mapgano. Assumpta Massoi na maelezo zaidi.Video ya Umoja wa Mataif…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia ghasia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na jitihada za Umoja wa Mataifa za kukwamua hali ya Kibinadamu nchini Ethiopia. Makala tunasalia hapa makao makuu na mashinani tunaelekea nchini Madagascar, kulikoni?Kaminshna Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu Volker Türk ambaye yuko katika ziara rasmi n…
  continue reading
 
Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Kutoa ahadi kwa ajili ya ufadhili wa kukwamua hali ya Kibinadamu nchini Ethiopia uliokamilika jana mjini Geneva, Uswisi umetangaza kwamba wafadhili 20 wametangaza msaada wa kifedha wa Dola za Marekani milioni 610 angalau kuhakikisha misaada kwa miezi michache ijayo.Mkutano huo uliolenga kukusanya dola bilioni 1 za kimarek…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambapo Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Tanzania, Abeida Rashid Abdallah anafafanua kwa nini Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Zanzibar ni chanda na pete. Pia tunakuletea muhtasari ya habari na mashinani kama zifuatazo.Leo mashirika ya U…
  continue reading
 
In this episode of the Innovation Storytellers Show, we journey beyond the executive boardroom to explore the vibrant intersections of social communities, networks, and the transformative power of sharing knowledge. I welcome Leigh Higginbotham Butler, the Founder & CEO of Akina Technologies, to delve into how Akina is revolutionizing networking fo…
  continue reading
 
Katika harakati za kupambana na mabadiliko ya tabianchi, kuna wakati jamii ambazo bado zinaishi kiasili zimekuwa zikilaumiwa kwamba zinachangia kuharibu mazingira kutokana na wao kuishi katika mazingira fulani; mathalani misitu na mbuga jambo ambalo linakanushwa na jamii hizo wakidai kwamba kimsingi wao ndio watunzaji wazuri wa mazingira kwani wana…
  continue reading
 
Hii leo katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa hapa jijini New York Marekani, Jukwaa la Kudumu la Umoja wa Mataifa la watu wa asili limeanza rasmi na litadumu kwa muda wa wiki mbili likiwaleta pamoja zaidi ya washiriki 2000 wa jamii za asili kutoka kila pembe ya dunia kujadili masuala mbalimbali. Hiki ni kikao cha 23 cha jukwaa hili la kudumu la wa…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia utekwaji nyara wa watoto wa kike 275 huko Chibok nchini Nigeria, na uwezeshaji kiuchumi wa watu wa asili. Makala inamulika masuala ya mazingira ikiangazia watut wa asili na mchango wao, na mashinani tunakupeleka nchini Chad kusikia simuliza ya mkimbizi kutoka Sudan. Nigeria inapotimiza miaka 10 tangu tukio la utekwaji n…
  continue reading
 
Nigeria inapotimiza miaka 10 tangu tukio la utekwaji nyara la watoto wa kike 275 huko Chibok, kaskazini magharibi mwa taifa hilo, hadi sasa bado watoto 90 wamesalia mateka na nchi hiyo inasalia na kumbukumbu ya tukio linguine la wanafunzi wa shule kutekwa nyara jimboni Kaduna mwezi Machi mwaka huu, hali inayosababisha Umoja wa Mataifa kutoa wito ma…
  continue reading
 
We see a huge character shift in Mass Effect 2 for Liara. She's a very different person than she was just 2 years before. Support us on Patreon! https://patreon.com/masseffectlorecast Join us LIVE: https://twitch.tv/robotsradio N7Legend on Twitch: https://twitch.tv/n7thelegend Discord: https://discord.gg/JXKfVhM Twitter: twitter.com/masseffectcast …
  continue reading
 
Madison's public shool union will rally for staffing and funding on Monday, Wisconsin Governor Evers vetoes an expansion of child labor in the state, President Bidenis was in Madison to announce student loan forgivemes but faced a protest over Gaza, the UAW will represent non-tenured faculty at Harvard, rats are on the run from the Operating Engine…
  continue reading
 
Hii leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa, Baraza Kuu limekuwa na tukio maalum la kumbukizi ya miaka 30 ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda au KWIBUKA30, ambapo Katibu Mkuu wa Umoja huo, Antonio Guterres ametumia hotuba yake pamoja na mambo mengine kuwasihi vijana kutoka taifa hilo la Afrika Mashariki kukemea chuki kokote wanapoisikia au kuiona…
  continue reading
 
Kikosi cha 11 cha walinda amani kutoka Tanzania, TANZBATT-11 kinachohudumu kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, MONUSCO wametekeleza wajibu wao wa kulinda raia kwa kuwapatia huduma ya matibabu kwenye Kijiji cha Matembo kilichoko mjini Beni jimboni Kivu Kaskazini. Shuhuda wetu ni Kapteni Fa…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia kumbukizi wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda, na wakimbizi wa Sudan wanaovuka mpaka kuelekea nchini Sudan Kusini. Makala na mashinani tunakupeleka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, kulikoni?Hii leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa, Baraza Kuu limekuwa na tukio maalum la kumbukizi ya miaka 30 ya mauaji …
  continue reading
 
Tarehe 15 April wiki ijayo siku ya jumatatu nchi ya Sudan itatimiza mwaka mmoja rasmi tangu kuanza kwa mzozo kati ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) na Vikosi vya jeshi la Sudan (SAF). Vita hiyo imesababisha maelfu ya watu kuwa wakimbizi wa ndani na wengine kusaka hifadhi nchi Jirani. Mashirika ya misaada ya kibinadamu nayo yamekuwa mstari wa mbe…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambapo Alice Nderitu, Mshauri Maalum wa Umoja wa Mataifa katika kuzuia mauaji ya kimbari akiwa Kigali hivi majuzi kwenye kumbukizi anamulika nini kifanyike kuhakikisha kitendo kama hicho kinasalia historia. Pia tunakuletea muhtasari wa habari za Gaza, Sudan, Uganda na uchambuzi wa neno “PAMBAJIO”.Wakati mg…
  continue reading
 
Miaka 30 iliyopita mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi nchini Rwanda yaliyoishangaza, dunia yalitokea kuanzia Aprili 7 mwaka 1994 na kudumu kwa siku 100 zilioghubikwa na ukatili wa hali ya juu na mamilioni ya watu kufurushwa makwao. Tangu wakati huo Umoja wa Mataifa umekuwa mstari wa mbele kuchukua hatua kuhakikisha asilani jinamizi hilo halitokei t…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka mjini Kigali ambako kumbukumbu ya mauaji ya kimbari imefanyika mwishoni mwa wiki na itaendelea kwa siku 100. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na mashinani tunakupeleka nchini Sudan Kusini.Baada ya huduma ya ulinzi wa amani kwa zaidi ya miaka 20 huko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,…
  continue reading
 
In the latest episode of the Innovation Storytellers Show, I chat with Tommy Knoll, the visionary Founder and Primary Leader behind Innov8rs CoLab. We explore the vital role of Innov8rs CoLab in fostering a supportive and collaborative environment for innovation leaders worldwide. Have you ever felt the pangs of isolation in your pursuit of innovat…
  continue reading
 
Mwanamke akiwezeshwa anaweza, huo ndio umekuwa usemi wa Umoja wa Mataifa ukipigia chepuo wanawake kujumishwa katika kila Nyanja ya Maisha ili waweze kujikwamua kiuchumi na kuchangia katika maendeleo ya jamii. Usemi huo unaungwa mkono na mwanamke mkimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ambaye sasa anaishi Kwenye kambi ya wakimbizi ya Ka…
  continue reading
 
Kadri siku za MONUSCO kuondoka nchini DRC zinavyokaribia, vivyo hivyo wananchi wanufaika wa miradi iliyofanikishwa na ujumbe huo wanazidi kujitokeza kuelezea hisia zao, kwani ujumbe huo unatakiwa uwe umeondoka nchini humo mwishoni mwa mwaka huu wa 2024.Miongoni mwa wanufaika ni shule ya msingi Lubumba hapa Kamanyola na Mwalimu Mkuu Texas Chekabiri …
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia ombi la Palestina kujiunga rasmi kama mwanachama wa Umoja wa Mataifa, na uwezeshaji wa wanake ambapo tunatembelea mkimbizi katika kambi ya Kakuma nchini Kenya. Makalatunakupeleka nchini DRC na mashinani nchini Tanzania.Huko Gaza, watoa misaada ya kibinadamu wakiwa na wasiwasi mkubwa juu ya mipango ya Israel kuvamia eneo…
  continue reading
 
Huko Gaza, watoa misaada ya kibinadamu wakiwa na wasiwasi mkubwa juu ya mipango ya Israel kuvamia eneo la Rafah hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa Palestina imeanza mchakato wa kuwa mwanachama rasmi wa Umoja wa Mataifa kwani hivi sasa ujumbe wake ni uangalizi usioipatia hadhi ya kupiga kura. Mchakato huo unaanzia ndani ya Baraza la Usalama la Umo…
  continue reading
 
We continue Liara's pre-Mass Effect 2 comic story and find out how she helped return Shepard's body. Support us on Patreon! https://patreon.com/masseffectlorecast Join us LIVE: https://twitch.tv/robotsradio N7Legend on Twitch: https://twitch.tv/n7thelegend Discord: https://discord.gg/JXKfVhM Twitter: twitter.com/masseffectcast Email: masseffectlore…
  continue reading
 
Wisconsin utility companies make an agreement with unions, UW Health nurses begin a new recognition push, labor endorsements come through in the April 2 elections, some union members buck Biden, the University of Wisconsin has a family leave plan, the UAW files at Mercedes in Alabama, the latest from the Worker Justice Center, and Labor Spring and …
  continue reading
 
Makala hii inaeleza safari ya matumaini na uthabiti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNICEF Rwanda linaposhirikiana na Rwanda Biomedical Center (shirika kuu la kitaifa la utekelezaji wa afya lenye jukumu la kufanya utafiti wa kisayansi, kutoa huduma za uchunguzi, na kutekeleza afua za kiafya ili kulinda taifa la Rwanda dhidi ya…
  continue reading
 
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa chakula duniani WFP nchini Sudan Kusini kupitia programu yake ya chakula shuleni imefanikiwa kuwasaidi wasichana wengi kuepukana na ndoa za utotoni. Sudan Kusini ni moja kati ya mataifa yenye viwango vya chini vya watu wanaojua kusoma na kuandika hususani kwa wasichana. Jamii katika taifa hilo la afrika ya m…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia vita katika Ukanda wa Gaza ukielekea miezi siti hapo kesho, na programu ya mlo shuleni nchini Sudan Kusini. Makala tunakupeleka nchini Rwanda na mashinani nchini DRC, kulikoni?”.Kesho kutwa jumapili ikiwa ndio itatimu miezi sita ya mzozo wa Gaza, huko Mashariki ya Kati, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres h…
  continue reading
 
Loading …

Quick Reference Guide