show episodes
 
Artwork

1
Kiswahili program

Radio Vaticana - Vatican News

Unsubscribe
Unsubscribe
Daily
 
Vatican News vipaumbele vyake: Habari za Baba Mtakatifu; Vatican, Kanisa la Kiulimwengu na Kanisa Barani Afrika. Tunazo habari za kisiasa na kijamii kutoka Barani Afrika na Dunia katika ujumla wake. Tovuti hii inapambwa na Tafakari ya Neno la Mungu pamoja na Makala mbali mbali. - Podcast - Radio Vaticana - Vatican News
  continue reading
 
Artwork
 
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
  continue reading
 
Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano mbalimbali.
  continue reading
 
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
  continue reading
 
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
  continue reading
 
Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.
  continue reading
 
Artwork
 
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
  continue reading
 
Artwork
 
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
  continue reading
 
Artwork
 
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
  continue reading
 
Artwork
 
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
  continue reading
 
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
  continue reading
 
Artwork

1
The Daraja Press Podcast

Firoze Manji and Pierre Loiselle

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly+
 
Daraja Press is a not-for-profit publisher, based in Québec, Canada, that seeks to reclaim the past, contest the present and invent the future. Daraja is the KiSwahili word for ‘bridge’. As its name suggests, Daraja Press seeks to build bridges, especially bridges of solidarity between and amongst movements, intellectuals and those engaged in struggles for a just world. We seek to build upon, develop and support interconnections between emancipatory struggles of the oppressed and exploited a ...
  continue reading
 
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
  continue reading
 
Artwork

1
Afisa Afya

S. Karata & Y. Uzuwila

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly
 
AfisaAfya ni podcast pekee ya lugha ya Kiswahili itakayokuwa inawaletea mada, mijadala na mahojiano kuhusu afya ya mwanadamu na jinsi ambavyo afya zetu zinaweza kuathiriwa na mazingira tunamoishi, kila siku ya jumapili.
  continue reading
 
Artwork

1
GAME OF LIFE

Maryanne Kimani

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly
 
This is a podcast based on the famous quote by Maryanne Kimani SEIZE YOUR MOMENT to encourage people to put their today in practice for a better tomorrow. Tell a story to change a nation Email; kmaryanne17@gmail.com Instagram; jobl_onskie17 Youtube ; Girl’s time ; Kiswahili kids stories
  continue reading
 
Artwork
 
When I was a child, thought God had made me the lowest possible form of human being, to be both Black and female. I felt this way because of the stories I was told. SOSOADAE : FM is a show about how fiction forms the world, through the lens of Black culture and fiction literacy to help readers/writers imagine and craft a more empathetic, more just, and more perfect humanity (through more perfect stories). **To become a partner or sponsor, send a n email to nefertiti@sosoadae.com.
  continue reading
 
Artwork

1
MAELEZO PODCASTS

Tanzania Information Services Department, Habari-MAELEZO

Unsubscribe
Unsubscribe
Monthly
 
Sikiliza MAELEZO PODCASTS (Podcasts za Kiswahili kutoka Idara ya Habari MAELEZO, Tanzania) kupata taarifa na matukio mbalimbali nchini Tanzania. Idara ya Habari (MAELEZO) ipo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, mipango na miradi ya maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya Sera na Sheria za habari.
  continue reading
 
Artwork
 
Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.
  continue reading
 
RICHLIT FOREX ACADEMY, Hii ​​ni jukwaa la masomo la mtandaoni lililokusudiwa kuelimisha na kutoa rasilimali kwa watu wote ambao wana nia ya kujifunza biashara ya forex au wanataka kuboresha ufahamu wao wa biashara. Mwanzilishi wa RICHLIT FOREX ACADEMY ndiye mfanyabiashara wa kwanza wa vijana ..
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Leo hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani vijana kutoka kila kona ya dunia wanakutana kuanza kujadili kuhusu mstakabali wao katika zama zijazo. Miongoni mwao ni Jerop Limo kutoka Kenya anayetumia uzoefu wake wa kuishi na Virusi Vya Ukimwi kwa miaka 24 ya umri wake kuhakikisha ulimwengu unakuwa mahali bora kwa watu ambao tay…
  continue reading
 
Hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa New York Marekani ambako mkutano wa Zama Zijazo umen’goa nanga leo kwa siku mbili za kuchua hatua kabla ya kikao cha ngazi ya juu siku ya Jumapili na Jumatatu. Leo Vijana wanapata fursa ya kupaza sauti zao kuhusu dunia na mustakbali wautakao. Flora Nducha wa Idhaa hii amezungumza na kijana mwenye ulemavu kutoka …
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia uondoaji wa taka katika ukanda wa Gaza, na ujumbe wa vijana ambao watashiriki mijadala mikuu hapa makaomakuu ya Umoja wa Mataifa. Makala tunasalia hapa hapa makao makuu na mashinani tunakupeleka nchini Sudan Kusini, kulikoni?Hali inazidi kuwa si hali huko Ukanda wa Gaza kwani sasa raia wanakwepa sio tu mashambulizi na m…
  continue reading
 
Hali inazidi kuwa si hali huko Ukanda wa Gaza kwani sasa raia wanakwepa sio tu mashambulizi na magonjwa bali pia nyoka, panya na wadudu ambao wanasambaa kutokana na mazingira machafu. Watu wanajihifadhi kwenye maeneo ya wazi bila mifumo ya majitaka au ya kuondoa maji ya mvua. Timu ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa kipalestina…
  continue reading
 
Katika makala haya tunaangazia ripoti ya umoja wa mataifa kusema kwamba zaidi ya wanawake wafungwa ya 260 walibakwa katika jela ya Makala nchini DRC, mapema mwezi huu wakati wa jaribio la wafungwa kutoroka jela. Ripoti hiyo imebaini kwamba kati ya wafungwa 348 katika gereza hilo la Makala, wafungwa 268, walitendewa vitendo vya unyanyasaji wa kingon…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tuankuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Sudan Kusini kufuatilia changamoto za kibinadamu na jinsi ambavyo mashirika ya Umoja wa Mataifa yanavyozitatua. Pi atunakuletea muhtasari wa habari kama zifuatazo na ufafanuzi wa methali.Licha ya kuongezeka kwa majanga duniani, kuanzia umaskini hadi dharura ya tabianchi, Umoja wa Matai…
  continue reading
 
Msikilizaji kwa mujibu wa benki ya dunia, ni asilimia 49 tu ya watu wazima wanamiliki akaunti benki, takwimu za hivi karibuni zikionesha ongezeko la asilimia 55 mwaka 2021 kutoka asilimia 43 mwaka 2017, hata hivyo kiwango hiki kikiwa kidogo ukilinganisha na wastani wa kidunia wa asilimia 76. Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili tunajadili kuhusu…
  continue reading
 
Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO nchini Sudan Kusini limesema licha ya uchaguzi mkuu kuahirishwa nchini humo hadi 22 Desemba 2026 kitu kikubwa kwa taifa hilo changa zaidi barani Afrika ni amani. Akizungumza na Flora Nducha wa Idhaa ya Kiswahili katika Makala hii Meshack Malo mwakilishi wa FAO Sudan Kusini amesema kuahirisha ucha…
  continue reading
 
Kutokana na ombi la serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (the Global Fund) leo umetangaza kuchangia dola za Marekani milioni 9.5 kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa mpox katika majimbo sita kati ya yale yenye viwango vya juu zaidi vya maambukizi nchini humo. Tangazo…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia juhudi za Umoja wa Mataifa za kukabiliana na ugonjwa wa MPOX barani Afrika. Makala inatupeleka nchini Sudan Kusini kuangazia uhairishwaji wa uchaguzi na mashinani nchini Sudan ambapo vilabu vinatumiwa kuimarisha ulinzi wa wasichana.Kutokana na ombi la serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mfuko wa Kimataif…
  continue reading
 
Nchini Burundi shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linashirikiana na serikali kuhakikisha mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani au mpox nchini humo hauthiri watoto kurejea shuleni wakati huu ambapo asilimia 33 ya wagonjwa wakiripotiwa kuwa na umri wa kati ya miaka 5 hadi 19. Cecily Kariuki anatupa maelezo zaidi kupitia video hii y…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka Nairobi Kenya ambako tutamsikiamwanamuziki nyota, mjasiriamali na mwanaharakati wa haki za wanawake Lizi Ogumbo. Pia tunakuletea habari kwa ufufpi na mashinani.Vurugu dhidi ya wapinzani wa serikali nchini Venezuela zimefurutu ada, imesema tume huru ya uchunguzi ikitaja kukamatwa, ukatili wa k…
  continue reading
 
Raia wengi bado hawawezi kufurahia haki zao za afya ya uzazi kutokana na ukosefu wa ufahamu Haki hizo ni pamoja na haki ya kuwa mzazi au la,kupata habari kuhusu afya ya uzazi ,kupata huduma bora za uzazi ,kushiriki mapenzi kwa njia stahiki na kuhudumiwa katika vituo vya afya kwa heshimaBy RFI Kiswahili
  continue reading
 
Loading …

Quick Reference Guide