The Modern Woodworkers Association Podcast brings to you in-depth interviews with woodworkers of note in our community - from outstanding hobbyists to award winning, international woodworkers. We also bring to you a bit of woodworking news and other items of note. And we wrap things up with our fortnightly beer recommendations. Whether you are a hand-tool, powertool, or hybrid woodworker, we think you will find something of interest in every episode.
…
continue reading
Beliefs
…
continue reading
Your wealth plan shouldn't sit still. Neither do we. That's why our advisors have access to an in-house team for all things wealth management. Because when advisors have access to a more collaborative approach, you get access to more sophisticated solutions.
…
continue reading
We're reading the Harry Potter novels and podcasting about them! Join us as we walk down the halls of memory and of Hogwarts, Hoggy Warty Hogwarts! We are Alice Sullivan (@alicemsullivan), Micah Sparkman, and Jeff Lake (@jeff_lake).
…
continue reading
Four Louisiana attorneys talking law, politics, social justice issues, and being, black, millennial women in America.
…
continue reading
Genre shift for MWA#3 Cover art photo provided by Nathan Dumlao on Unsplash: https://unsplash.com/@nate_dumlao
…
continue reading
to laugh; to get the scoop; to cause mischief, these are definitions of the slang word, "kiki". This show is for the eccentric, as well as, the "not quite right" from acid house to zydeco. Expect artists such as Prince, Roy Orbison, Arctic Monkeys, Disocdeine, Stacy Lattisaw, Nina Simone, Abe Vigoda, Felix Mendelssohn, and James Blake, among millions of others! We mix it up, spray paint it, spin it, and slide it to you. So now that you have a visual of The KiKi....it's time for audio penetra ...
…
continue reading
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
…
continue reading
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
…
continue reading
Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.
…
continue reading
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
…
continue reading
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
…
continue reading
…
continue reading
Remove thyroid nodules without surgery. Consider ablation instead, the non-surgical way to treat benign and malignant thyroid nodules. Hosted by Philip James from the Doctor Thyroid podcast.
…
continue reading
English 112 Cover art photo provided by Bia Andrade on Unsplash: https://unsplash.com/@biawashere
…
continue reading
Travel down memory lane as Scott Joseph Phares talks about his beginnings in music all the way to current day. Plus hear stories and songs as well as interviews with other Artists and Music Business professionals.
…
continue reading
This show is for thyroid patients determined to improve their quality of life, with the best information available. You will gain insight from those who have discovered improved well-being regardless of setbacks, and hear from leading healthcare professionals, including endocrinologists, surgeons, functional medicine practitioners, and radiologists.
…
continue reading
The Mandela Institute for Development Studies (MINDS) is an Africa-wide think tank which provides a forum for dialogue, information dissemination and networking, underpinned by rigorous research on the different elements of African Heritage in order to shape policy and practice on governance, economic development and the evolution of African institutions. Support this podcast: https://anchor.fm/connectingminds/support
…
continue reading
Sikiliza MAELEZO PODCASTS (Podcasts za Kiswahili kutoka Idara ya Habari MAELEZO, Tanzania) kupata taarifa na matukio mbalimbali nchini Tanzania. Idara ya Habari (MAELEZO) ipo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, mipango na miradi ya maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya Sera na Sheria za habari.
…
continue reading
Welcome to Unblocking Success, a London Drainage Facilities production—'London by name, South East by nature'. With over 17 years of experience and a proud reputation for first-time fixes and outstanding customer service, we are dedicated to exploring the insights and innovations of the service industry. Join us as we sit down with some of the brightest minds in the field—from property and block managers to heads of facilities and visionary entrepreneurs. Each episode delves into their uniqu ...
…
continue reading
1
Maoni ya Wasikilizaji kuhusu habari zetu juma hili ikiwemo hali mashariki mwa DRC
10:00
10:00
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:00Ilivyo desturi ya kila siku ya Ijumaa, ni mada huru. Tunampa msikilizaji wetu nafasi ya kuzungumzia taarifa ambazo tumeziangazia katika habari zetu juma hili, lakini pia matukio mbalimbali nchini mwake.By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
MWA584 - Panning the Plane with Wilbur Pan
1:13:12
1:13:12
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:13:12On this episode, we’re catching up with longtime friend of the show, Wilbur Pan. Wilbur is a fantastic woodworker and a leading ambassador for Asian woodworking tools and techniques. He recently presented at the Woodworking in America event, and he’s here to share some excellent techniques and insights you’ll want to try out ASAP! Wilbur Pan Giantc…
…
continue reading
1
Chimbuko la kabila la wanande mashariki mwa DRC na Uganda, historia maalum
20:06
20:06
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:06Makala hii imeangazia kwa kina chimbuko la watu wa kabila la wanande, ambao kati yao wapo ambao wamejikita mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo maarufu kama wayira na pia wengine ambao wamejikita katika mji wa Kasese na maeneo mengine nchini Uganda na ambao wanafahamika kama Bakonzo, kufahamu zaidi sikiliza makala hii na mwandishi wetu Ru…
…
continue reading
1
COP30 uliotamatika jijini Belem, Brazil,, suala la ufadhili wa tabianchi, nishati safi ni miongoni mwa ajenda
9:59
9:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:59Miongoni mwa mambo yalioamuliwa ni kuhamasisha kiasi cha fedha trilioni 1.3 kila mwaka kufikia 2035 wa ajili ya hatua za tabianchi, kuimarisha fedha uhimilivu mara tatu kufikia 2035. Msikilizaji, suala la kuharakisha ufadhili wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi inasalia kuwa kipaumbele cha dharura hasa kwa nchi zinazoendelea ambazo zina athir…
…
continue reading
1
Utamaduni wa kulinda urithi na Uhifadhi wa utamaduni wa kiafrika Nov 16 2025
20:08
20:08
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:08Jumapili nyingine kabisa tunakutana katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni la parler francophone na Muziki Leo nakuletea utamaduni wa kulinda urithi na uhifadhi wa utamaduni wa kiafrika. Kwenye Muziki tutahitimisha na burudani kutoka mwa msanii Aslay katika kibao chake alichoshi…
…
continue reading
1
Historia ya Mizinga ya lamu ndani ya makala Changu Chako Chako Changu Nov 23
20:02
20:02
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:02Juma hili kupitia makala haya utapata kuskia historia ya mizinga ya Lamu huko pwani ya Kenya, lakini pia msanii Baino mzaliwa wa Burundi anaefanya muziki nchini Kenya.By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Changu chako kuhusu maswala ya ubunifu kwenye sanaa Novemba 30
20:05
20:05
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:05Karibu katika Makala Changu Chako Chako Changu Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea Maonyesho ya ushirikiano na Ufaransa na Kenya katika tasnia ya kitamaduni na ubunifu kupitia mpango wa Création Africa. Na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuzi Ibrah kutoka nchini Tanzania…
…
continue reading
1
Waasi wa AFC/M23 wanaosaidiwa na Rwanda waudhibiti mji wa Uvira nchini DRC
9:59
9:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:59Waasi wa AFC/M23 wanaosaidiwa na Rwanda, ni rasmi sasa wanaudhibiti mji wa kimkakati wa Uvira jimboni Kivu Kusini, hatua inayokuja licha ya wiki iliyopita DRC na Rwanda kutia saini mkataba wa amani.Tunamuuliza msikilizaji anazungumziaje kilichofanywa na waasi wa M23,,Nini kifanyike? na Je, msikilizaji yuko Uvira au amekimbia kutoka Uvira…
…
continue reading
1
From experience to impact: A leader's journey | Your Life Simplified
1:01:30
1:01:30
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:01:30Leadership isn't defined by a job title—it's shaped by the experiences, values and people who influence our path. In this episode, host and senior wealth advisor Whitney Reagan sits down with Mariner's Chief Investment Officer, Katrina Radenberg, for a candid conversation about mentorship, growth and authenticity. Together, they explore the moments…
…
continue reading
1
Leo ni siku ya kuadhimisha haki za binadamu duniani lakini ukiukaji waripotiwa
9:58
9:58
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:58Leo ni siku ya kimataifa ya haki za binadamu, hata hivyo dunia inaadhimisha siku hii huku vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu vikiendelea kuongezeka kwenye maeneo mbalimbali duniani, maeneo yenye mizozo vitendo hivi vikiwa vya kuogopesha.Tumekuuliza unafikiri kwanini vitendo hivi vinaongezeka licha ya sheria za kimataifa kuwepo?Hali ya haki za…
…
continue reading
1
Wanasiasa wa upinzani kukabiliwa na vurugu, Uganda
10:08
10:08
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:08Kampeni za uchaguzi nchini Uganda zimezidi kupamba moto kuelekea uchaguzi mkuu January 15 2025 ambapo Rais Yoweri Museveni aliyeingia madarakani mwaka wa 1986, anagombea tena muhula wa saba huku akishindana na wagombea wengine miongoni mwao mwanasiasa wa upinzani Robert Kyagulanyi Ssentamu almaarufu Bobi Wine. Kampeni za mwaka huu zinafanyika huku …
…
continue reading
1
Upinzani barani Afrika waendelea kunyanyaswa na polisi wakati wa kampeni
10:01
10:01
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:01Mada ya leo ni kuhusu kinara wa upinzani nchini Uganda Bob Wine pamoja na baadhi ya wagombea wengine wa upinzani wameendelea kunyanyaswa na vyombo vya usalama wanapoendelea na kampeni zao, tume ya uchaguzi ikilaani vitendo hivyo.Yanayofanyika Uganda yanashuhudiwa pia kwenye mataifa kadhaa ya Afrika .Tumemuuliza msikilizaji Hatua hii ya vyombo vya u…
…
continue reading
1
Vita vyashuhudiwa DRC licha ya makubaliano ya kustisha vita kufanyika
9:59
9:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:59Licha ya viongozi wa DRC na Rwanda kutia saini mkataba wa amani juma lililopita, mapigano yameripotiwa mashariki mwa Congo kati ya waasi wa M23 na jeshi la Serikali FARDC.Tulimuuliza mskilizaji Je hii ni ishara kuwa mkataba waliotia saini haujazaa matunda ,nani wakuwajibishwa kwa kinachotokea na Nini kifanywe kuleta utulivu mashariki mwa Congo,,…
…
continue reading
1
Maoni ya waskilizaji kuhsu taarifa zetu juma hili.
10:03
10:03
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:03Kila ijumaa rfi inakupa nafasi kuchangia mada yoyote kupitia makala ya Habari Rafiki. Skiza kilichopewa kipao mbele kwenye makala ya juma hili.By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
DRC/ Rwanda : Marais wasaini awamu ya mwisho ya mkataba
10:01
10:01
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:01Shaba ya makala haya inalenga nchini DRC, viongozi wa DRC marais Paul Kagame na mwenzake Felix Tshisekedi wamesaini, awamu ya mwisho ya mkataba wa amani. Tumekuuliza Je, unadhani wananchi wa mashariki mwa DRC watanufaika moja kwa moja na makubaliano ya worshington?By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
EAC : Wanasiasa wanatumia wahuni kujihami
10:03
10:03
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:03Katika makala haya tujadili hatua ya ongezeko la visa vya wanasiasa wa upande wa serikali na upinzani kutumia makundi ya vijana au wahuni kutisha na kuvuruga mikutano ya mahasimu wao wa kisiasa hili likifanyika hata kwenye mitandao. Tunakuliza unafikiri kwa nini wanasiasa wanaendelea kutumia makundi ya vijana au wahuni katika siasa. skiza makala ha…
…
continue reading
1
Viongozi wa DRC na Rwanda kutia saini makubaliano ya amani, huko Washington DC
10:14
10:14
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:14Makala ya wimbi la siasa, imeangazia hatua ya viongozi wa Rwanda na DRC ambao siku ya alhamisi desemba 04 watatia saini makubaliano ya amani, mbele ya rais wa Marekani Donald Trump hii ikiwa ni mwendelezo wa mapatano ya amani mashariki mwa DRC yaliyosimamiwa na Marekani yaliyotiwa saini na mawaziri wa mambo ya nje wa nchi hizo mbili juni 27. Profes…
…
continue reading
1
Uganda: Je midahalo ina manufaa kuelekea uchaguzi
9:22
9:22
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:22Nchini Uganda, wawaniaji wa urais wameshiriki mdahalo kuelekea uchaguzi wa mwezi ujao, huku rais Museveni akisusia mdahalo huo. Je, unafikiri midahalo huwa na mchango wowote kwa wapiga kura kuelekea siku ya uchaguzi? Skiza baadhi ya maoni ya waskilizaji.By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
MWA583 - Kate Swann & Meighan Hornady; 5 Questions & WWing News
27:39
27:39
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
27:39Kate & Meighan of the Florida School of Woodwork return to answer the 5 Questions. We explore their favorite tools, seasoned and unseasoned woodworkers, and more. It's a fun and entertaining conversation. Check it Out! WWing News Lefkowitz Shave Horse Plans & Alexander Brothers’ Kits Lee Valley Tools - New Veritas Miter Plane Andy Klein’s new Blade…
…
continue reading
1
Siku ya kimataifa ya kupambana na virusi vya ukimwi
9:59
9:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:59Siku ya kimataifa ya mapambano dhidi ya UKIMWI, Umoja wa Mataifa unasema kupungua kwa misaada kunatishia dunia kufikia lengo la kudhibiti ugonjwa huu ifikapo mwaka 2030, huduma za kinga zimevurugika hasa kwenye nchi masikini. unazungumziaje siku hii, je dunia tumepiga hatua kukabiliana na ugonjwa huu? Skiza maoni ya baadhi ya waskilizaji.…
…
continue reading
1
Viongozi wa umoja wa ulaya na umoja wa Afrika wakutana Luanda Angola
10:08
10:08
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:08Viongozi wa Afrika na wale wa umoja wa Ulaya wamekutana nchini Angola, lengo likiwa ni kuimarisha ushirikiano wa usalama na kiuchumi, rasilimali za bara hilo zikimulikwa na mataifa yenye nguvu ambayo yameongeza kasi ya uwekezaji kwenye bara hilo. Tumekuuliza unaamini ushirikiano uliopo unanufaisha pande zote ? Ushirikiano wa aina gani Afrika inapas…
…
continue reading
1
MWA582 - Florida School of Woodwork's Exciting Next Chapter
51:56
51:56
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
51:56On this episode, we welcome back Kate Swann and Meighan Hornady from the Florida School of Woodwork. Kate founded the school in 2004 and has served as its Executive Director ever since. We chat with Kate and Meighan about the exciting new chapter ahead for the School. Check it out! Episode Links - Next Generation of Young Makers: Garrett R Pratt - …
…
continue reading
1
Vitendo vya utekaji kuongezeka Nigeria na baadhi ya nchi za Afrika ya kati
10:01
10:01
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:01Msikilizaji juma lililopita watu wenye silaha waliwateka wanafunzi zaidi ya 300 pamoja na waalimu katika shule moja kwenye jimbo la Niger nchini Nigeria, tukio linalojiri siku chache tangu kutekwa kwa wanafunzi wengine 25 katika shule ya wasichana kwenye jimbo la Kebbi pia huko Nigeria. Vitendo vya utekaji wa watoto vinazidi kuongezeka katika nchi …
…
continue reading
1
Maoni ya mskilizaji kuhusu matangazo yetu
10:05
10:05
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:05Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakupa nafasi ya kuchangi mada yoyote kuhusu taarifa na vipindi vyetu au kile kinafanyika hapo ulipo. Skiza maoni ya waskilizaji juma hili.By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Tanzania : Rais Samia amuteua mwanawe kuwa naibu waziri
9:59
9:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:59Tunajadili hatua ya viongozi kadhaa wa Afrika akiwemo rais wa Uganda, Yoweri Museveni, na rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wamewateua watu wa familia zao katika nafasi za serikali, hali hii ikionekana kwenda kinyume na maadili ya kazi. Tunakuuliza Je, uteuzi wa ndugu serikalini ni sahihi au si sahihi? skiza Makala haya…
…
continue reading
1
Kenya : Vyama vya kisiasa vina umuhimu kujenga demokrasia
9:56
9:56
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:56Katika makala haya tunaangazia nchi ya Kenya ambapo chama cha ODM kilichokuwa cha waziri mkuu wa zamani hayati Raila Odinga, kimeadhimisha miaka 20 tangu kuasisiwa kwake. Tunauliza je vya kisiasa vina mchango gani katika kuimarisha demokrasia hapa Afrika? Skiza makala haya.By RFI Kiswahili
…
continue reading
Aliyekuwa rais wa Malawi , Lazarus Chakwera kuteuliwa na Jumuiya ya madola kuwa mpatanishi wa mzozo wa kisiasa nchini Tanzania, hasa baada machafuko ya kipindi cha uchaguzi. Tunakuuliza , unafikiri rais Chakwera atafanikiwa kusuluhisha mzozo wa kisiasa nchini Tanzania.By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Utamaduni wa wamasaai katika swala la Twahara na msanii Mistachampagne
20:10
20:10
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
20:10Makala haya, mtangazaji wako ametembelea jijini Arusha Tanzania katika makumbusho ya Kimasai kuzungumzia mambo mbalimbali ya tamaduni za kimaasai hususan katika swala la Twahara.By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Siku kuu ya mashujaa nchini Kenya ya kila Octoba 20
19:29
19:29
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
19:29Maadhimisho ya siku ya mashujaa nchini KenyaBy RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Oburu, atafanikiwa kukiunganisha chama ODM kuelekea uchaguzi mkuu 2027 ?
10:12
10:12
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:12Chama kikuu cha upinzani nchini Kenya cha Orange Democratic Movement-ODM kina kiongozi mpya, Seneta Oburu Oginga, kaka yake kiongozi wa zamani wa chama hicho Hayati Raila Odinga aliyefariki dunia mwezi Oktoba. Je, atafanyaje, kukiunganisha chama hicho ambacho kinaonekana kugawanyika kuhusu ushirikiano wake na uongozi wa rais William Ruto ? Tunacham…
…
continue reading
1
Shirika la Weather Mtaani labuni teknolojia ya kuepuka majanga ya hali ya hewa Kibera
9:57
9:57
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:57Mvua huja kwa sauti ya baraka lakini katika kitongoji, sauti hiyo hubeba hofu. Maji yanapoteremka kutoka angani, katika sekunde chache, barabara hugeuka mito. Vyumba vya kulala vinageuka mabwawa. Katika kitongoji cha Kibera jijini Nairobi nchini Kenya, hali hiyo ya hofu imebadilishwa kupitia kundi la vijana linalojiita Weather Mtaani. Shirika la We…
…
continue reading
1
MWA581 - Silver River Chairs; The Other 5 Questions
18:51
18:51
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
18:51Brandy & Dave of Silver River Chairs return to answer the Other 5 Questions. We explore new tools, favorite weaving materials and more. It's a fun and entertaining conversation with the OG Chair Nerds. Check it Out! Brandy & Dave silverriverchairs.com Their book, “The Woven Chair” @silverriverchairs on Instagram Silver River Chairs on YouTube Silve…
…
continue reading
1
Ajali za barabarani zazidi kuwaua raia Africa
9:59
9:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:59Ulimwengu umeadhimisha siku ya kumbukumbu kwa waathiriwa wa ajali za barabarani. Takwimu za umoja wa mataifa zinaonyesha kuwa, duniani kote, watu zaidi ya milioni moja hufariki dunia kila mwaka kutokana na ajali za barabarani, na millioni hamsini kujeruhiwa. Nini kifanyike kupunguza ajali za barabarani. Skiza makala kufahamau maoni ya mskilizaji ze…
…
continue reading
Steven Mumbi anaangazia sanaa ya uchongaji jijini Dar es Salaam nchini Tanzania.By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Growing forward—insights on leadership and life
1:05:23
1:05:23
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:05:23In this inspiring conversation, host Whitney Reagan talks with Mariner's Chief Operating Officer, Cheryl Bicknell, JD, LL.M, explore leadership, growth and the lessons learned along the way. Cheryl shares insights from her path to COO, her approach to leadership, continuous development and the pursuit of one's highest and greatest use, and the valu…
…
continue reading
1
Nini suluhu ya utekaji wa watu katika nchi za Afrika Mashariki ?
10:08
10:08
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:08Nchi za Afrika Mashariki za Kenya, Uganda na Tanzania, zimeendelea kushuhudia ongezeko la visa vya wakosoaji wa serikali kutekwa na kupotezwa. Hivi karibuni, wanaharakati wawili kutoka nchini Kenya, Bob Njagi na Nicholas Oyoo walitekwa zaidi ya mwezi mmoja uliopita nchini Uganda, baada ya kuhudhuria kampeni za uchaguzi za Bobi Wine, waliachiwa baad…
…
continue reading
1
Mkutano wa mabadiliko ya tabianchi COP30 jijini Belem, Brazil
9:57
9:57
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:57Mkutano huu unakwenda kufanyika wakati ripoti mpya ya shirika la mazingira la umoja wa mataifa UNEP, ikionesha kuwa bado dunia iko nyuma katika kuafikia malengo ya mkataba wa Paris wa kudhibiti wastani wa jotoridi duniani kufikia nyuzijoto 1.5.By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
MWA580 - Silver River Chairs; Their New Book, The Woven Chair
55:55
55:55
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
55:55On this episode we welcome back Brandy Clements and Dave Klingler from the Silver River Center for Chair Caning. They’ve just released their new book, The Woven Chair, published by Blue Hill Press. We’re excited to talk with them about the book and their new studio in Weaverville, North Carolina. It's a fun and informative conversation with some tr…
…
continue reading
1
Trump atishia kutumia jeshi la Marekani kupambana na wanajihadi wanaowauwa Wakiristo nchini Nigeria
9:59
9:59
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:59Katika makala ya Habari Rafiki hii leo tunazungumzia hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kutishia kutumia jeshi la nchi yake kupambana na wanajihadi wanaowauwa Wakiristo nchini Nigeria. Kauli hii imewakasirisha viongozi wa Nigeria, ambao wanasema serikali nchini humo, haiungi mkono unyanyasaji wa kidini. Tumemuuliza msikilizaji anazungumzia vipi…
…
continue reading
1
Ripoti: Matajiri wachache wanateka nyara dunia kwa kuchangia pakubwa utoaji wa hewa ukaa
9:58
9:58
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:58Dunia inapojiandaa kwa mkutano wa kimataifa wa Mazingira COP30 utakaofanyika Belém, Brazil, ripoti mpya imeibua mjadala mkali—si tu kuhusu uzalishaji wa hewa ukaa, bali pia kuhusu ukosefu wa usawa. Utafiti mpya wa shirika la Oxfam, unaonesha kuwa mataifa tajiri na watu wachache wenye utajiri mkubwa wanachangia kwa kiasi kikubwa katika mabadiliko ya…
…
continue reading
1
Nini hatima ya Tanzania baada ya uchaguzi mkuu uliokumbwa na vurugu ?
10:16
10:16
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:16Machafuko yalikumba uchaguzi mkuu wa Tanzania, uliofanyika Oktoba 29, 2025 na rais Samia Suluhu Hassan kutangazwa mshindi kwa kupata asilimia 97.6 ya kura. Chama kikuu cha upinzani CHADEMA, kimesema ushindi wa Samia ni kichekesho cha demokrasia. Anapaswa kufanya nini ili kuirejesha Tanzania katika utulivu wa kisiasa ? Tunachambua.…
…
continue reading
1
MWA579 - Jeff Wyatt & the Other 5 Question; Plus WWing News
34:15
34:15
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
34:15Jeff returns to take on the Other 5 Questions! We learn about his love for the multi-router, mahogany, and some classes on his list. It’s an entertaining conversation with a fantastic chairmaker and turner. Check it out! Jeff Wyatt: @copperjohn_woodworks on Instagram Video - Windsor Chairmaking Basics with Jeff Wyatt Sutherland Welles Finishes - Us…
…
continue reading
Steven Mumbi amezungumza naye msani Real Jofu kuhusu muziki wa Bongo Fleva.By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Tanzania : Maoni ya waskilizaji kuhusu uchaguzi wa Tanzania
9:55
9:55
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:55Nini kilikukera kuhusu uchaguzi wa Tanzania ? Skiza maoni ya waskilizaji wetu.By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Maoni ya waskilizaji kuhusu matukio ya juma hili
10:00
10:00
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:00Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote kuhusu matukio ya dunia. Skiza maoni ya waskilizaji juma hili.By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Kenya : Mitandao ya kijamii inasababisha matatizo
10:04
10:04
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:04Gazeti la The Star nchini Kenya limewahi chapisha ripoti inayoonesha namna mitandao ya kijamii inavyoathiri watu kwa kusababisha wasiwasi, matatizo ya afya ya akili na athari nyinginezo. Tunakuuliza Je, maisha ya mitandao yanatusaidia kama jamii au yanatuumiza? skiza maoni ya waskilizaji wetu.By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Tanzania : Raia wajitokeza kumchagua rais na wabunge
10:01
10:01
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:01Shaba yetu katika makala haya inalenga nchi ya Tanzania ambapo raia wameshiriki uchaguzi kumchagua rais na wabunge. Je, unauzungumziaje uchaguzi wa Tanzania? Haya hapa maoni ya waskilizaji.By RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Watanzania wapiga kura bila uwepo wa upinzani
10:20
10:20
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
10:20Watanzania wanapiga kura kuwachagua wabunge, madiwani na rais, katika uchaguzi ambao rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuibuka mshindi, baada ya mpinzani wake mkuu Tundu Lissu, kuzuiwa jela na kufunguliwa mashtaka ya uhaini.By RFI Kiswahili
…
continue reading
On this episode, we’re thrilled to welcome back, friend of the show, Jeff Wyatt. Jeff is an outstanding chairmaker and instructor, and he recently released a new Popular Woodworking video on Windsor chairmaking. Jeff (aka @copperjohn_woodworks) works out of his shop in Tennessee, and teaches at schools nationwide. It is fun and informative conversa…
…
continue reading
Djibouti limekuwa taifa la hivi punde kuondoa rasmi kikomo cha umri wa rais , hatua inayotoa fursa kwa rais Ismail Omar Guelleh kugombea muhula wa sita katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Aprili mwaka ujao. Awali Katiba ya nchi hiyo ilikuwa inamzuia rais kugombea tena baada ya kufikisha miaka 75. Hali hii pia imeonekana kwenye mataifa kadhaa ya Af…
…
continue reading