biashara public
[search 0]
More
Download the App!
show episodes
 
RICHLIT FOREX ACADEMY, Hii ​​ni jukwaa la masomo la mtandaoni lililokusudiwa kuelimisha na kutoa rasilimali kwa watu wote ambao wana nia ya kujifunza biashara ya forex au wanataka kuboresha ufahamu wao wa biashara. Mwanzilishi wa RICHLIT FOREX ACADEMY ndiye mfanyabiashara wa kwanza wa vijana ..
  continue reading
 
Artwork

1
TIMIZA MALENGO YAKO

Joel Arthur Nanauka

Unsubscribe
Unsubscribe
Weekly
 
Many people would achieve great things in life if they would know the proven principles and strategies to achieve their goals. Self-development is the key to your vision fulfillment. These episodes unveil to you the hidden secrets for success that many have used to bring a difference in their lives. Through this show you will learn how to discover your hidden abilities, how to maximize your potential, how to build successful habits, money & buisness skills, and personal leadership. See you a ...
  continue reading
 
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
  continue reading
 
Eleven Digital is the Digital Youth Forum dedicated to education in the field of the safe, creative and positive use of the Internet and new technologies. This is ‘Open Forum' aims to encourage dialogue and spread digital awareness on different issues by providing a platform on which ideas, creativity, thoughts and questions can be expressed and tackled in an open environment.
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Ikiwa ni jana tu Julai 11, ambapo dunia iliadhimisha Siku ya Idadi ya watu duniani ikiwa na mahudhui ya kuangazia umuhimu wa kukusanya takwimu jumuishi kwa kuhesabu kila mtu, kila mahali na jinsi alivyo. Shirika la Umoja wa Mataifa la afya ya uzazi UNFPA limesisitiza haja ya Sensa ili kuhakikisha usawa na jamii jumuishi duniani.Nchini Tanzania, kam…
  continue reading
 
Uwepo wa athari za mabadiliko ya tabianchi yanayosababishwa na shughuli kibinadamu umeendelea kupata ufumbuzi ambapo Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO), nchini Tanzania limeratibu kikao kazi cha maandalizi ya kutengeneza Mradi wa maendeleo ya mifumo ya chakula katika nyanda za juu kusini maeneo ya Bonde la Usangu pamoja na visiw…
  continue reading
 
Maafisa wa polisi wanaohudumu chini ya Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS wametoa mafunzo kwa askari polisi wa nchi hiyo ili waweze kuimarisha ulinzi na usalama wakati huo huo wakiheshimu haki za binadamu. TNchi ya Sudan Kusini inakabiliwa na kuongezeka kwa mfumuko wa bei huku ajira nazo zikiwa ngumu kupatikana hali hizi mbaya zi…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia hali ya harakati za chanjo kwa watoto na ulinzi wa amani na usalama inaozingatia haki za binadamu nchini Sudan Kusini. Makala inatupeleka nchini Tanzania na mashinani nchini Rwanda, kulikoni?Viwango vya chanjo za utotoni ulimwenguni kote vilikwama mwaka 2023 na kuacha watoto milioni 2.7 bila chanjo au kupata kiwango kis…
  continue reading
 
Viwango vya chanjo za utotoni ulimwenguni kote vilikwama mwaka 2023 na kuacha watoto milioni 2.7 bila chanjo au kupata kiwango kisichotosheleza cha chanjo ikilinganishwa na viwango vya kabla ya janga la COVID-19 mwaka 2019, kwa mujibu wa takwimu za ripoti mpya zilizochapishwa leo na Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO na Shirika la Umoj…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia janga la kiafya na misaada ya kibinadamu nchini DRC, na mchakato wa uchaguzi mkuu nchini Sudan Kusini. Makala inatupeleka nchini Tanzania na mashinani inaturejesha nchini DRC, kulikoni?Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC iko katikati ya janga la kiafya linaloongezeka limeonya leo shirika la Umoja wa Mataifa la afya dun…
  continue reading
 
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC iko katikati ya janga la kiafya linaloongezeka limeonya leo shirika la afya la Umoja wa Mataifa duniani WHO na kusisitiza kwamba magonjwa ya milipuko yamezorotesha sana hali nchini humo katika miezi ya hivi karibuni kutokana na ghasia na mafuriko. Kulingana na WHO, DRC imekabiliwa na ongezeko la migogoro na ghas…
  continue reading
 
Wakati nchi ya Sudan Kusini ikijiandaa kwa uchaguzi mkuu wake wa kwanza mwaka huu mwezi Desemba, Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS umeendesha kongamano la siku tatu la vyama vya siasa katika mji wa Rumbek ili kujadili masuala ambayo ni muhimu katika maandalizi ya uchaguzi huo. Mchakato wa uchaguzi nchini Sudani Kusini unafungama…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayomulika yanayojiri katika Jukwaa la kisiasa la ngazi ya juu la Umoja wa Mataifa HLPF kuhusu malengo ya maendeleo endelevu SDGs, ambapo Anold Kayanda alizungumza na Katibu Mkuu Mhandisi Cyprian John Luhemeja wa Ofisi ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Pia tunakuletea muhtasari wa habari zifuatazo..Leo ikiwa…
  continue reading
 
Wananchi katika Kaunti ya Terekeka nchini Sudan Kusini wameeleza kufurahishwa na mafanikio wanayoyapata kutokana na mradi wa miaka mitano wa kuboresha mnepo wa Jamii za Wavuvi (FICREP). Cecily Kariuki na maelezo zaidi.Huyo ni Stelle Clement, mjasiriamali wa mghahawa katika jamii ya Terekeka, Equatoria ya Kati nchini Sudan Kusini. Anasema, “faida ni…
  continue reading
 
Hakuna mwanamke anayepaswa kufa wakati wa kujifungua, ndio maana Shirika la Umoja wa Mataifa la afya Ulimwenguni WHO nchini Tanzania baada ya kushuhudia ongezeko la vifo vya wajawazito kutokana na wajawazito kupata ugumu kuvifikia vituo vya afya ilitafuta fedha ya kusaidia kutatua changamoto mbalimbali ikiwemo miundombinu na kuongeza maarifa kwa wa…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia ripoti ya Uchumi wa kidijitali 2024, na uvuvi nchini Sudan Kusini. Makala inatupeleka nchini Tanzania kumulika afya kwa wajawazito na mashinani nchini Kenya kusikia simulizi ya mwathirika ya mafuriko.Ripoti mpya iliyozinduliwa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la Biashara na Maendeleo UNCTAD kuhusu “Uchumi wa kidijital…
  continue reading
 
Ripoti mpya iliyozinduliwa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la Biashara na Maendeleo UNCTAD kuhusu “Uchumi wa kidijitali 2024” imeweka bayana kuhusu athari za kimazingira za sekta ya kimataifa ya kidijitali na mzigo mkubwa wa athari hizo unaobebwa na nchi zinazoendelea. Flora Nducha ameisoma ripoti hiyo na anafafanua zaidiRipoti hiyo iliyozinduli…
  continue reading
 
Hivi karibuni dunia imeadhimisha siku ya Kiswahili duniani ikiwa ni maadhimisho ya tatu, lakini ya kwanza tangu Umoja wa Mataifa utambue Julai 7 kuwa siku ya lugha ya Kiswahili duniani. Kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa maadhimisho yalifanyika Julai 3 maudhui yakiwa nafasi ya elimu ya sanaa katika kueneza na kukuza lugha ya kiswahili. Anold ka…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayoangazia ujumbwa wa viongozi katika maadhimisho ya hivi karibuni ya siku ya Kiswahili duniani. Pia tunakuletea muhtasari wa habari zikiwemo za Gaza, Libya na Kusini mwa Afrika. Mashinani inayotupeleka nchini Sudan.Kundi la wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa hii leo wamesema ni dhahiri shahiri kuwa baa …
  continue reading
 
Elimu ya Biashara imekuwa na faida kubwa kwa wajasiriamali wadogo wanaojishughulisha na kilimo, ikiwemo wakulima wadogo wadogo, vijana, wanawake, na wasimamizi wa mashamba ya uzalishaji mbegu mkoani Kigoma, kaskazini-magharibi mwa Tanzania. Kwa kutambua hilo, washiriki kutoka wilaya za mkoa huo chini ya Mradi wa Pamoja Kigoma (KJP) awamu ya Pili) w…
  continue reading
 
Nchini Ukraine Jumatatu ya leo Julai 8 imeanza na wimbi jingine la mashambulizi makubwa ya kijeshi yaliyotekelezwa na Urusi na kuua makumi ya watu, hospitali ya watoto ikiwa ni miongoni mwa maeneo yaliyoshambuliwa. Flora Nducha ameifuatilia taarifa hiyo. Mashambulizi haya ya leo yaliyotokea wakati watu waliopokuwa ndio kwanza wanaianza siku, yameil…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia mashambulizi makubwa ya kijeshi nchini Ukraine yaliyotekelezwa na Urusi, na miradi ya maji nchini Sudan Kusini. Makala inamulika biashara kwa wakulima, vijana na wanawake, na mashinani inatupeleka nchini Ethiopia, kulikoni?Nchini Ukraine Jumatatu ya leo Julai 8 imeanza na wimbi jingine la mashambulizi makubwa ya kijeshi…
  continue reading
 
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) Beth Bechdol amefanya ziara ya siku sita nchini Sudan Kusini na kuzindua miradi inayo saidia ukuaji wa kiuchumi huku ikipunguza migogoro na kuongeza uwezo wa wanachi kwenye kilimo.Akiwa ameambatana na Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa l…
  continue reading
 
Kufuatia lugha ya Kiswahili kutambuliwa na Umoja wa Mataifa na kutengenewa siku maalum, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC sasa imesema itajengea uwezo wasanii wake wanaoimba kwa lugha ya Kiswahili kama njia mojawapo ya kusambaza utamaduni wa taifa hilo.Mwakilishi wa Kudumu wa DRC kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Zénon Mukongo Ngay amesema hayo ka…
  continue reading
 
Ripoti mpya ya mashirika ya Umoja wa Mataifa yabaini kuwa wahamiaji na wakimbizi wanaotaka kuelekea Ulaya kusaka maisha bora kupitia njia za ardhini Afrika, wanakumbwa na ukatili sio tu wanapokuwa baharini, bali pia ardhini wanapokatiza nchi zingine kuelekea fukwe za bahari ya Mediteranea. Bosco Cosmas na maelezo zaidi.Ikipatiwa jina Katika safari …
  continue reading
 
Hii leo kwenye jarida mwenyeji wako ni Assumpta Massoi akimulika shamrashamra za Kiswahili, wakimbizi na wahamiaji na mateso njiani Afrika, mafunzo kwa wataalamu wa mifugo Tanzania na harakati za OCHA Sudan kusaidia wahitaji.Wadau wa Kiswahili duniani kote wakiendelea na shamrashamra baada ya Umoja wa Mataifa kutambua lugha hiyo kuwa ya kimataifa n…
  continue reading
 
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) kwa ufadhili ya Shirika la Marekani la misaada ya maendeleo (USAID), limehitimisha awamu ya nne ya mafunzo kwa Maafisa Mifugo 30 wa serikali ya Tanzania, yatakayowawezesha kutambua na kutibu magonjwa ya mifugo ili kuboresha ufugaji wenye tija na kulinda soko la Mifugo kimataifa. Hamad Rashid wa…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia tunaangazia maadhimisho ya tatu ya siku ya lugha ya Kiswahili duniani maudhui yakiwa nafasi ya elimu ya sanaa. Makala tunatupeleka nchini Ghana kumulika umahiri wa wanafunzi wa Kiswahili, na mashinani tunakupeleka nchini China kusikia ujumbe wa mdau kuhusu lugha y aKiswahili.Hii leo hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa …
  continue reading
 
Hii leo hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa kunafanyika maadhimisho ya tatu ya siku ya lugha ya Kiswahili duniani maudhui yakiwa nafasi ya elimu ya sanaa katika kukuza na kuendeleza lugha ya Kiswahili.Maadhimisho haya yanafanyika tarehe 3 kwa kuwa siku yenyewe ya Kiswahili duniani yaani tarehe 7 Julai itaangukia siku ya Jumapili. Katika makala hii…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia tukio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jana Julai Mosi la kuidhinisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Kiswahili. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na mashinani kama zifutazo…Huko Gaza shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa kipalestina, UNRWA linasema wiki chache tu baada…
  continue reading
 
Kutokana na hali tete ya usalama nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, Umoja wa Mataifa kwa miaka mingi umekuwa ukifanya juhudi za kuleta amani na kuilinda kwa kutuma ujumbe wake, MINUSCA ambapo nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa huchangia vikosi mbalimbali. Kikosi cha 7 kutoka Tanzania, TANBAT 7 ni miongoni mwa walinda amani waliko huko, hususani waki…
  continue reading
 
Huko nchini Sudan, shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula duniani, WFP linasema msafara wake uliokuwa umesheheni misaada ya vyakula umeshambuliwa hii leo na watu wasiojulikana. Kupitia ukurasa wake wa X, zamani Twitter, WFP imesema watu wasiojulikana waliokuwa na silaha walishambulia malori matatu yaliyokuwa na msaada huo wa chakula ukile…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia msaada wa kibinadamu nchini Sudan, na uhamasishaji wa wakulima nchini Zambia kuachana na kilimo cha tumbaku na badala yake kulima mazao mbadala. Makala inatupeleka nchini CAR na mashinani nchini Ghana, kulikoni?Huko nchini Sudan, shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula duniani, WFP linasema msafara wake uliokuw…
  continue reading
 
Nchini Zambia, mpango wa shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni, WHO, Kanda ya Afrika wa kuhamasisha wakulima kuachana na kilimo cha tumbaku na badala yake kulima mazao mbadala umeanza kuzaa matunda kama anavyoelezea mmoja wa wakulima walioitikia wito huo.Tuko wilaya ya Chipangali nchini Zambia ambako video ya WHO kanda ya Afrika inaanzia …
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia ripoti ya mwaka 2024 ya malengo ya maendeleo endelevu SDGs, na juhudi za mashirika ya Umoja wa Mataifa za kuwawezesha wakulima nchini Somalia. Makala tunakupeleka nchini Tanzania, na mashinani ujumbe ubunifu na vijana barani Afrika.Bila uwekezaji mkubwa na kuongeza hatua, kufikiwa kwa Malengo ya Maendeleo Endelevu, SDGs…
  continue reading
 
Bila uwekezaji mkubwa na kuongeza hatua, kufikiwa kwa Malengo ya Maendeleo Endelevu, SDGs kutasalia kuwa mgumu, imeonya Ripoti ya mwaka huu 2024 kuhusu mwenendo wa utekelezaji wa malengo hayo ikiwa imesalia miaka sita pekee kufikia muda ambao ulimwengu ulijiwekea kuwa umeyatimiza malengo yote 17.Ripoti hiyo ya Umoja wa Mataifa iliyowekwa wazi leo J…
  continue reading
 
Huku takriban watu milioni 7 nchini Somalia wakihitaji msaada wa kuokoa maisha mwaka huu, Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO linahimiza jumuiya ya kimataifa kuendelea kuunga mkono Wasomali wanaokabiliwa na athari za njaa,mabadiliko ya tabianchi, migogoro na kufurushwa makwao. FAO sio kwamba wao wanahimiza wengine kusaidia wasomali…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ikiangaazia hafla maalum ya UNICEF na wadau wake pamoja na wasanii iliyofanyika Nairobi Kenya, mada ikiwa “Ungana na watoto wa Sudan”. Pia tunakuletea muhtasari wa habari zikiwemo za maandamano Kenya, Janga la njaa Sudan, na MSMEs. Katika kujifunza kiswahili tunakuletea uchambuzi wa methali.Kufuatia madhil…
  continue reading
 
Ripoti iliyotolewa jana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni WHO imesema mamilioni ya vifo vinachangiwa na unywaji pombe na matumizi ya dawa za kulevya na imetoa wito wa haraka wa kutekeleza lengo namba 3.5 la Malengo ya Maendeleo Endelevu SDG la kupunguza matumizi ya pombe na dawa za kulevya na kuboresha upatikanaji wa matibabu bora …
  continue reading
 
Msikilizaji kwa mujibu wa Jukwaa la dunia la uchumi, World Economic Forum, ujio wa teknolojia mpya kama akili mnemba (Artuificial inteligency), ikiwa zitatumika vizuri, zitasaidia kujenga uchumi wenye ushindani, unaostahimili changamoto na endelevu. Katika makala ya gurudumu la uchumi juma hili, tunajadili Kuibuka au ugunduzi wa teknolojia na ushaw…
  continue reading
 
Hii leo jaridani Tunafuatilia machafuko yaliyotokana na maandamano yaliyoanza nchini Kenya, na ripoti ya utumiaji wa dawa za kulevya. Makala tunarejea nchini Kenya kufuatilia matibabu ya waathirika wa dawa za kulevya na mashinani tunakupeleka nchini Sudan, kulikoni?Viongozi wa Umoja wa Mataifa wamekazia wito uliotolewa na Katibu Mkuu wa Umoja huo A…
  continue reading
 
Viongozi wa Umoja wa Mataifa wamekazia wito uliotolewa na Katibu Mkuu wa Umoja huo Antonio Guterres kwa mamlaka za Kenya kufuatia machafuko yaliyotokana na maandamano yaliyoanza nchini humo Juni 18 kupingwa muswada wa fedha wa mwaka 2024. Maandamano yalianza Juni 18, yakiongozwa na vijana wakitaka muswada huo wa fedha ukataliwe wakidai yaliyomo yat…
  continue reading
 
Kuibuka kwa dawa mpya za kulevya za kutengenezwa na rekodi ya usambazaji na mahitaji ya dawa zingine kumeongeza athari za dawa hizo ulimwenguni, na kusababisha kuongezeka kwa shida za utumiaji wa dawa za kulevya na madhara kwa mazingira, imesema leo Ripoti ya Dunia ya Dawa ya 2024 iliyozinduliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa ya kukabili dawa za ku…
  continue reading
 
Nchini Tanzania, Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) linaendesha programu ya mafunzo yanayolenga kuboresha ujuzi wa wataalamu wa mifugo katika kudhibiti magonjwa ya wanyama na kuimarisha afya ya mifugo ili kuihakikishia jamii uhakika wa chakula na chakula salama. John Kabambala wa redio washirika wetu KidsTime ya mkoani Morogoro …
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Tanzania kumulikaza juhudi za kuimarisha afya ya mifugo ili kuihakikishia jamii uhakika wa chakula na chakula salama. Pia tunakuletea muhutasari wa habari zikiwemo za Gaza, mabaharia, na ripoti ya ya matumizi ya pombe. Mashinani tunasalia na siku ya mabaharia duniani. Katika Ukanda wa …
  continue reading
 
Katikati ya bonde la mto Ganges kaskazini mwa India, ndiko liko jimbo la Bihar ambalo sasa linahaha kutokana na uchafuzi wa hewa, kwani moshi utokao kwenye majiko ya kuni na samadi ya ng’ombe yanasababisha kwa kiasi kikubwa uchafuzi wa hewa. Licha ya maendeleo makubwa ya kutumia gesi kama chanzo cha nishati, halikadhalika nishati itokanayo na samad…
  continue reading
 
Ikiwa ni moja ya majukumu yake, Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS wakishirikiana na mamlaka za mitaa za nchi hiyo umefanya ziara maalum katika Kijiji cha Nadiangere na kusikiliza kero za wananchi pamoja kuzindua shule mpya ya msingi. Ndege ya UNMISS ikiwa na timu ya walinda amani na wawakilishi kutoka serikali za mitaa inafika k…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia hali ya kibinadamu Gaza hasa kwa watoto, na ziara maalum ya Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS. Makala inatupeleka nchini India na mashinani nchini Uganda, kulikoni? Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA, Philippe Lazzarini, hii leo Juni 24 ametahadharisha vi…
  continue reading
 
Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA, Philippe Lazzarini, hii leo Juni 24 ametahadharisha vikali kwamba UNRWA itaporomoka kama ufadhili hautapatikana haraka, na "kizazi kizima" cha watoto wako katika hatari ya kuangukia kwenye "umaskini, chuki na migogoro ya baadaye”. Katika ombi la uungwaji mkono wa kisi…
  continue reading
 
Baada ya ziara ya wiki moja huko Ukanda wa Gaza, Mashariki ya Kati, Maryse Guimond ambaye ni Mwakilishi Maalum wa shirika la Umoja wa Mataifa la masuala ya wanawake, UN Women katika eneo la Palestina linalokaliwa na Israeli,Israeli amesema kilicho alichoshuhudia hakina maelezo ya kutosha.Akizungumza na waandishi wa habari mjini Geneva, Uswisi kutok…
  continue reading
 
Wakati dunia hapo jana Juni 20 ikiwa imeadhimisha siku ya wakimbizi duniani na wito kutolewa kila kona wa kuhakikisha wakimbizi wanajumuishwa katika masuala yote ya kuweza kuwasaidia kustawi katika nchi wanayopatiwa hifadhi hii leo tunaelekea nchini Ethiopia kujionea namna mradi wa kutoa vitambulisho vya kitaifa ambao unajumuisha wakimbizi na wasak…
  continue reading
 
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni (WHO) nchini Tanzania kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), hivi karibuni limekabidhi kwa Wizara ya Afya nchini humo jengo maalumu kwa ajili ya kuwahudumia wanaohisiwa kuwa na magonjwa ya mlipuko ya kuambukiza wanapopita katika mpaka wa Mutukula unaounganisha Tanzania …
  continue reading
 
Loading …

Quick Reference Guide