UN Global Communications, Digital Solutions Unit public
[search 0]

Download the App!

show episodes
 
UN News interviews a wide range of people from senior news-making officials at Headquarters in New York, to advocates and beneficiaries from across the world who have a stake in helping the UN go about its often life-saving work in the field.
 
This flagship podcast series from UN News takes its name from the words that correspondents at UN Headquarters in New York hear each night, at the end of the working day. We highlight the in-depth human stories behind the UN’s work and the way that it touches and impacts ordinary lives around the world.
 
The United Nations is a complicated place so this podcast from hosts Sinduja Srinivasan and Jason DeWall for UN News - one insider, one outsider - aims to change all that. They demystify the UN through compelling interviews and stories making the world body more accessible and straightforward.
 
There’s no denying it - we have to tackle the climate emergency. Burning fossil fuels to get energy has to end. It's doable but it's going to take solutions in every industry, at every scale, in every nation in the world. No Denying It, the UN climate action podcast, brings you the voices of young climate changemakers from across our warming planet. These activists, engineers, and entrepreneurs show us how we can make big changes - in our homes, our jobs, where we vote and where we pray, and ...
 
Loading …
show series
 
Jaridani leo tunakuletea mada kwa kina ambapo Mkutano wa 67 wa kamisheni ya hali ya wanawake duniani, CSW67 umekunja jamvi baada ya kufanyika kwa takribani wiki mbili! Maudhui yalikuwa ni vipi teknolojia na uvumbuzi vinaweza kumkwamua mwanamke na msichana katika zama za kidijitalitunaangazia, na Getrude Dyabene, Afisa kutoka Kituo cha Msaada wa She…
 
Mkutano wa maji wa Umoja wa Mataifa unaanza leo Machi 22 hapa makao makuu ukibeba maudhui hatua za ajenda ya kuhakikisha upatikanaji wa maji kwa wote, kwani hatua hizo za maji zinaongeza uhakika wa chakula, usawa miongoni mwa jinsia, zinahakikisha watoto wanasalia shuleni, zinafanya jamii kuishi kwa amani na kuchangia mazingira yenye afya. Umoja wa…
 
Mashambulizi dhidi ya raia huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC yanaripotiwa kila uchao ambapo Umoja wa Mataifa kupitia ujumbe wake wa kulinda amani nchini humo, MONUSCO unaendelea kujiimarisha ili kuimarisha pia usalama wa raia ambalo ndilo jukumu lake. Harakati za kulinda raia na kukabiliana na waasi zinaendeshwa na walinda am…
 
Jaridani leo tunaangazia mkutano wa maji hapa makao makuu na kusalia kwenye siku ya maji tukimulika upatikanaji wa maji nchini DRC. Makala na mashinani tutasalia huko huko DRC, kulikoni? Ikiwa leo ni siku ya maji duniani Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kuchukuliwa hatua madhubuti sasa iki kuhakikisa rasilimali hiyo adhimu inalindwa, kudhibitiwa ipa…
 
Mkutano wa maji wa Umoja wa Mataifa unaanza leo ukibeba maudhui “kushikamana kwa ajili yam aji kwa wote” Ikiwa pia ni siku ya maji duniani na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuchukuliwa hatua madhubuti sasa ili kuhakikisa rasilimali hiyo adhimu inalindwa, kudhibitiwa ipasavyo na kupatikana kwa kila mtu. Katika ujumbe wake wa siku hii…
 
Hii leo ni siku ya maji duniani na ninakupeleka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambako huko mtoto Liesse mwenye umri wa miaka 17 amefuatilia upatikanaji wa maji safi ya kunywa kwenye eneo la Goma jimboni Kivu Kaskaizini baada ya kupatiwa mafunzo ya uandishi wa habari na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto duniani, UNICEF na…
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina nitasalia hapa hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa katika maandalizi ya mkutano wa maji wa mwaka 2023, unaoanza kesho kumsikia Fr. Benedict Ayodi kutoka shirika la kiamatifa la Wakapuchini wa Fraciscan ambao watakuwa na mjadala maalum kuhusu haki ya maji kwa wote katika mkutano huo. Pia tunakuletea habari…
 
Tangu shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni lilipoitangaza lugha ya Kiswahili kuwa miongoni mwa lugha za kimataifa, taasisi mbalimbali zimeendelea kuhamasisha makundi mbalimbali kuitumia lugha hiyo katika masuala mbalimbali ya kijamii kama vile elimu kuhusu mabadiliko ya tabianchi, uchumi, ukatili wa kijinsia na kadhalika. Mion…
 
Hii leo katika jarida tunamulika upatikanaji wa huduma za maji na za usafi, siku ya furaha, kongamano la kiswahili Zanzibar, Tanzania na changamoto za maji yatokanyo ziwa Kivu mwenyeji wako ni Assumpta Massoi. Wakati viongozi wa dunia wakijiandaa kuhudhuria mkutano wa kihistoria wa maji wa Umoja wa Mataifa, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia …
 
Wakati viongozi wa dunia wakijiandaa kuhudhuria mkutano wa kihistoria wa maji wa Umoja wa Mataifa, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF llimetoa wito wa uwekezaji wa haraka katika huduma za maji, usafi na usafi wa mazingira (WASH) zilizo na mnepo ili kuwalinda watoto. kulingana na tathimini mpya ya UNICEF “Watoto milioni 190 katik…
 
Leo ni siku ya furaha duniani ambapo Umoja wa Mataifa unasema ni siku ya kutabua umuhimu wa furaha kwa watu wote ulimwenguni kwani ni msingi wa lengo la ubinadamu na pia huchagiza ukuaji wa kiuchumi. Mwandishi wetu wa Beni jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. Wa kwanza kuzungumza mjini Beni ambako vikundi vya waasi v…
 
Kikao cha 67 cha kamisheni ya hali ya wanawake duniani CSW67 kielekea tamati, mwaka huu 2023 kikiwa kimebeba mada uvumbuzi, mabadiliko ya kiteknolojia, na elimu katika zama hizi za kidigitali kwa ajili ya kufikia usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake na wasichana wote. Mijadala mingi katika mkutano huu imelenga kuwawezesha na kuhakikisha wato…
 
Watoto milioni 10 nchini Burkina Faso, Mali na Niger wana uhitaji mkubwa wa misaada ya kibinadamu, idadi ambayo ni maradufu ikilinganishwa na mwaka 2020, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto duniani, UNICEF hii leo, chanzo kikiwa ni mizozo inayoshamiri kila uchao na kwamba Watoto wengine million 4 nchi Jirani wako hatarini Zaidi…
 
Mamlaka ya afya nchini Burundi leo imetangaza mlipuko na kusambaa kwa virusi vya polio type 2 baada ya wagonjwa wanane kuthibitishwa , ikiwa ni mara ya kwanza kuthibitishwa kwa virusi hivyo baada ya zaidi ya miongo 3 kwa mujibu wa shirika la afya la Umoja wa Mataifa duniani WHO. Taarifa ya WHO iliyotolewa mjini Bunjumbura na Brazzaville imesema vir…
 
Hii leo jaridani tunakuletea habari za WHO nchini Burundi na UNICEF eneo la Sahel. Makala tutamsikia mwanafunzi kutoka Tanzania ambaye ni mshiriki wa mkutano wa 67 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake duniani, CSW67 na mashinani tutasalia hapa makao makuu kusikia ujumbe kuhusu haki ya maji. Mamlaka ya afya nchini Burundi leo imetangaza mlipuko na kusam…
 
When it comes to climate action, The Gambia can proudly lay claim to being the first country to meet its commitments under the 2015 Paris Climate Agreements. But, like all developing countries, its people are suffering disproportionately from the effects of the climate crisis, particularly more unpredictable rainfall, and flooding. In episode three…
 
Hii leo jaridani tunanasalia hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa kusikiliza mahojiano yetu na viongozi waandamizi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto huko Zanzibar Tanzania wanaoshiriki mkutano wa 67 wa hali ya wanawake duniani, CSW67 maudhui yakiwa matumizi ya dijitajitali katika zama za sasa za teknolojia kwa lengo la kusaid…
 
The illegal cocaine trade has bounced back following COVID-19 lockdowns, with coca cultivation up by more than a third from 2020 to 2021, according to a new report from the UN Office on Drugs and Crime (UNODC). Speaking to UN News, UNODC’s chief analyst for the Global Report on Cocaine 2023, said new routes and networks had emerged, with global sup…
 
The illegal cocaine trade has bounced back following COVID-19 lockdowns, with coca cultivation up by more than a third from 2020 to 2021, according to a new report from the UN Office on Drugs and Crime (UNODC). Speaking to UN News, UNODC’s chief analyst for the Global Report on Cocaine 2023, said new routes and networks had emerged, with global sup…
 
Mkutano wa 146 wa Umoja wa Mabunge Duniani ulioanza tarehe 11 mwezi huu wa Machi na kujumuisha Mabunge ya Nchi Wanachama, Waangalizi wa Kimataifa na Majukwaa mbalimbali ya Kibunge ili kuchagiza Amani na kujenga Jamii Jumuishi na Kuvumiliana umehitimishwa leo tarehe 15 Machi 2023. Katika Mkutano huu Mabunge yameeleza namna ambavyo yameweza kufikia u…
 
Hii leo jaridani tunakuletea tunaangazia vurugu nchini Syria ambapo ni miaka 12 kamili tangu machafuko yalipozuka; na ripoti ya ILO inayosihi nchi zote duniani ziboreshe mazingira ya kazi ya watendaji hao. Makala tutaelekea nchini Bahrain na mashinani nchini Geneva, kulikoni?. Leo ni miaka 12 kamili tangu machafuko yalipozuka Syria na kusababisha v…
 
Leo ni miaka 12 kamili tangu machafuko yalipozuka Syria na kusababisha vita inayoendelea tangu mwaka 2011 iliyosambaratisha nchi hiyo na mamilioni ya raia wake. Maelfu wamepoteza maisha, mamilioni wamekuwa wakimbizi ndani na nje ya nchi yao na majanga mengine ya kila uchao yanazidi kuwaondelea matumaini raia wa taifa hilo la Mashariki ya Kati. Adha…
 
Baada ya janga la COVID-19 kufichua ni kwa kiasi gani jamii ilikuwa haipatii wafanyakazi muhimu thamani wanayotakiwa ikiwemo malipo ya kutosha na mazingira bora ya kazi, hii leo shirika la Umoja wa Mataifa la kazi duniani, ILO limetoa ripoti inayosihi nchi zote duniani ziboreshe mazingira ya kazi ya watendaji hao. Ripoti hiyo ikipatiwa jina Mweleke…
 
As if the situation wasn’t bad enough for people facing starvation in the Greater Horn of Africa region, now UN humanitarians have warned that they’re in the grip of surging disease, linked to malnutrition. According to the World Health Organization (WHO), Djibouti, Ethiopia, Kenya, Somalia, South Sudan, Sudan and Uganda, have been particularly aff…
 
As if the situation wasn’t bad enough for people facing starvation in the Greater Horn of Africa region, now UN humanitarians have warned that they’re in the grip of surging disease, linked to malnutrition. According to the World Health Organization (WHO), Djibouti, Ethiopia, Kenya, Somalia, South Sudan, Sudan and Uganda, have been particularly aff…
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambapo katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mkutano wa 67 wa hali ya wanawake duniani, CSW67 ukiendelea maudhui yakiwa nafasi ya teknolojia na ugunduzi katika kumsongesha mwanamke tunapata mgeni studio ambaye ni John Nyirenda, kijana huyu, Muasisi na Mkurugenzi Mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali la…
 
Mkutano wa 67 wa Kamisheni ya hali ya wanawake duniani, CSW67 ukiendelea na maudhui makuu yakiwa ni namna ugunduzi na teknolojia ya dijitali inaweza kuchangia kumkwamua mwanamke, Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa nayo inaendelea kuzungumza na washiriki ili kufahamu kule watokako hali iko namna gani na nini kinafanyika ili kuhakikisha teknoloji…
 
Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wametamatisha ziara yao ya siku tatu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC iliyolenga kujadili kwa kina majukumu ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo, MONUSCO halikadhalika kujionea hali halisi ya amani na usalama. Kupitia mtandao wa Twitter, Mwakilishi Maalum wa Katibu M…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2023 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service